TUKUMBUSHANE:- Nyimbo za harusini za makabila mbalimbali

na wewe kikwenu mnaimbajie? weka hapa
Tunaimba kwa lugha za alama
(sign language)

800px-ASL_family.jpg

Two men and a woman signing
 
hahahaaa umenikumbusha kwetu Tanga ujue..........!

Ni mdodo mamie mwali ni mdodo....... Auwaaauwaa
ni mdodo tatie mwali ni mdodo....... Aawaaauwaaa

wabwanga nnanao, wandele nnanao......

Segere jangu jadumka wabwanga, tucheze segereeee
segere jangu jadumka wose tucheze segere

ngoma ya wazigua yawatuliza mawazo jamani....... Wapi figganigga wapi Passion Lady wapi msambaa Madame B!!!!!!!!

kabanga wenzio chabwedaa na ngoma ya wazigula cha vina vidala vinohalusee!!!!!!!!

Arushaone soo uone mauno ya Lady doctor

Kumbe madam B ni msambaa!! Nampa special dedication ; kwatama wandee wa usoto wakijata watasungudikaaa .....siviene wau sivieneee....siviene baba sivieee, kwatama madam B akijata atasungudikaaa
Usinikumbushe kidembwa
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa umenikumbusha kwetu Tanga ujue..........!

Ni mdodo mamie mwali ni mdodo....... Auwaaauwaa
ni mdodo tatie mwali ni mdodo....... Aawaaauwaaa

wabwanga nnanao, wandele nnanao......

Segere jangu jadumka wabwanga, tucheze segereeee
segere jangu jadumka wose tucheze segere

ngoma ya wazigua yawatuliza mawazo jamani....... Wapi figganigga wapi Passion Lady wapi msambaa Madame B!!!!!!!!

kabanga wenzio chabwedaa na ngoma ya wazigula cha vina vidala vinohalusee!!!!!!!!

Arushaone soo uone mauno ya Lady doctor

Madame B miss kidembwa
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...mpwa kuna ule wimbo wenu fulani hivi huwa mnatengeneza duara halafu mnashikana mikono kama mchezo wa "Ukuti Ukuti".....huwa wanifurahisha sana lol!!!

aaeeeee luwajaaaaa!!....sosi: Passion Lady

hahahhahahahah. Nyimbo ndo zinazsababisha.. huwezi kukata kiuno kwenye wimbo wa blues
 
Last edited by a moderator:
grun, grun, grun, sind alle
meine Kleider
grun, grun, grun, ist alles
was ich hab
Darum lieb ich alles
was so grun ist, weil mein schatz
ein jager..... Jager....... Ist

Kaizer endelea nimekumbuka enzi zetuzileeeee!!!!!!!!!
Meine knedige fraulein Lady doctor,
Ich liebe dich sehr,
Ich will deine zu gerhaten,
Du bist sehr schon,
Du kanst meine herze haben,
Meine kumpf auch,
Du bist meine erde........niendelee kufunguka Lady doctor?
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...mpwa kuna ule wimbo wenu fulani hivi huwa mnatengeneza duara halafu mnashikana mikono kama mchezo wa "Ukuti Ukuti".....huwa wanifurahisha sana lol!!!

aaeeeee luwajaaaaa!!....sosi: Passion Lady

hahahaaa dady bana
tunazunguka tumeshika tumbo
kama tunaskilizia maumivu flani lol!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom