Tukumbushane 'vibao' vilivyovuma Afrika enzi zileee

hii SIDA ni ile ya Mayway anayozungumzia UKIMWI sio....au ni ipi mkuu
ndio hyo hyo....jamaa c alikufa kwa ngoma....ndio akawa anatahadharisha watu wawe makini na ngoma,ingawa pia ktk hyo ngoma alikuwa anasononeka baada ya watu kuwa wanamnyanyapaa kila siku wanamzushia kuwa jamaa tayar kisha kufa.....kumbe jamaa bado mzima,ndio katoa hyo nyimbo
Attention with AIDS.....
 
Kuna nyimbo ya Josky kiambuktu unaofanana na chandra, nautafuta siufahamu jina lake naomba mwenye nao autupie humu plzzzzz
 
Jamani HUU UZI WA LEO NIMEUPENDA SANA, JAMANI MIMI NDO MZEE WA HIZO NYIMBO ZA ZAMA, NINAZO KWENYE EXTERNAL YANGU BUT HAISOMI,

NAOMBA MSAADA WA KUNISAIDIA KUPATA DATA ZANGU KWENYE HIYO EXTERNAL PLZZZZZZ
 
Jamani HUU UZI WA LEO NIMEUPENDA SANA, JAMANI MIMI NDO MZEE WA HIZO NYIMBO ZA ZAMA, NINAZO KWENYE EXTERNAL YANGU BUT HAISOMI,

NAOMBA MSAADA WA KUNISAIDIA KUPATA DATA ZANGU KWENYE HIYO EXTERNAL PLZZZZZZ
zipo software zinazoweza kurudisha kila kitu
 
Nyumba Ya Mgumba haina Matanga - OSS
Ajali Ya Aminani - OSS
Shukrani Kwa Mjomba - OSS
Konjesta - Sikinde
Hasira Hasara - Maquis Original
Mayanga - Maquis
Mayombo - Sambulumaa
Kasoro Yangu Sijaijuwa - MCA International
Komando Wa Mapenzi - Washirika Stars
Kulala Sebuleni - Washirika Stars
VIP - Vijana jazz
Shoga - Vijana Jazz
Theresa - Vijana Jazz
Mke Mkubwa - Vijana Jazz
Party Ya Kuaga Umasikini - Vijana Jazz
Mbuzi Yake Kamba - Vijana Jazz
Wivu - Vijana Jazz
Wivu - Sikinde
Asumani - Makassy
Siku Ya Kufa - Makassy
Arusi Ya Mwanza - Makassy
Kassimu - Makassy
Binadamu Hatosheki - Makassy
Dunia Uwanja Wa Fujo - Dar International
Dunia Imani Imekwisha - Dar International
Mwanameka - Dar International
Matatizo Ya Ukewenza - Sikinde
Solemba - Msondo
Kimwaga - Msondo
Ama Zao Ama Zangu - Msondo
Ajuza - Msondo
Shakaza - Bima Lee
Milima Ya Kwetu - Super Rainbow

Jamani Bongo muziki mtamu....RTD rudisha vipindi vya muziki wetu wa asili....!
 
Mkuu hebu tukumbushane vizuri. Huu wimbo ulikuwa unaitwa wagadugu, au wagadugu walikuwa wapigaji? nakumbuka ile ngoma ilikuwa inaitwa "high life" au sio? Harafu kwasababu mmehamia nje ya East Afrika, nawakumbusha hiii..... "Haya madisco dansa, haya madisco dansa".....Mambo ya manyimbo ya simema za kihindi yaliyokuwa yakitamba RTD. Mpya Daladala zilipoanza kuna jamaa mmoja akaziandika daladala zake "Disco Dansa no. 1 na Disco Dansa no.2 )

Siyo haya maadisco dansa...... ni hivi: I am a disco dancer
 
Back
Top Bottom