Tukio la aibu! Sintolisahau!

Kipindi niko form4 kuna demu alitokea kufall kwangu ila mimi ckuwa na habari naye!!!alafu hakuwa mkali kihivyo!!ebwana yule demu akawa anatangazia kila mtu kwamba mimi ndo namchukua,ukizingatia nilikuwa kichwa ila darasani!!kibaya zaidi ni hiyo siku aliponipiga busu wakati mimi sina hata habari tena mbele ya darasa,Dah niliona noma kishenzi!!!sitoisahau hii siku wanajf,Tafakari ingekuwa wewe!
 
Back
Top Bottom