Tukubaliane tu "WANAUME WENGI JF - MMU NI VICHECHE"

Ni kweli mkuu,mtu mwenye mke au msichana au mume au mpenz,huwez mkuta jf akipost mambo ya kijinga,ni wale tu wenye mapenzi ya kidali poo ndo wamejaa.wakati kama huu,ungetakiwa kuwa na mpenz wako,rather than posting nonsese ideas on jf.Nakuunga mkono,wanaume wengi wa jf ni vicheche.tena hawana mpenz wana wapendi..Big up mtoa mada.
 
Ni kweli mkuu,mtu mwenye mke au msichana au mume au mpenz,huwez mkuta jf akipost mambo ya kijinga,ni wale tu wenye mapenzi ya kidali poo ndo wamejaa.wakati kama huu,ungetakiwa kuwa na mpenz wako,rather than posting nonsese ideas on jf.Nakuunga mkono,wanaume wengi wa jf ni vicheche.tena hawana mpenz wana wapendi..Big up mtoa mada.

Ndiyo maana,kila siku wanatemwa..Hawako sirias..kwi kwi kwi kwi.
 
Ngoja waje. :popcorn:
Hata tukija hakuna jipya, ni mtizamo wake tu coz kuongea sio kutenda.... nawatetea wanaume wa MMU kwa kuwa wakikaa kimya na kuficha mawazo yao jukwaa litapoa na kupwaya sana....uhuru wa mawazo upo na si kila mtu aandikacho ndo afanyacho.
Merry X-MASS.
 
Umejuaje vicheche labda na wewe kicheche maana mchawi anamjua mchawi mwenzie.
Sio lazima wote tuwe wachawi kwani mtu akianguka na ungo lazima uwe
mchawi kugundua kuwa naye ni mchawi. Hizi semi nyingine zimepitwa na wakati
maana inakuwa kama aliye juu mngoje chini wakati ni bora kumfuata hukohuko.
 
hahaa ukweli utawasikia wakisemezana kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni nature ya mwanaume...hasa huu sio ukicheche?
Hiyo ni SUNA tu wala si mbaya ndo maana hata nikifumwa na wife nasamehewa, ila mi nikimfumania mh moto wake noma.
 
wewe mwenyewe ndo kicheche halafu neno kicheche ni mahususi kwa mademu kwa wanaume jina linalotambulika rasmi ni 'kiwembe'. Nitarudi baadae
Nimesema WENGI kwa hiyo wewe unaweza kuwemo au usiwemo!
 
he he he limempata kakalia pembe la MMU akidhani mwiba

atajiju, aje tandale wamfunde
Kama huyu Kongosho Comment zake nyingi zinaonyesha
kuwa ni mtu ambaye mpaka leo hajatambua kipaji chake,
Huyu anafaa sana kwenye Comedy.
 
dont assume Lizzy
wengine we mean bizness

afu huyu si ndo anapenda mhindi baada ya kubinywa mkono
asiseme yeye kicheche kuuziwa flash tu akayeyushwa?
Kwani kupenda mhindi ndo kuwa kicheche? We angalia Comment zilizofuata
mtu anakwambia tafuta gari Tinted funga vioo maliza kazi basi, wakati mimi nakusudia
kuoa
 
kisaikolojia ukiona mwanaume anajitokeza 'kuponda' wanaume
wenzake....basi kuna kitu kinamsumbua...

labda anaona anashindwa ku compete since wanaume wote ni hunters

au anaona hiyo ndo njia ya kujipandisha yeye chat

au yuko frustrated na mambo yake so anatoa hasira zake kwa wasiohusika.....

all in all huwezi kutegemea wanawake wajisifie kutembea na wanaume wengi...
ni vigumu......
wanaume ni kawaida hata kama sio kweli
Nime LIKE kwa sababu kuna kitu nimeongeza katika ufahamu wangu kwa
comment hii.
 
Back
Top Bottom