Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,328
- 6,846
Kama ni kusema tu, hata wewe mbona unasema hapa na kuna wengi tu hapa JF wamesema!!. Is that makes things TRUE?. YES, kama umebarikiwa upeo mdogo katika umbembuzi na uchambuzi wa mambo yanayohitaji fikra pana.
Kitu kinasemwa kikiwa kimebebwa na SOLID evidence.
Jibu langu utaliona nila kihuni kwa sababu unataka iwe hivyo kutokana na fikra zako.
SOLID evidence!!
Wasomi wetu akili zenu! na eti ndio viongozi wetu nyie!!
CHADEMA imeshasema siku nyingi inata tume huru ya kimahakama ichunguze ushetani huu, serikali ya ya JK inakataa!! Sasa na watu ndio wanasema sasa!
Unataka jamaa aende akachunguze tukio lile aje akuletee vipande vya bomu na mtu alie litupa!!
SOLID evidence!! matatizo ya kukariri vitu shule haya...