Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,755
Sory kwa kuchelewa kujibu mkuu...Huu wimbo unaitwa 'African typic collection' na muimbaji ni SAM FAN THOMAS...Huyu ni raia wa Cameroon na ni mmojawapo wa wanamuziki mahiri kutokea barani Africa..Wakuu akhsanteni sana but ninajuta kwa kuzaliwa in mid 80s,kuna wimbo huwa nausikia hata mashairi yake siyapati vizuri,unasikika hivi;'donce donce eee,african tp collection'...kwa atakaeutambua huu wimbo naomba jina la muimbaji au bendi husika.