Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

yani bado hujui?...si wanafanya biashara haramu pamoja "human trafficking..did i said drugs?...ohhh not drugs bana biashara haramu ya kusafirisha na kuwa-tanzaniisha wageni hasa wasomali..yap muulize masha kwanini huwa hawarudishi makwao wasomali...yesss..si waziri wa mambo ya ndani mwenye dhamana ya uhamiaji pia" ..pia jk domo zege so masha huwa anampigia mapande ya milupo hasa kila mara anapokuwa ameenda states ...ahahahaha...

maswahiba hawa banaaaa...ohhh pia nimesahau..si unajua masha huwa anamlipia karo mtoto wa jk anaitwa riz-1 kila anapoenda kusoma nje ya nchi...ahahaha... ohhh pia nimesahau "masha sindio kamuajiri mtoto wa jk hapo IMMMA...ndio dogo wa jk ni lawyer "mkusanya-vyeti" na asiye-practise....

YES I SAID IT kwani lini alishabeba hata file la kesi yoyote toka amalize college na kuliingiza hata kwa karani wa mahakama...ohhh sikuizi dogo anataka kuvaa viatu vya mzee wake..ahahahaah...like father like son...ndio mbona THE KENEDY family wapo hivyo...why not the JK family hapa kwetu

kaka umenenaaaaa...!!
 
masha si ndio aliandika mkataba wa DEEP Green. Hiyo Deep green ilichota bilioni 40 na hizo hela ndio zilimwingiza Kikwete ktk uchaguzi wa 2005

Si tu aliandika lakini DEEP Green ipo chini ya IMMA inayomilikiwa na Ishengoma Magai Mujuruzi Masha, Hizo 40 billioni Masha na wenzake walikula na JK pia kiasi kingine kikaenda kwenye kampeni
 
Jamani wadau wa jf msiwe wepesi kusahau , kuanguka kwa jimbo la nyamagana hiyo ina maana kuanguka kwa injinia wa dili kubwa kuliko zote ambalo lingempatia jk na masha pesa kubwa ambayo hawajawahi kupata katika dili zote walizowahi kupiga nayo ni dili ya vitambulisho vya taifa ambayo masha alikuwa alete kampuni yake kutoka nje ya nchi kwa baraka za jk,pia kuanguka huko kuna maana sasa yu hatarini kushitakiwa kwa wizi wa fedha za umma kutoka bot akiwa na kampani yake na wanasheria wa imma,waliompa kazi kwa mara ya kwanza mtoto wa kikwete..........habari ndiyo hiyo...........na connection ndiyo hiyo.......mi mtembezi bwana naendelea kutembea!

Hamna wa kumshtaki Masha. Hana tofauti na Lowassa na Rostam
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.

I wish unayoyasema yangekuwa kweli maana majimbo ya segerea, kilombero, kigoma mjini, shinyanga mjini na kwingineko yangekuwa yako chini ya Chadema
 
mnmjua jaji alocius mujulizi? nasikia naye alikuwa IMMA pamoja na masha. kama masha akishtakiwa anaweza kupelekewa kesi hiyo

Ni kweli kabisa. Jakaya Kikwete alipopata Urais alichukua watu wawili kutoka IMMA.
1. Lawrence Masha akamteua kuwa Waziri
2. Mujuluzi akamteua kuwa Jaji, kama sikosei huyu ndiye alikuwa kinara kwenye DEEP Green kwenye EPA halafu hawa watatu wakifuatia

Hivyo kwenye kampuni wakabaki Magai na Ishengoma wakisaidiwa na Riziwani
 
KWa hiyo kwako wewe ni vema mkaendelea na uzandiki na upotoshaji na asije mtu akawarekebisha....

Namjua Masha na pia naheshimiana naye lakini hili la VITAMBULISHO mnamuonea Kikwete...........Just jikumbusheni alichokisema katika mahojiano ya Ijumaa pale Arnatoglu kuhusu "maslahi binafsi" katika huu mradi na mchimbe mjue undani wa suala hili na sio kukimbilia assumptions tu.....no wonder wengine mnakimbilia kukumbatia visivyokumbatiwa mkidhani hamdanganyiki......

Kwani Mkapa wakati yuko madarakani alikubali kama ana Interest na Kiwila???? wote wanasemaga hivyo hivyo tu mpaka ukweli ukijulikana wanakuwa mabubu ghafla
 
Masha si ndo ana Law Chamber ambayo Mtoto wa JK anapata kula yake ya kila siku kama sikosei

You got a point there ......... and I will not be surprised if he is given a special seat ......... he was also his buddy for finding him gals .....:A S angry:
 
Masha ni mchakachuaji mwenzake, anataka kuficha uozo walioshiriki nae kwenye EPA, na pia kwenye ID za uraia:A S angry:
 
Wahuni hao wanaotuibia kura,iko wazi.ful magumashi bt nuru unakuja soon.
 
Wandugu,msigombane. Masha na JK ni 'brothers' long time. Hata JK akienda US anafikia kwa kin Masha, Baba yake Masha ana estates za kutosha US.

Pili Masha ni bosi wa IMMA advocates ambako Ridhwani Kikwete anafanya kazi. Sasa kuna maswali hapa?

- Whaaaaaaat? Estates? Wapi in USA?


FMEs!
 
Hamna wa kumshtaki Masha. Hana tofauti na Lowassa na Rostam

Boma2000, usilinganishe kifo na usingizi.

Masha siyo ligi ya akina Lowassa, Rostam, Chenge, Sitta, Kinana, Meghji.

Masha ni mtoto wa kutumwa chumvi akiwa na hao 'vigogo'. Masha ligi yake ni akina Ngeleja, Serukamba, Kamala, Adam Malima, Nchimbi, Malisa (UVCCM). Very much disposable.

Kumbuka sakata la Mengi na Masha, yeye kaagiza polisi wamhoji Mengi, Mengi kakataa na Masha akaambiwa mtoto tulia, na akatulia mpaka leo.

Hakuna suala zito la kumshitaki Masha wakati wa Kikwete, ila endapo ataingia 'fulani wa CCM' hiyo 2015, hapo ndiyo patakuwa patamu. Itakuwa kama Kikwete na akina Mramba/Yona.
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.

Wazee wa juzuu 30! Mmeanzisha udini wenyewe ila itakula kwenu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom