Tujikumbushe

Hivi vitabu viliingizwa mi nikiwa chuo kikuu tayari
Hivo sijawahi visoma... what are their stories?

Umekosa uhondo!

Hapo zamani za kale palikuwa na Mwali mrembo sana .... ushungi kila wakati ... Mwisho akaanza kuuvua ushungi. Hadithi yangu imeishia hapo.
 
Last edited by a moderator:
Haya ya ngoswe mbona bado yanaendelea kutokea mpaka sasa, yaan mapenz yanaharibu sana mambo mengi
Meritta nadhani mabadiliko mengi yatatokea ila kwa upande wa mapenz huwa yanabaki pale pale
 
Last edited by a moderator:
RIP Mzee Katalambula(Film Tanzania)

TDAA012.jpg


simu.jpg


Ninani FAMBO?
 
View attachment 53817Walii na Bakari....unakumbuka Bakari alivyonenepa na baadaye kushitakiwa?
unakumbuka mandazi madogo yalikuwa shilingi ngapi na makubwa shilingi ngapi?
Nini kilitokea mpaka mfalme akanyongwa?
hiki ndo kitabu pekee nilichoweza kukisoma hadi mwisho na hawala ya fedha,vingine niliona uzushi tu nikaishia kusoma madesa
 
Dah, kimsingi umenikumbusha mbali sana! Ngoswe, Mfalme Juha, Kusadikika! looh!
 
Umsolopagas ananikumbusha maisha ya shule ya msingi pale Tandika Dar es Salaam miaka ile ambapo wanafunzi tulikuwa tunashindana kukariri aya za kitabu badala ya kuzingatia masomo, kisha tunabonga kama ilivyo desturi ya Wazulu. Mfano mimi nilikariri aya ifuatayo:"Nimeota nimeota, nimeota mimi na wewe Makumzhan tuko juu ya nyota tunaichungulia dunia chini ya miguu yetu. Nawe ulikuwa kivuli Makumzhan maana mwanga ulipenya mwili wako nami sikuweza kukuona vizuri. Saa yetu imefika, na ije, lakini ningependa kuona vita kama ile ya jana. Mnizike kwa desturi ya kikwetu, myaelekeze macho yangu katika nchi ya wazulu". Ni kutokana na kitabu hiki mwalimu mkuu tulikuwa tunamwita Mzuvendi, na Mwenyezi Mungu tulimwita Bogwan. Majina haya yako kwenye kitabu hiki. Jamii Forumns leo imenikumbusha mbali sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom