Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

Mimi nimeshangaa sana prezda anatumia nguvu nyingii kuwabeba baadhi ya wagombea wa CCM.
Hakuna kitu kingine---INTEREST binafusi lazima ipo.Lakini kwasababu ya Nguvu ya Umma AKA People's Power,mwisho wake umefika!!
 
Waitara hakutakiwa kustaafu mapema vile......mungu wetu shuka tena kwa kweli
 
Kikwete ana masilahi 100%, kama unafatitilia vizuri wakati wa uchaguzi wa 2005, alichangiwaa pesa nyingi Mwanza akina Masha, kwa hiyo akampa uwaziri ila wazile pesa za vitambulisho vya uraia ni dili lake na Masha. Pia Masha ni mwajiri wa mwanae, sasa wewe unategemea atakubali mwanae ajira yake iharbike...........
 
Jamani wakati wa campaign umeisha hapa tunataka fact! na wala si ushabiki. uki post chochote ni lazima uwe na fact yake na sio blah blah!
 
yani bado hujui?...si wanafanya biashara haramu pamoja "human trafficking..did i said drugs?...ohhh not drugs bana biashara haramu ya kusafirisha na kuwa-tanzaniisha wageni hasa wasomali..yap muulize masha kwanini huwa hawarudishi makwao wasomali...yesss..si waziri wa mambo ya ndani mwenye dhamana ya uhamiaji pia" ..pia jk domo zege so masha huwa anampigia mapande ya milupo hasa kila mara anapokuwa ameenda states ...ahahahaha...

maswahiba hawa banaaaa...ohhh pia nimesahau..si unajua masha huwa anamlipia karo mtoto wa jk anaitwa riz-1 kila anapoenda kusoma nje ya nchi...ahahaha... ohhh pia nimesahau "masha sindio kamuajiri mtoto wa jk hapo IMMMA...ndio dogo wa jk ni lawyer "mkusanya-vyeti" na asiye-practise....

YES I SAID IT kwani lini alishabeba hata file la kesi yoyote toka amalize college na kuliingiza hata kwa karani wa mahakama...ohhh sikuizi dogo anataka kuvaa viatu vya mzee wake..ahahahaah...like father like son...ndio mbona THE KENEDY family wapo hivyo...why not the JK family hapa kwetu

Post of the century full stop and this shows that YOU CARE...
 
Ana nyaraka za Mradi (wa kifisadi) wa kutengeneza kinachoitwa vitambulisho vya uraia.

Ni dili ya JK, Masha and Sons.
Hii imetulia mkuu,ila usimwambie mtu...jk anataka kuufanya mradi wa kifamilia kwa vile ni mradi wa muda mrefu sana so utaibeba familia sana tu.
Angalizo;Kama Kingwangwala kashinda,ndo super sub ya Masha!!
 
Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi Masha kuliko wagombea wote wa CCM.

... yawezekana kashikwa pabaya na Lau! Most likely, Lau could be preview to sensitive financial data for illicitly acquired wealth!
 
si mwana mtandao huyu, yeye alipigana kumuweka 2005 hivyo naye alijaribu kumuokoa.
 
Acheni uzandiki. Kikwete hahusiki na uhuni unaofanyika majimboni. Sanasana yeye ndiye imembidi aingilie kati katika baadhi ya majimbo kuwashinikiza wahuni wa huko koutangaza matokeo ya halali na kuwaonya kuwa hatambeba yeyote atakayechakachua.
Huyo ndo jakaya for you if you didnt know!Anakupa mkono wa kulia kama ishara ya amani huku mkono wa kushoto ameshika jambia!Na kwa taarifa yako kikwete anahusika sana,covertly and overtly, katika ubabaishaji huu unaoendelea wa tume ya uchaguzi!Na hata huko Mwanza alienda kurekebisha mambo ila nguvu ya umma ikamtisha maana anajua fika kuwa kwa hali ilivyo wananchi wengi wa nchi hii wameshachoshwa na inahitajika kibiriti tu ili kulipuka.
Wake up brother.

:israel:
"True freedom must be expressed through the human ability to think critically, to analyze and to make informed decisions about oneself, his society and the world "- Sidanganyiki2010
 
subiri uone cheo atakachopewa ndipo utajua kikwete ni mkwere au sio!..........uswahiba....na kujuana
 
Mkuu, tunaheshimu mchango wako katika mengi, lakini katika hili unaongopa. Hivyo usitake kutafuta sympathy kwa kujifanya unabezwa. Some things are indefensible, you know that!!

As you wish...I can't urge with people who have declared war on rationality......endeleeni na ujuaji wenu wa kila kitu hadi vilivyopo mioyoni mwa watu...
 
Of course kulipa fadhila hiyo inajulikana lakini siku zote hauwezi kushindana na nguvu ya Mungu
 
Huyo ndo jakaya for you if you didnt know!Anakupa mkono wa kulia kama ishara ya amani huku mkono wa kushoto ameshika jambia!Na kwa taarifa yako kikwete anahusika sana,covertly and overtly, katika ubabaishaji huu unaoendelea wa tume ya uchaguzi!Na hata huko Mwanza alienda kurekebisha mambo ila nguvu ya umma ikamtisha maana anajua fika kuwa kwa hali ilivyo wananchi wengi wa nchi hii wameshachoshwa na inahitajika kibiriti tu ili kulipuka.
Wake up brother.

:israel:
"True freedom must be expressed through the human ability to think critically, to analyze and to make informed decisions about oneself, his society and the world "- Sidanganyiki2010

ndio sifa kubwa ya huyu mkwere mkware te te te te teh
 
True freedom must be expressed through the human ability to think critically, to analyze and to make informed decisions about oneself, his society and the world "- Sidanganyiki2010
 
As you wish...I can't urge with people who have declared war on rationality......endeleeni na ujuaji wenu wa kila kitu hadi vilivyopo mioyoni mwa watu...

pole sana unaonekana umekunywa maji y a bendera ya chichim mkuu te te teh unaonekana ni kifisadi fulani mbna uko interest kutetea ufisadi
 
Back
Top Bottom