Tujikumbushe

Sie mwalimu alituambia tuchague either The Beautyful Ones Are Not Yet Born or the Petals of Blood, wasichana wote darasani wakachagua hicho cha kwanza wakidhani ni love story. Ikawa imekula kwao. It is a very good book, a must read. Yaani ufisadi unaelezewa explicitly.

EMT ila hii Beautiful ones are not yet born lazima ingekula kwao mana kule ndani maudhui ni tofauti kabisa na cover
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Ukikisoma hiki utacheka mpaka mwisho

275044-L.jpg

CAMARADERIE ngoja nifanye mpango wa kuitafuta
 
Last edited by a moderator:
ivi vitabu hata kama wamevifuta lakini bado ni bora sana kwa jamii na kwa dunia tulionayo bado vinafundisha sana n a zilikuwa na maudhui mazuri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom