Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.

kweli brother hao wanaongea mbaya kuhusu jk wanakosea 100% na hawajui ukweli zaidi ya ku express there feelings, if dont have what u like then like what you have now...!!
 
To me I think the issue siyo Masha, lakini kuikosa Mwanza na kuchukuliwa na wapinzani. Mwanza ni moja kati ya ngome kubwa ya utawala.
Mwanza ina represent kanda ya ziwa, sasa kama kanda ya ziwa imetekwa wewe rais uliye madarakani au chama inabidi muwe waangalifu. Kwa sababu hii blow ya mwaka huu kama ikiendelezwa mwaka 2015 ndio itakuwa mwanzo wa kuiondoa CCM madarakani. The wind of change has started in Mwanza and it may cross over to Mara, Kagera and Shinyanga. Soon we can see lake zone seceding.
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.

Mzandiki nani kama sio wewe!!!
Mara umekuwa msemaji wake sasa!! poor you CLM!!! CLM!!! CLM!!!!
 
yani bado hujui?...si wanafanya biashara haramu pamoja "human trafficking..did i said drugs?...ohhh not drugs bana biashara haramu ya kusafirisha na kuwa-tanzaniisha wageni hasa wasomali..yap muulize masha kwanini huwa hawarudishi makwao wasomali...yesss..si waziri wa mambo ya ndani mwenye dhamana ya uhamiaji pia" ..pia jk domo zege so masha huwa anampigia mapande ya milupo hasa kila mara anapokuwa ameenda states ...ahahahaha...

maswahiba hawa banaaaa...ohhh pia nimesahau..si unajua masha huwa anamlipia karo mtoto wa jk anaitwa riz-1 kila anapoenda kusoma nje ya nchi...ahahaha... ohhh pia nimesahau "masha sindio kamuajiri mtoto wa jk hapo IMMMA...ndio dogo wa jk ni lawyer "mkusanya-vyeti" na asiye-practise....

YES I SAID IT kwani lini alishabeba hata file la kesi yoyote toka amalize college na kuliingiza hata kwa karani wa mahakama...ohhh sikuizi dogo anataka kuvaa viatu vya mzee wake..ahahahaah...like father like son...ndio mbona THE KENEDY family wapo hivyo...why not the JK family hapa kwetu

hii kali kaka. umenifumbua
 
Hapana, sidhani,kwani kama wananchi wake wamemuona hafai halafu rais akaampa kazi, basi ni dhahiri unawasaliti na kutowaheshimu waliiona kwamba hafai.
 
Wandugu,msigombane. Masha na JK ni 'brothers' long time. Hata JK akienda US anafikia kwa kin Masha, Baba yake Masha ana estates za kutosha US.

Pili Masha ni bosi wa IMMA advocates ambako Ridhwani Kikwete anafanya kazi. Sasa kuna maswali hapa?
 
Ni bora umguse JK mwenyewe kuliko kugusa maslahi ya mtoto wake, angalia kule uvccm ambao alikuwa na beef nao.
Kwa upeo wangu mmoja wapo alikuwa asogezwe mbele kati ya Masha na Membe baada ya JK.
 
Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi Masha kuliko wagombea wote wa CCM.

JK alitaka Masha ashinde ili amteue tena kuwa waziri.
 
Nina mashaka na huyu Omarilyas may be he is one of them,labda ni relative au mtu wa karibu na hao wahusika.
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.
Kwani wewe ndie msemaji wake? Mbona unakuwa mmbeya hivyo?
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.

Ndg Omarlyas...Huna hata aibu?

Naona kufikiria kunakupiga chenga au unafikiria kwa makusudi 'kutokufikiria' kama wafanyavyo NEC kuwa wanatangaza sahihi kumbe mioyoni wanajua vidole vya watanzania wanaoendelea kuhujumiwa vinawaelekea kila asubuhi na jioni na kwenye ndoto...

Hawatatulia hata sekunde moja...Na kuchelewesha ni 'DELAYING TACTICS ILI KURUHUSU ELECTION RIGGING' au 'Kuiba Uchaguzi' toka kwa washindi kwenda kwa walioshindwa. Nchi hii ni ya watu na watu wanafaa kupewa walichoamua kwa haki yao. Mambo yatamuwia JK magumu sana hata wakimpa ushindi wanaokusudia.
 
No actually Marsha na ile IMMA Advocates (kampuni yake) walihusika na Deep Green amabayo iliingiza pesa kibao kwenye uchaguzi 2005. In fact watu walijua Marsha atakuwa Waziri (naibu) hata kabla ya uchaguzi kumalizika 2005!!
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.

Ni kweli mdau habari za ndani kabisa zinasema hivyo, na ukiona jimbo ambalo upinzani wameshinda linacheleweshwa, jua hao wajingawajinga wanamuogopa JK lakini once akiambiwa-haya ndiyo maneno yake "mpeni! mpeni! bana, hiyo ndiyo demokrasia" nadhani anaogopa big riot isitokee katika session yake-Shortly, jamaa kakomaa ktk demokrasia ya vyama vingi tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa mbabe sana akishirikiana na mahita wake. Tumpe viva kwa hili angalau!
 
Back
Top Bottom