Tukiendelea hivi Majeshi yetu yataendelea kushuka ubora

Nazungumzia haya majeshi yetu hasa JWTZ, Polisi, Uhamiaji, Magereza na mengineyo

Miaka ya nyuma watu walijiunga na Jeshi kwa moyo mmoja wa uzalendo wa kuitumikia nchi yao hali imekuwa tofauti kwa miaka ya hivi karibuni mtu anamaliza bachelor ama amefeli anasota kitaa anaona solution ni kwenda Jeshi, yaani Jeshi sasa hivi ni ajira wala hamna uzalendo ndo maana mtu anaweza kwenda kozi ila kipindi cha kozi chote anaumwa na siku ya kuapa anaapa.

Mbaya zaidi maafisa wako bize kuingiza vijana wao na ndugu zao mfano zamani TISS walikuwa wanachukua watu baada ya uchunguzi wa kina, ila sasa hivi wanaenda kwa connection tutegemee makubwa zaidi
ukiwa hauna connection hata kama una moyo wa kuwa mjeda sahau labda utaingia kama mtu wa ziada kujazia nafasi iliyo wazi

Na hata juzi vijana waloenda Msata na Oljoro lilitoka bogi la Mabeyo(kama hujui tulia hivo hivo)

Zamani Jeshini ukiwa una tatoo, huna uvungu, unafanya mapenzi kinyume na maumbile huwezi kujiunga na Jeshi lakini sasa hivi hadi gays wanaenda kupiga kozi.

Jeshini sasa hivi imekuwa sehemu ya kustarehe yaani hata hawawazi chochote, maafisa wao ni starehe kwa kwenda mbele na umalaya.

Vijana legelege nao wamo siku hizi
Kwa taarifa yenu tuendelee kukwepa migogoro na nchi nyingine kwa maana kwa jinsi majeshi yetu yalivo relax ni rahisi kuingia na kuchunguza kila kitu kwa uzuri

Msishangae Jeshi kuendelea kushuka chini kwenye ranks
Nipo hapa bonyokwa nacheza draft
Hakuna kilichobadilika… ni utandawazi u

Usijidharaulishe sana

Waachie mafundi
 
Naomba kupewa sababu maalumu na mahususi za kisayansi na ki medani kwann gays hawaruhusiwi kujiunga na Jeshi.??

Nahitaji majibu yaliyojaa uweledi na staha, povu sitaki.
Jeshi ni kazi ya kiume ile sio sehemu ya kwenda mtu mgonjwa, mlemavu au shoga! Ushoga ni disability kama ulemavu tu. Sema ni ulemavu wa kisaikolojia.
 
akitaka aje wala hatopata shida maana sie huku kambini tunashindana kununua gari kali kupandishwa vyeo,ndo maana unaona wanahangaika watoto wao waingie jeshini maendelee kula maisha tu
Yani kuna baba mdogo wangu baada ya kuchapika na life baada ya chuo alimaliza 2OO8 nafikiri kufikia 2O1O akaotea shavu huko akaenda kozi. Sikuhizi anabadilisha NISSAN XTRAIL tu kila toleo jipya analo yani😂😂😂 jeshini ni raha sana. 2O18 kaoa zake kwa raha mustarehe kafanyiwa sherehe kijeshi.
 
Siku hizi hata hawaendi zile mission kama za Seychelles
Kuna jamaa zangu wananiambia katka watu wanao kula starehe hapa tz ni wao
Full pombe na mademu
Mtu anaingia jeshin hadi ana staafu hajui vita kabsaaa

Maajabu mwanajeshi anakitambii kama kiroba hizi ni dharau kabsaaa
Mazoezi ni kwenye kozi tu ukimaliza ile miezi 6 ya mazoezi wewe ni kula bia tu na kutmba malaya. Kama una cheo mwendo wa kuagiza magari tu duty free 😂😂😂
 
Back
Top Bottom