Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

Mkuu hili tukio halihitaji chembe ya siasa, subiri video iwekwe sote tutaiangalia.
Haihitaji elimu ya chuo kusema huu ni mpango mbaya wa serikali ya ccm wakiongozwa na mwigulu nchemba kupanga unyama hui

mkuu, hiyo video anaandaa nani? isije ikawa inaandaliwa ili kuwapaka watu fulani matope
 
mkuu, pamoja na kuwa umeandika mambo mengi sana, ukweli ni kuwa huko ni kutapatapa tu. ungekuwa muungwana kama ungetutajia jina la huyo askari vinginevyo huo ni umbea na uzushi.

.....hukuwepo kwenye eneo la tukio subiri waauwaji waanikwe.......
 
Mkuu mie habari niliyopata kutoka kwa mtua aliekuwa karibu kabisa na tukio hilo kasema alimwona mtu alierusha bomu..na kumbe ni watu wengi walimwona wakaanza kumbiza...walipomkaribia polisi wakarusha bomu la machozi eneo lile!! basi yule mtu akatokomea..
Lakini wengine wanaenda mbali zaidi wanasema walimwona akipanda gari ya polisi!!! Hizi ni habari za mtu alikuwa eneo la tukio!!

Tunaka tume huru kuchunguza mambo haya!!

naml nakuunga mkono nimeambiwa maneno yanayoendana na hayo
 
Mulongo atawaponza Polisi kwa sababu ijulikane Mulongo ni mbaya kuliko Mwigulu Nchemba. Mulongo amewatuma polisi wamuue Lema kwa kisasi cha Chuo cha uhasibu. Public ijue Gaidi namba moja ni Mulongo na polisi wanatumika kufanikisha malengo yake maovu.
 
Polisi wakusanye hizi taarifa zanaweza kusaidia katika upelelezi. Mungu tuepushie madhara mengine
wewe nawe? Polisi wa Tanzania wajipeleleze wenyewe? Matukio mangapi ambayo wameshiriki yakiwemo ya akina Ulimboka, Kibanda, Mwangosi na mauaji ya kila siku kwenye mikutano ya CHADEMA na hawajikamati? Mimi nasema kama watanzania hatutaamua tu kuchukua hatua sasa ya kujilinda basi tusahau kama tuna ulinzi kwa sasa. Ni matukio kama haya ndiyo husababisha chama kuamua kuwa na vikosi vyake vya mapambano. Hivi ni nani anaweza kuendelea kuvumilia kufanya siasa za mashaka namna hii?
 
Ndio maana CCM hawaitaki JF waijadili mpaka kwenye vikao vyao kuifuta inawaumbua sana.
 
Ni kweli kabisa, manake hata video inaonyesha baada ya kurusha bomu alikimbilia kwenye gari la polisi halafu likaondoka kwa kasi ya ajabu.
Video tutai upload muda si mrefu!
Ni hatari sana ccm kutumia isalama wa nchi kufanya ugaidi!
Hii damu itawalilia wao pamoja na wote wanaosapoti unyama huu!
Mark my words!

Mkuu Mungi binafsi nitasema neno nikiona hiyo video
 
Last edited by a moderator:
Kwanza wewe ni nani mpaka uthibitishe hii taarifa?,hakuna sosi na ilivyoandikwa ni kama vile ulikuwa umesimamiwa!!!!!!,maelezo ya kipuuzi hivi wapelekee wapuuzi wenzio bwana humu tunahitaji taarifa zilizokamilika.

....toa siasa kabisa na unyamaze kimya!!!
 
Mwenyekiti wa CCM taifa yupo kama LIBERALI....!

mkuu, hapo mwenyekiti wa ccm taifa anaingiaje? si ungesema tu kuwa katibu mkuu wa chadema dr slaa ndo mliberali maana watu wake wanakufa huku yeye akiendelea kuponda maraha na josephine huko kwa maliberali
 
Bado haufiri sawasawa kama ndivyo ulivyo pole sana..S..uala la bomu kutojulikana lilitoka wapi unalijibu kihuni hivi!
Then unasema mbinu zinafahamika baada ya kitendo kufanyika!! mara ngapi Kina Dr Slaa wamesema kuna kuna mbinu za kuua viongozi na kuihujumu CHADEMA?? Unachekea nini hapa!

Ila kama unafanya makusudi ole wako...siku zaja..
Kama ni kusema tu, hata wewe mbona unasema hapa na kuna wengi tu hapa JF wamesema!!. Is that makes things TRUE?. YES, kama umebarikiwa upeo mdogo katika umbembuzi na uchambuzi wa mambo yanayohitaji fikra pana.

Kitu kinasemwa kikiwa kimebebwa na SOLID evidence.

Jibu langu utaliona nila kihuni kwa sababu unataka iwe hivyo kutokana na fikra zako.
 
Mkuu hili tukio halihitaji chembe ya siasa, subiri video iwekwe sote tutaiangalia.
Haihitaji elimu ya chuo kusema huu ni mpango mbaya wa serikali ya ccm wakiongozwa na mwigulu nchemba kupanga unyama hui

VIDEO!!!,katika hatua hii ya ukuaji wa Teknolojia hilo linawezekana,na hasa ikizingatiwa kwamba kuna watu walishatangaza kuingia ikulu kwa namna yoyote,so.hii inaweza ikawa ni mwanzo wao mzuri wa kutengeneza ili kuwaaminisha watu kwamba Baba ndiye kafanya lakini Mungu yupo na kila kitu kitakuwa hadharani mwisho wa siku.
 
Back
Top Bottom