Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
View attachment 53815Ya Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe
Ingekuwa enzi hizi, kiongozi gani angepona?View attachment 53817Walii na Bakari....unakumbuka Bakari alivyonenepa na baadaye kushitakiwa?
unakumbuka mandazi madogo yalikuwa shilingi ngapi na makubwa shilingi ngapi?
Nini kilitokea mpaka mfalme akanyongwa?
hivi watoto wetu bado wanasoma vitabu hivi huko mashuleni? au ndo kidhungu 100%Ila unakumbuka Walii alikuwa mwerevu sana,alimshauri Bakari ila Bakari akapuuza,pia Walii ndo aliyesababisha mfalme anyongwe
naweza kupata wapi hivyo vitabu? nataka kujinunulia nijikumbusheIla nadhani bado watakuwa wanasoma tu,labda matumizi ya lugha sanifu imepungua
yeah, ni vizuri kusoma muda huu na nadhani kitapanda zaidi maana sitasomea kujibu mtihanimi mwenyewe sijui ila nadhani kwenye maktaba vipo vinauzwa....ila na mimi na mpango,napenda sana kurudi kusoma Mfalme Juha
ha haaaaaaaaaaa, Mwali bwana, una mkwala! subiri Excellent akumwagie mastori behindHivi vitabu viliingizwa mi nikiwa chuo kikuu tayari
Hivo sijawahi visoma... what are their stories?
@Mwali Avatar yako inanirusha roho yangu ahhhh umependeza namna hiyooHivi vitabu viliingizwa mi nikiwa chuo kikuu tayari
Hivo sijawahi visoma... what are their stories?
Hivi vitabu viliingizwa mi nikiwa chuo kikuu tayari
Hivo sijawahi visoma... what are their stories?