Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Clouds kumuangusha mzee mengi wanakazi kubwa ya kufanya kwa hali hii
 
ITV walikuwa the best
V
Mortal kombat
A- team
The simpson
The Fresh Prince
The cosby show
Family Matters
Perfect strangers

CTN
Cartoon Networks
TNT

DTV
Superman
Knight Rider
The X- Files
Batman cartoon
Samorai X
samurai x naaangalia mpaka leo inaitwa rurouni kenshin...yaani wandering samurai ila walioirusha marekani mdii wkaidub samurai x...ipo hadi live action movie yake battoussai the manslayer....kali sana ile kitu sema watu hawajaisoma 2
 
samurai x naaangalia mpaka leo inaitwa rurouni kenshin...yaani wandering samurai ila walioirusha marekani mdii wkaidub samurai x...ipo hadi live action movie yake battoussai the manslayer....kali sana ile kitu sema watu hawajaisoma 2
Samorai X ni mwisho, ilikuwa anaonesha alhamis jion nakumbuka mxa ambao samorai X inaoneshwa hakuna mtu hata moja utamuona uwanja wa mpira mpka ishe
Kuna movie zake ninazo zimetoka 2012 na 2014 kama sikosei ninazo kwny libery yangu
 
CTN walikuwa na movie fulani za kizamani sana, zilikuwa zinaitwa TNT Classic Movies. Nilikuwa napoteza muda sana kuziangalia hizi.
Walikuwa wanaanza kuzionyesha kuanzia saa tisa mchana huboreki yani CTN ilikuwa moto sana enzi hizo mkuu
 
Duh umenikumbusha mbali sana kijana. Walikuwa wanaweka picha za kihindi na kiarabu. Full watu kuchinjana na ndio movies za Kina kuchi kuchi khotae za kihindi. Umenikumbusha mtangazaji wa taarifa wa DTV alikuwa Ephraim kibonde. Na sitasahau yule Rainfred Masako alivyo tangaza ajali ya Mv. Bukoba.
Ivi huyu mzee Rainfred Masako yupo wapi alikuwa mtangazaji wa ITV.
Kuna mtangazaji mwingine alikuwa DTV alikuwa anaitwa Godfrey Mgodo
Mkuu enzi zile kibonde c alikuwa CTN na alikuwa akitangaza kipindi cha habari michezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom