Mwalimu alikuwa kiongozi anayezingatia MAADILI. Tena yote kwa ujumla wake. Kuanzia mavazi, chakula, utafutaji wa pesa,....Viongozi wa sasa wanazingatia MADILI. Lakini hata EL, RA na JK hawana vitambi isipokuwa suti wanazovaa unaweza kujenga darasa moja la shule ya msingi au ukanunua madawati kadhaa.