Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 803
enzi hizo ule wimbo wa Mb-dog "LATIFA" ukichezwa radion, mwenzenu nilikuwa napelekwa dunia nyingine kihisia, nakumbuka pia ule wimbo wa Prof. Jay "ZALI LA MENTALI" ulinibamba pia. Zipo nyimbo nyingi km vile ZEZE, KIKONGWE, KAMANDA, BARUA, MZEE WA BUSARA etc. We mwenzangu uliupenda wimbo/nyimbo gani zilizotamba enzi hizo? Tumetoka mbali sana!