Kwanza wewe ni nani mpaka uthibitishe hii taarifa?,hakuna sosi na ilivyoandikwa ni kama vile ulikuwa umesimamiwa!!!!!!,maelezo ya kipuuzi hivi wapelekee wapuuzi wenzio bwana humu tunahitaji taarifa zilizokamilika.
Mkuu wangu.Tusiweke siasa kwenye vifo vya watu.Cha kufanya ni kumuomba mleta mada aweke video.