Tujikumbushe 'wachumba' wetu wa utotoni

Kaunga,sijawahi kumkumbusha,ni mama wa watoto wawili ama ameolewa!
 
532745_10151522326925284_734810283_23111677_1785093955_n.jpg

Duh Mkuu unatisha kaka!
 
Kaunga,sijawahi kumkumbusha,ni mama wa watoto wawili ama ameolewa!

Looks like, wote mnapretend nothing happened! Ila sijui nini, ila naona hii kitu huwa ni kati ya watoto wa shangazi na wajomba kuliko baba Mdogo au mama Mdogo!
 
I know! Yaani natamani sasa kukutana nao! Najua wengine pengine watakuwa wanakaribia kujukuu sasa!

Ukikutana nao impression ya kwanza ni siku ile ulipowado na kadude chenye ukubwa wa kidole kidogo! Lol!
 
Nikisema visa vinanifuata watu wandhani aah, sijui mie mkorofi.

Kuchagua lazima.

Imagine huyo childhood secret admire wake ndio angekuwa mwenzi wako wa ndoa now; l am sure hiyo avatar yako ingekuwa halisi. LOL
 
Dah, mwana, long time kitambo..mi nakmbuka 'bimamu' kanibaka sana tu, alnzd kama aka 4 hv...nw KAOLEWA, nlkua hta sielew knachoendelea zaid ya kugandamiziwa chn tu!
 
Namkumbuka mchumba wangu Jafari wa Kinondoni..alikuwa mkubwa kwangu na kupenda kunitania mchumba, hatuku-do chochote bali utani wa mtaani utotoni. Nimeonana nae mwaka jana ghafla baada ya kupoteana miaka 10. Tunaishia kucheka ya zamani na ananiita switi potato sasa, mweeh!!
 
Hapo kwenye avatar mbona mzuri sana.

Sijui ningeshakuwa mlevi wa kupindukia.

Imagine huyo childhood secret admire wake ndio angekuwa mwenzi wako wa ndoa now; l am sure hiyo avatar yako ingekuwa halisi. LOL
 
Duh Calinde umenikumbusha mbali sana,nilikuwa na binamu yangu huko kijijini unyamwezini tulikuwa tukienda likizo toka pwani,na kile kiswahili cha kipwani basi alikuwa ananipenda sana.Kipindi hicho cha likizo watoto tulikuwa wengi hapo nyumbani kwa hiyo tulikuwa tunalala sebuleni watoto wote wa kike na wakiume kwa hiyo yeye alikuwa analazimisha tuwe tunalala karibu karibu.Tulikuwa 'marafiki' sana,baada ya kuwa wakubwa,kuolewa na kuoa tulikuwa tukionana tunakumbushana jinsi tulivyokuwa close utotoni.

Kuna makabila ya pwani kama Wadigo,wanaruhusiwa kuoana mtoto wa mjomba na shangazi,sijui kwa wanyamwezi kama inaruhusiwa.Ngoja nimsubiri Kaunga,Sikonge na Itegamatwi waje watuambie

Naona ulikuwa unawaringishia kuwa umetoka Dar ukampata 'binamu' lol
 
Namkumbuka mchumba wangu Jafari wa Kinondoni..alikuwa mkubwa kwangu na kupenda kunitania mchumba, hatuku-do chochote bali utani wa mtaani utotoni. Nimeonana nae mwaka jana ghafla baada ya kupoteana miaka 10. Tunaishia kucheka ya zamani na ananiita switi potato sasa, mweeh!!



Huyu Jafari huyu, ulimpenda ee? Maana najua wanaume hatunaga dogo, si ajabu akata ku-rewind kidogo
 
Umenikumbusha mbali,,'m nimecheza sana mpaka nikawa nasahau kula yaaan..,'dah kitu neema namkumbuka sana saa hivi yuko zake 'MOROGORO'
 
mi mchumba angu wa utotoni alikua mbabu mmoja hivi nilikua namchukia,nilikua namchimba mama yangu mkwara kuwa sitaki kuolewa na hili libabu,mama yangu anacheka hadi anakaukia anasema penda usipenda keshakutolea mahari lazima akuoe,nilikua nalia,na mbabu naye akija kwetu kitu cha kwanza lazima aulize mchumba wangu cheusie yuko wapi hahhaaaa nilivyoingia secondary mbabu akataka kufanya kweli eti ngombe azeeki maini duuu,sina uhakika kama bado anaishi maskini yule mbabu wa watu.
 
Siku hizi eti mtu au mtoto wa mtu amuite mwanangu NGINA au CANTA Mchumba....................PATACHIMBIKA, na nitahakikisha namfungulia Jalada pale OysterbayPolisi Fasta......................
Sipendi kabisa mchezo huo, zamani ilikuwa ni utani tu, lakini siku hizi wanafanya kiukwelii.......................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom