Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

Kama ni kusema tu, hata wewe mbona unasema hapa na kuna wengi tu hapa JF wamesema!!. Is that makes things TRUE?. YES, kama umebarikiwa upeo mdogo katika umbembuzi na uchambuzi wa mambo yanayohitaji fikra pana.

Kitu kinasemwa kikiwa kimebebwa na SOLID evidence.

Jibu langu utaliona nila kihuni kwa sababu unataka iwe hivyo kutokana na fikra zako.

SOLID evidence!!
Wasomi wetu akili zenu! na eti ndio viongozi wetu nyie!!
CHADEMA imeshasema siku nyingi inata tume huru ya kimahakama ichunguze ushetani huu, serikali ya ya JK inakataa!! Sasa na watu ndio wanasema sasa!

Unataka jamaa aende akachunguze tukio lile aje akuletee vipande vya bomu na mtu alie litupa!!

SOLID evidence!! matatizo ya kukariri vitu shule haya...
 
Stop telling lies and if you have evidence on the involvement of government then present it to the Police. What you are saying here is rubbish, calculated to mislead people for the benefit of your CHADEMA. These lies will not help you at all; you are a failure in this country. Shame on you!

Utumiaji wako wa Kiingereza unathibitisha ni jinsi gani unavyochukia watu wakisema kuwa serikali/ccm inahusika. Kama unataka kuwashawishi kuwa si hivyo tumia lugha nzuri na si matusi. Watu wamekufa jana, wananchi wana hasira, wananchi wanaogopa, watasema kila kitu ili kuelewa ni kitu gani kinatokea. Kwa kutumia kiingereza na matusi kem kem, na lugha ya kinyapara, kunaonyesha kutojali kwako hisia za watu. Unapofanya hivyo, nikuambie wazi, unazidi kuwafanya watu waamini zaidi hicho wanachokiamini na kukujumuisha wewe katika kundi la hao wahalifu.
 
Mulongo atawaponza Polisi kwa sababu ijulikane Mulongo ni mbaya kuliko Mwigulu Nchemba. Mulongo amewatuma polisi wamuue Lema kwa kisasi cha Chuo cha uhasibu. Public ijue Gaidi namba moja ni Mulongo na polisi wanatumika kufanikisha malengo yake maovu.

Ifike mahali tuseme Jino kwa jino, ikithibitika kuwa polisi walihusika, basi mwigule achomwe na Mulugo lazima walipe kwa damu za wenzetu zilizomwagika.
 
Wana Jf,

Kwanza niwape pole wale wote waliopatwa na matatizo.

Baada ya hapo napenda kujulisha kuwa yule kijana aliyerusha bomu, aliyekuwa amevalia kaptula ya jinsi ni askari polisi.
Amethibutika ni askari polisi na anafahamika katika matukio mengi ambayo yamekuwa yakitokea hapa Arusha. Huyu askari (jina linahifadhiwa kwa muda) hata kwenye rukio la jana la shambulio la kuwadhuru wanachama wa chadema mitaa ya themi alikuwepo.
Siku ya ijumaa yule askari alikuwepo kwenye mkutano wa mwandri pale kimandolu. Amkuwa akitumiwa na ccm kufanya matukio ya uvunifu wa amani.
Huyu askari mara nyingi yupo na majambazi wa ccm akina Jumanne Mjusi.
Imethibitika kuwa kauli za Nape na Mwigulu hazikuwa za bahati mbaya, pale waliposema ccm watatangazwa washindi hata wadipochaguliwa na wapiga kura.
Ikumbukwe kuwa Mwigulu aliweka kambi hapa mwezi mzima, baada ya kuona amevuna aibu yeye na serikali yake wakaamua kutumia hila kuwadhuru raia wema wasio na hatia.
Kwenye lile tukio la jana mlengwa alikuwa Lema, kwa mbowe ingelikuwa concident!
Inasikitisha sana na inauma sana! Mungu awatangulie watanzania!

Siyo siasa wanajamvi, baada ya muda tuta upload video kwa uthibitisho zaidi!

CONFIRMED KWA USHAHIDI UPI? EM TULETEE DATA ZA KUTOSHA mzee.
 
Mkuu mie habari niliyopata kutoka kwa mtua aliekuwa karibu kabisa na tukio hilo kasema alimwona mtu alierusha bomu..na kumbe ni watu wengi walimwona wakaanza kumbiza...walipomkaribia polisi wakarusha bomu la machozi eneo lile!! basi yule mtu akatokomea..
Lakini wengine wanaenda mbali zaidi wanasema walimwona akipanda gari ya polisi!!! Hizi ni habari za mtu alikuwa eneo la tukio!!

Tunaka tume huru kuchunguza mambo haya!!
Mkuu kama hili jambo liko hivyo basi kwa mujibu wa katiba serikali iliyoko imekosa uhalali wa kuwa madarakani. Imeshindwa kulinda raia wake sasa inafanya mbinu za kigaidi kuua raia wake. Tumshukuru MUNGU idadi ya vifo imekuwa ndogo(ingawa maisha hata ya mtu mmoja hayachezewi) maana katika mkusanyiko kama ule maafa makubwa sana yangeweza kutokea.
Hivi tungepoteza watu mia moja na mataifa ya nje yapate taarifa kuwa ugaidi huo umefanywa na Polisi wa serikali ili kuhakikisha Uchaguzi haufanyiki ili Meya abaki madarakani tungeonekana ni taifa la aina gani.
NA KWA NINI MWIGULU UNATAJWA SANA KATIKA MATUKIO YA AINA HII?
 
Asilimia 90% ya mambo yanasemwa TZ kuhusu kitu chochote kile ni uongo na uzushi tu, kuanzia fulani ana Ukimwi, mpaka fulani ni Fisadi, au fulani anatembea na fulani, au watu wamefumaniwa wakifanya ngono miili yao ikagandana, na hivyo na hili haliwezi kuwa tofauti pia!
Kwahiyo wewe ndio umerusha hilo bomu; wenzio wanakuambia aliyerusha bomu ni fulani labda wamemuona wewe unasema ni uzushi na uongo sasa hiyo maana yake nini si ina mana ulimuona aliyerusha kama sio wewe mwenyewe na mbona basi humsemi unalalama tu ni uongoooo huku husemi ukweli ni upi basi wewe ndiye umerusha bomu. Kwa akili yako ni kwamba kwa kuwa kuna mauzushi na mauongo mengi ndio basi kila kitu ni uongo ukweli hamna tena sijui hata ni kanuni gani hiyo ya kifalsafa inaaminisha kihivyo.
 
Mkuu hili tukio halihitaji chembe ya siasa, subiri video iwekwe sote tutaiangalia.
Haihitaji elimu ya chuo kusema huu ni mpango mbaya wa serikali ya ccm wakiongozwa na mwigulu nchemba kupanga unyama hui

hiyo video ndo mpango mzima, tunaisubiri kwa hamu!
 
Stop telling lies and if you have evidence on the involvement of government then present it to the Police. What you are saying here is rubbish, calculated to mislead people for the benefit of your CHADEMA. These lies will not help you at all; you are a failure in this country. Shame on you!
Wewe ni mpumbavu wa mwaka, failures in this country wanajulikana, ni CCM na rais wa Dhaifu Kikwete. Wamehamishia Chama kizima Arusha wakaona hali ni mbaya wameamua kuua raia, failure. Wakati raia wanataka kumkamata polisi aliyelipua bomu mapolisi wenzake wakamuokoa kwa kupiga mabomu ya machozi, failure.

Then unakuja wewe mpumbavu unawaambia watu wapeleke ushahidi kwa polisi hao hao. Kweli wewe ni mliberali
 
Tunakoelekea siko. siasa hizi za maangamizi hakuna alie salama sasa
Wana Jf,

Kwanza niwape pole wale wote waliopatwa na matatizo.

Baada ya hapo napenda kujulisha kuwa yule kijana aliyerusha bomu,
aliyekuwa amevalia kaptula ya jinsi ni askari polisi.
Amethibutika ni askari polisi na anafahamika katika matukio mengi ambayo
yamekuwa yakitokea hapa Arusha. Huyu askari (jina linahifadhiwa kwa
muda) hata kwenye rukio la jana la shambulio la kuwadhuru wanachama wa
chadema mitaa ya themi alikuwepo.
Siku ya ijumaa yule askari alikuwepo kwenye mkutano wa mwandri pale
kimandolu. Amkuwa akitumiwa na ccm kufanya matukio ya uvunifu wa amani.
Huyu askari mara nyingi yupo na majambazi wa ccm akina Jumanne Mjusi.
Imethibitika kuwa kauli za Nape na Mwigulu hazikuwa za bahati mbaya,
pale waliposema ccm watatangazwa washindi hata wadipochaguliwa na wapiga
kura.
Ikumbukwe kuwa Mwigulu aliweka kambi hapa mwezi mzima, baada ya kuona
amevuna aibu yeye na serikali yake wakaamua kutumia hila kuwadhuru raia
wema wasio na hatia.
Kwenye lile tukio la jana mlengwa alikuwa Lema, kwa mbowe ingelikuwa
concident!
Inasikitisha sana na inauma sana! Mungu awatangulie watanzania!

Siyo siasa wanajamvi, baada ya muda tuta upload video kwa uthibitisho
zaidi!
 
Stop telling lies and if you have evidence on the involvement of government then present it to the Police. What you are saying here is rubbish, calculated to mislead people for the benefit of your CHADEMA. These lies will not help you at all; you are a failure in this country. Shame on you!
Hahaha, aidha ni "mtoto" ndani ya chama chetu au unafanya kwa makusudio, usione cuf wameungana na ccm ukadhani wamependa au labda ccm ni wema sana. CCM katika fitina za madaraka ni noma; hebu kawaulize wale "Janjaweed" wa kule zanzibar waliokuwa wanakunya mavi visimani na kupakaza eneo zima la kisima kisha kuwasingizia CUF. Usicheze kabisa na CCM wala usiwabishie jambo lolote wanapotaka kufanya hila za kupata madaraka
 
Kwanza wewe ni nani mpaka uthibitishe hii taarifa?,hakuna sosi na ilivyoandikwa ni kama vile ulikuwa umesimamiwa!!!!!!,maelezo ya kipuuzi hivi wapelekee wapuuzi wenzio bwana humu tunahitaji taarifa zilizokamilika.

Sina namna ambayo naweza kukuelezea na nikaeleweka , Bali labda niseme maneno machache tu kwamba kwa andiko lako hili umeitia aibu kubwa sana JF , M/MUNGU akusamehe .
 
Video ingetia uzito zaidi,na jina la huyo mtu katika Nyakati hizi mbaya na ingefanya JF ni chombo chenye kuaminika zaidi!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkuu, hapo mwenyekiti wa ccm taifa anaingiaje? si ungesema tu kuwa katibu mkuu wa chadema dr slaa ndo mliberali maana watu wake wanakufa huku yeye akiendelea kuponda maraha na josephine huko kwa maliberali

Toka lini Dr. Slaa ameapishwa kuwa Rais wa nchi hii. Watu waliokufa wanamapenzi kwa chama cha CDM lakini ni wananchi wa Tanzania ambayo Rais wake ni Kikwete anayeongoza Dora ambayo inakusanya kodi toka kwa wananchi wote na inajukumu la kulinda usalama wao. Acha ushabiki wa kisiasa. Aibu hii Rais na Chama chake hawawezi kuiikwepa.
 
sijui Arusha wanaelekea wapi inaonekana hii siasa ya vyama vingi haiwafai umeya tu wanauana itakapofika urais na ubunge itakuwaje...mi nashauri waandikiwe katiba yao wenyewe hii ya vyama vingi imewashinda kwa nini wao tu kila siku...?
Hizo taarifa za kipolisi hazioneshi ukweli wowote, wameruhusu damu kumwagika kwa hiyo wote wana makosa ...
 
Back
Top Bottom