Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

mkuu vijana wa leo hawawezi elewa hii kwani enzi hizo hata wanaoitwa wakongwe wa game leo walikuwa hawapo...huyo mr 2 sugu alikuwa mbeya sijui iringa huko,nigger j a.k.a prof j hajulikani alikuwa wapi!!!!huwezi zungumzia wakali wa enzi hizo bila kuitaja fukwe ya coco beach na zile beach parties ambapo k.u crew ndo ilikuwa ngome yao!

hebu cheki madude ya kina KU masela enzi hizo walikuwa hawatafsiri VINA .. kama watoto wa bongo flava enzi hizi ... wanalia mapenzi tu









JE UNAKUMBUKA ENZI ZA .. OYA MSLEAA OYAAAA! OYA MSELA OYAAAA!!







washakaji utawapata hadi kwenye WIKI PEDIA http://en.wikipedia.org/wiki/Kwanza_Unit

777777777777777777777777777777777777
kwanza+unit+2.jpg



KWANZA UNIT 1993. EASY B,D-ROB,RHYMSON,FRESH G,Y-THANG.

kwanza 1993.jpg
attachment.php


KWANZA UNIT 1993 "Chillin@ HomeBASE..aka COCO BEACH. FRESH,BALBO B(R.I.P),KBC,O.J.,EASY B,ZAWADI,D-ROB(R.I.P),NZEBA


ku.jpg
attachment.php


KWANZA UNIT+THE FOUNDATION 1993. RHYMES,SMOKE AND POLITIX,LoTs of FREESTYLES@ HomeBASE..SHINNE,KHALID(lil boy then),TOTTOO,BABII,DENISS,MACKAY


ku.jpg
attachment.php


KWANZA UNIT & KALAMASHAKA 1999 NAIROBI. "HIPHOP HARAMBEE"


ku.jpg
attachment.php


KWANZA 1994. KBC,D-ROB,FRESH G,Y-THANG,EASY B,CHIEF RHYMSON.

niga one.jpg
attachment.php


NIGGA ONE..R.I.P
 
Last edited by a moderator:
Boss- Daz Mwalim, Juma Nature na Solo Thang

Mambo ya pwani, homa ya dunia, mpenzi wangu nakupenda -Solo Thang

Mi na mabinti damu damu, Mwanafalsafani, Ingekuwa vipi, Tuliza ball etc- Mwana FA

Hili game, mzee wa busara, tulianzisheni la kigeto geto -Sir Nature

Machozi ya furaha, kifungoni, makini- Jdee

Niko kwa ajili yako - Stara Thomas

Safari- Pauline Zongo

Hii leo- JK, AY n FA

etc etc...
 
Dah huyo John Dillinga my crew alikuwa Mkali sana yaani ni kati ya maDJ wakali sana Bongo hivi sasa hivi yuko wapi, nakumbuka kuna disco lilikuwa pale by then mambo Club walikuwa wanajiita the powerfull 4 DJ JD, DJ RICO wawili siwakumbuki) aisee jamaa walikuwa wanatandika hizo ngoma ile mbaya, DJ JD anacheza na turn table hadi aibu!!!
Duh mkuu huyu jamaa John Dilinga siwezi kumsahau maana nikizungumzia burudani jamaa ni entertainer haswa huyu bwana anapiga muziki balaa! Unaweza kuenjoy hata kumuangalia tu jinsi anavyopiga muziki.binafsi nilikuwa kichaa wa vipindi vyake maana hakurupuki na enzi zile akisimama kwenye machine club bilicanas kule juu jinsi anavyopagawisha hadi jengo utafikiri litaporomoka,hata pale E.A radio akiingia studio mpaka sound ya radio inabadilika.Duh Legendary Dj JD we real enjoyed on those days,cku hizi hata hamu ya club sina sijui umri!
 
Boss- Daz Mwalim, Juma Nature na Solo ThangMambo ya pwani, homa ya dunia, mpenzi wangu nakupenda -Solo ThangMi na mabinti damu damu, Mwanafalsafani, Ingekuwa vipi, Tuliza ball etc- Mwana FAHili game, mzee wa busara, tulianzisheni la kigeto geto -Sir NatureMachozi ya furaha, kifungoni, makini- JdeeNiko kwa ajili yako - Stara ThomasSafari- Pauline Zongo Hii leo- JK, AY n FAetc etc...
Hili game ya Juma nature ndio mpango mzima kaka, au Tunataabika ya mabaga freshi duh!
 
hebu cheki madude ya kina KU masela enzi hizo walikuwa hawatafsiri VINA .. kama watoto wa bongo flava enzi hizi ... wanalia mapenzi tuJE UNAKUMBUKA ENZI ZA .. OYA MSLEAA OYAAAA! OYA MSELA OYAAAA!!washakaji utawapata hadi kwenye WIKI PEDIA Kwanza Unit - Wikipedia, the free encyclopedia777777777777777777777777777777777777
kwanza+unit+2.jpg
KWANZA UNIT 1993. EASY B,D-ROB,RHYMSON,FRESH G,Y-THANG.View attachment 34175
attachment.php
KWANZA UNIT 1993 "Chillin@ HomeBASE..aka COCO BEACH. FRESH,BALBO B(R.I.P),KBC,O.J.,EASY B,ZAWADI,D-ROB(R.I.P),NZEBAView attachment 34176
attachment.php
KWANZA UNIT+THE FOUNDATION 1993. RHYMES,SMOKE AND POLITIX,LoTs of FREESTYLES@ HomeBASE..SHINNE,KHALID(lil boy then),TOTTOO,BABII,DENISS,MACKAYView attachment 34177
attachment.php
KWANZA UNIT & KALAMASHAKA 1999 NAIROBI. "HIPHOP HARAMBEE" View attachment 34178
attachment.php
KWANZA 1994. KBC,D-ROB,FRESH G,Y-THANG,EASY B,CHIEF RHYMSON.View attachment 34179
attachment.php
NIGGA ONE..R.I.P
Mkubwa thanx 4 ur updates, nimekukubali kinyama, hizo picha na maelezo ndio mpango mzimaa. Thanx so much mkubwa, kuna mambo hayakua tukiyaelewa ila kwa msaada wako yapo sawa sasa!
 
Last edited by a moderator:
mkuu vijana wa leo hawawezi elewa hii kwani enzi hizo hata wanaoitwa wakongwe wa game leo walikuwa hawapo...huyo mr 2 sugu alikuwa mbeya sijui iringa huko,nigger j a.k.a prof j hajulikani alikuwa wapi!!!!huwezi zungumzia wakali wa enzi hizo bila kuitaja fukwe ya coco beach na zile beach parties ambapo k.u crew ndo ilikuwa ngome yao!
Ila King Crazy GK katokea mbali sana yule, ni moja ya waasisi wa KU (Kwanza Unity), mshikaji ana swaga za kivyake sana!
 
d ro a.k.a zomba ndo alipotekea ku crew na pale maeneo ya o bay ndo ilikuwa ngome yao mpaka IST na coco beach!GK kipindi hiko hakuwa anajulikana kimziki alikuwa ni rafiki wa marehemu D ROB anayeitwa BEIBII na JLT
Thanx 4 ur update kaka! Nimependa ufafanuzi!
 
wimbo wa kijinga sana kupata kutokea,sijui kwa nini umeukumbuka,hivi kweli mtu uliyelelewa kwenye maadili unaweza kutunga au kuimba wimbo kama huo?
Nimeukumba kwa sababu ulibamba then ilikua gumzo kubwa enzi zile. Nau'withdraw kaka!
 
dk, mi nmekuja tu kupata hitimisho,dalili zinaonyesha kwamba mi nimetharika...........ninao niiano, subiri vipimo;... ninao nniao;... usikate tamaa ................. huu nao ulitesa!!! ni nani vile?na ule wa nikimnunulia soda hataki anataka togwa, viatu anaweka ndani ya friji, nafikiri ni wa Prof. J. kama sio maji marefu.
Starehe? teh! teh! teh! Feruzi alibamba kinyama!
 
Duh! Kumbe unaijua na wewe? Nilidhan zako ni slow jams za bongo flava!
aaah mkuu ubongo wa fleva hapana. enzi za matamasha dön bosco, kuna vitu kama turuke turuke, kukurukakara zako, tanzania na siamin kama tupo wote wa mawingu band.
 
Mpaka leo mimi sijawai sikia kitu kama vumilia ya wale vijana wa uvc pale kati wanafatiwa na hii hali sasa imekua ngu cha juma nature..........huku nikiwa gano na zay b mwanadada gaidi pale kati uko wapi nikufa cha ray c.........acha tu jamani nakumbuka mbali machozi yameanza kumwagika sasa da!
 
Yo mamsap, nipoze moyo mama,
nimechanganyikiwa na penzi lako la gharama,
mapenzi si ugomvi, mapenzi si uhasama,
nipe penzi nikupe hapa mimi ni salama.
 
Mh...apa wakuu tunakumbushana tulipotoka au tunaonesha hakuna tulilofanya. Anyway its funny.
 
All time favourite 'wanock nock' wa mamdojo na domo kaya.
Wanock nock watu wa kupakazia yasiyowahusu wao huingilia!
Maneno yao ni kama ya simba ukiyasikiliza lazima utaumia
...Ukimpenda mtu bwan, ukimtaka mtu mwambie mwenyewe sio kumpakazia!
...Demu wa mtu washkaji wanamrukia,Kumbe ni waongo wao wenyewe ndo wanaomtokea!
Hahaha, ajabu hao wanock nock chakubimbi hadi leo wapo! Kha!
 
mtoto wa geti kali-inspekta haroun
hii nyimbo sichoki kuisikiliza na mashairi yake huwa mbavu zangu nazihurumia kwa kucheka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom