King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,825
- 24,776
Duh, afadhali umenipa tafsiri. Yaani nasuuzika, kasheshe yake style ya kucheza na ule mchuchumio. Nikahisi maana ya wimbo ni 'miguu inauma lakini siachi kucheza'
kwa kweli napenda sana nyimbo za makabila. Kuna mwingine 'naloli naloli weeh naloli, nalolinaloli' lol.
kwa kweli napenda sana nyimbo za makabila. Kuna mwingine 'naloli naloli weeh naloli, nalolinaloli' lol.
hahahah...hujakosea sana unaitwa "Abalindwana"
Abalindwana bha Jerusalem,
Abalindwana bha Jerusalem bhikundilila Jesu
maana yake Wanawake au kinamama wa Yerusalem wanamlilia Yesu...ni wakati ule wa mateso ya Yesu wakati akipelekw Goligotha.