Mkuu huku niliko balaa yaani hutakiwi hata kusalimiana na MwanamkeTena wewe Gazeti na hofu sana nawe ukichukulia na raia wanavyo kkubali itakuwa unagonga kama nyoka.
Usimhukumu mtu kwa maneno anayoandika kwani mtu hujifunza kwa kuona,kusikia n.k ingawaje kwenye saikolojia unaweza kujua tabia ya mtu kupitia matendo yake