Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,688
- 4,633
naomba jina la huu wimbo niudaunilodi kabisa. mia
mwenzangu ngoja waje
niliowataja maana unawahusu!!
naomba jina la huu wimbo niudaunilodi kabisa. mia
hahahaaaa...we Passion Lady weye!
atooonga, atonga e! ni weeeeetu, ni wetu! ni weeeedi, ni wedi sha!
haya, Mrembo by Nature au ladyfurahia nao wamalizie..
Alafu usinialike kwenye ndoa yako, utakiona cha moto! tehEliwa ni ngoro eeehh naye aende wakwe.....lukundo lwa mwana luwaja aaaaeeeee luwajaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa (hee basi ngoja niwabakishie cha kuimba siku ya ndoa yangu nisimalize)
Alafu usinialike kwenye ndoa yako, utakiona cha moto! teh
Ndolela Chaserereka Wajita - Ndolele | Muziki.net
hapa inabidi Passion Lady na Lady doctor waniimbie nyimbo mbili mbili. mia
Wasukuma wanao ule SENSEMA MALUNDE,
Wasambaa wanao wa SEGERA JADAMKA SINA UNGOYA
hebu tuongeze ongeze ili tuzitafute ambazo tutaweza kuziweka hapa, hata watoto wetu wajue kuwa na sisi tulikuwa na nyimbo zetu za harusi, maana naona utamaduni wetu unapotea kwa kazi ya kimbunga
Ni segere jadumka sina ungoya, umekosea Kidogo hapo kwenye jadumka, halafu kuna ule mwingine usemao Nimdodoo mame wa ngw'ai ni mdodo aauaaauaa, wabwanga nnanao, wandee nnanao.......Siku hz zimeachwa kwaito ndio inatawala
hahahaaa umenikumbusha kwetu Tanga ujue..........!
Ni mdodo mamie mwali ni mdodo....... Auwaaauwaa
ni mdodo tatie mwali ni mdodo....... Aawaaauwaaa
wabwanga nnanao, wandele nnanao......
Segere jangu jadumka wabwanga, tucheze segereeee
segere jangu jadumka wose tucheze segere
ngoma ya wazigua yawatuliza mawazo jamani....... Wapi figganigga wapi Passion Lady wapi msambaa Madame B!!!!!!!!
kabanga wenzio chabwedaa na ngoma ya wazigula cha vina vidala vinohalusee!!!!!!!!
Arushaone soo uone mauno ya Lady doctor
siitegeleza dyelo RFA... wanikumbusha mbali mnala....!
hahahaaaa...we Passion Lady weye!
atooonga, atonga e! ni weeeeetu, ni wetu! ni weeeedi, ni wedi sha!
haya, Mrembo by Nature au ladyfurahia nao wamalizie..
Wasukuma wanao ule SENSEMA MALUNDE,
Wasambaa wanao wa SEGERA JADAMKA SINA UNGOYA
hebu tuongeze ongeze ili tuzitafute ambazo tutaweza kuziweka hapa, hata watoto wetu wajue kuwa na sisi tulikuwa na nyimbo zetu za harusi, maana naona utamaduni wetu unapotea kwa kazi ya kimbunga
Ni segere jadumka sina ungoya, umekosea Kidogo hapo kwenye jadumka, halafu kuna ule mwingine usemao Nimdodoo mame wa ngw'ai ni mdodo aauaaauaa, wabwanga nnanao, wandee nnanao.......Siku hz zimeachwa kwaito ndio inatawala
hahahaaa umenikumbusha kwetu Tanga ujue..........!
Ni mdodo mamie mwali ni mdodo....... Auwaaauwaa
ni mdodo tatie mwali ni mdodo....... Aawaaauwaaa
wabwanga nnanao, wandele nnanao......
Segere jangu jadumka wabwanga, tucheze segereeee
segere jangu jadumka wose tucheze segere
ngoma ya wazigua yawatuliza mawazo jamani....... Wapi figganigga wapi Passion Lady wapi msambaa Madame B!!!!!!!!
kabanga wenzio chabwedaa na ngoma ya wazigula cha vina vidala vinohalusee!!!!!!!!
Arushaone soo uone mauno ya Lady doctor
hahahaaaa...we Passion Lady weye!
atooonga, atonga e! ni weeeeetu, ni wetu! ni weeeedi, ni wedi sha!
haya, Mrembo by Nature au ladyfurahia nao wamalizie..
Eliwa ni ngoro eeehh naye aende wakwe.....lukundo lwa mwana luwaja aaaaeeeee luwajaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa (hee basi ngoja niwabakishie cha kuimba siku ya ndoa yangu nisimalize)
mwenzio nimeimba
za milima ya ugweno mpaka
sauti imenikauka!!
kumbe huku ndo mmeanzia mara naona ndoa.....