Tujikumbushe mambo Enzi za Mwalimu

Mwalimu alikuwa kiongozi anayezingatia MAADILI. Tena yote kwa ujumla wake. Kuanzia mavazi, chakula, utafutaji wa pesa,....Viongozi wa sasa wanazingatia MADILI. Lakini hata EL, RA na JK hawana vitambi isipokuwa suti wanazovaa unaweza kujenga darasa moja la shule ya msingi au ukanunua madawati kadhaa.
 
Mpwa Julius,

Its very simple tu ni kuwa viongozi weyu waendane na hali ya uchumi wetu ulivyo na sio wawe tofauti na hali yetu ya uchumi twaonekana ni maskini huku kumbe tuna magap makubwa sana kati ya class ya 1 na watu wa class ya 2 na class ya 3 na ya 4 na zaidi.

nadhani ndiyo anavyo maananisha.

Mfano mzuri kwa Kagame huko Rwanda mawziri wanvyokuwa treated hakuna kujiweka daraja la juu wakati nchi yenu ni maskini ati waziri wataka kuwa na Vogue!! kwa kagame hiyo hakuna. utapata kitu kwa uwezo wako na sio kwa ku hinder amambo hapa, sasa TZ ndio twaongoza mfano jumba la Gavanor Ndullu

Nadhani anamaanisha both are/were geniuses, one came with E = MC^2 and another D = 2S!
 
"Kuna njama, za kudhulumu na kuhujumu, utu na uchumi wa muafrika. Daima dumu.
Njama hizi si ndogo, ni kubwa, ............"

Unakumbuka tangazo hilo la Redio Tanzania? Hivi anayetengeneza njama hizo kubwa ni nani kama sio wenzetu tuliowapa dhamana ya kukalia ofisi kubwa wakavimbiwa na kusahau wajibu wao waliopewa?
Tusimnyooshee kidole mtu wa nje. Toa kwanza boriti ndani ya jicho lako kabla hujakazania kukisema kibanzi ndani ya jicho la mwenzako.
 
ndugu zangu nimekutana na hii post nikaona si vibaya kui-share.. source yake ni ENZI ZA MWALIMU « If you're going through hell, keep going…

ENZI ZA MWALIMU

By mateoshija Kuna rafiki yangu mmoja kanitumia hii, nimeipenda sana, soma mpaka mwisho , utafurahi
nyerere1.jpg
Mwalimu - enzi hizo

BHAA! SOMO MI KUCHEKA
KUKUMBUKA MBALI SANA!
ENZI ZA MWL. BAKARI, NOMBO, KITUTU, MKUMBAE
ACHA TUU…………….MUHIMBILI PRIMARY HIYO
TEH TEH TEH
Hii ni special kwa wazee wenzangu tu.
kama wewe hukuwepo wakati huo soma upate idea tulikuwa tunafaidi nini!
Tulipokuwa primary,unakumbuka?
Tujikumbushe kwa Upande wa vitabu vya Kiswahili, as huko nako ilikuwa burudani tupu. stori kama KIBANGA AMPIGA MKOLONI, SIZITAKI MBICHI HIZI,SIKU YA GURIO KATERERO,BENDERA YA TANZANIA,ANDUNJE( mtoto mdadisi), NGANENEPA ANG’ATWA NA NYOKA,AHADI KUMI ZA MWANA TANU na nyingine nyingi zote ilikuwa burudani tupu.
Kweli wakati ule mtaala ulikuwa umetulia, kwa sasa hivi sifahamu mitaala ikoje lakini nakiri mtaala katika somo la kiswahili, ulikuwa umetulia.
Nimalizie kwa beti ninazozikumbuka( japo sizikumbuki vizuri sana) kutoka katika shairi la sizitaki mbichi hizi
Hadithi inayokuja, ni ya sungura sikia
hadithi uliyongoja leo ninakuletea
Alitoka siku moja njaa aliposikia
njaa aliposikia sungura nakuambia
Siku hiyo akaenda porini kutembelea
akayaona matunda mtini yameenea
sungura akayapenda mtini akasogea
Mtini akasogea sungura nakuambia
SIZITAKI MBICHI HIZI, sungura akagumia
naona nafanya kazi bila faida kujua
yakamtoka machozi matunda akalilia
Matunda akalilia Sungura nakuambia
Usifanye utani mkuu, kile Kiswahili tulichosoma sie enzi hizo kilikuwa kimetulia sana! Siyo sasa, wanetu hawajui tofauti ya “ndiyo” na “ndio” au “Hapa” na “apa” ama “Hicho” na “hiko”. Yaani hapa umenikuna kinoma.
Kwanza madarasa yale ya mwanzo kulikuwa na vitabu murua sana, kama kile cha Paulo na Selina (darasa la pili), Kuna hadithi za Kinango na Nzige, Heri Mimi sijasema na kadhalika. Ukija darasa la tatu ndio unakutana na akina Andunje, Nondo Mla watu, Twende Tukawinde,
Jogoo Aliyesema (hadithi ya Pazi) na Sadiki na Sikiri.
SHAIRI LA SADIKI NA SIKIRI
Sikiri mimi masikini
Uvivu wangu nyumbani
Ukiwa huu wa njiani
Nakufa hapa kwanini?
Sadiki sasa ashiba
Chakula kingi kwa baba
Nirudi tena kwa baba
Nakufa hapa kwanini?
Pia kitabu hiki kilikuwa na shairi la kuukaribisha mwenge, kama kuna mtu analikumbuka basi si vibaya akatukumbusha
Ukija Darasa la Nne ndio unakutana na Kibanga Ampiga Mkoloni, Ndoto ya Kimweri (chifu wa Wasambaa), Mkwawa Shujaa, Barua Kwa Mjomba Mndolwa na Siku ya Gulio Katerero (hadithi ya Kiiza). Shairi la kitabu hiki linaanza hivi:
KAMA MNATAKA MALI
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali
Wakataka na kauli iwafae maishani
Akatamka mgonjwa, ninaumwa kweli kweli
Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali
Roho naona yachinjwa, Kifo kimenikabili
Kama mnataka mali, mtayapata shambani
Darasa la tano napo kulikuwa na mahanjamu yake. Nakumbuka hadithi kama ile ya ‘Safari Yenye Mkosi’, Vijana Wapiga Kambi Ngulwi, Ukakamavu, Kapulya Mdadisi, nakadhalika.
SHAIRI LA KITABI HIKI LINAANZA HIVI
Tumeizika elimu, elimu ya kizamani
Elimu ile haramu, maana ya kikoloni
Imetuishia hamu, kuiga ya ugenini
Elimu yetu ya sasa yawafaa wananchi
Kitabu cha Kiswahili cha darasa la sita sikikumbuki vizuri, tulikuwa na mwalimu bomu sana ila nitajitahidi kukumbuka, nadhani kulikuwa na mada moja inahusu ‘walowezi’.
Kwa upande wa darasa la saba mambo yalikuwa poa sana. Kulikuwa na mada kama, Chuo Kikuu, Brown Ashika Tama, Jiji la Dar Es Salaam nk. Kulikuwa na mashairi mawili katika kitabu hiki, moja linaanza hivi:
Ninaye ndege mzuri, mrembo wa Kupendeza
Rangi zake mashuhuri, ni nne nawaeleza
Ndizo rangi za fahari, urembo kuutimiza
Ndege huyu ndege gani, hapa Kwetu Tanzania?
Regards
Charles L. Baasha
 
"Enzi za Mwalimu" huduma za kijamii kama vile Elimu, Matibabu, nk zilikuwa ni bure chini ya TANU na baadaye CCM na maisha yalikuwa rahisi tu kabla hatujajitumbukiza katika vita ya Uganda! Sasa simwelewi JK pamoja na wapambe wake wanapodai kwamba huduma hizo haziwezi kuwa bure kama sera za CHADEMA na Ilani yake zinavyodai! Hawajui tulikotoka au basi tu wameamua kuponda chochote kinachosemwa na vyama mbadala kama CHADEMA?
 
Mzee kila ki2 kinawezekana maana Tanzania ina rasilimali kibao tu,Kikwete ni Fisadi wa kila kitu hata maendelea na ni mnafiki mkubwa tu...https://jamii.app/JFUserGuide Kikwete,https://jamii.app/JFUserGuide CCM...sorry mods ila imenibidi nitukane cuz inaudhi sana hii CCM maana wanafaidi minority na majority tunalia...
 
JK hataki kuface reality! Fedha za kuwalipa wafanyakazi hakuna, za kuongeza marupurupu ya wabunge zipo, kuwalipa wazee wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki hakuna, za kununua mashangingi zipo, za kujenga shule bora hakuna (wananchi wanachangishwa michango), za kusafiri dunia nzima na kutalii zipo, the list goes on and on...!
Hapa ni habari ya vipaumbele tu na si vinginevyo!
 
Nyerere aliweza hayo kwa sababu ya siasa ya ujamaa na misaada mingi kutoka Scandinavian countries! WENGINE WANAIGA MIFANO YA "GET THE GOVT OFF OUR BACKS", AMA SIVYO!

Pengine, kuna matumaini kwa Dr. Slaa, kama akifuata sera za ki-Katoliki, kama huko Amerika Kusini: LIberation Theology (paulo freire liberation theology).
 
"Enzi za Mwalimu" huduma za kijamii kama vile Elimu, Matibabu, nk zilikuwa ni bure chini ya TANU na baadaye CCM na maisha yalikuwa rahisi tu kabla hatujajitumbukiza katika vita ya Uganda! Sasa simwelewi JK pamoja na wapambe wake wanapodai kwamba huduma hizo haziwezi kuwa bure kama sera za CHADEMA na Ilani yake zinavyodai! Hawajui tulikotoka au basi tu wameamua kuponda chochote kinachosemwa na vyama mbadala kama CHADEMA?
Natamani wananchi wamuulize kikwete mbona kenya wapinzani waliweza kutoa elimu bure walipoingia madaraka kwa nini sisi tusiweze? T atizo la watanzania kikwete akisema hata kama ni uongo tunapiga makofi, wakisema wapinzani ni waongo. LAKINI MWAKA HUU HATUDANGANYIKI
 
Mwaka huu nambari ya wadanganyaji imeongezeka sana!
 
JK hataki kuface reality! Fedha za kuwalipa wafanyakazi hakuna, za kuongeza marupurupu ya wabunge zipo, kuwalipa wazee wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki hakuna, za kununua mashangingi zipo, za kujenga shule bora hakuna (wananchi wanachangishwa michango), za kusafiri dunia nzima na kutalii zipo, the list goes on and on...!
Hapa ni habari ya vipaumbele tu na si vinginevyo!
Mkuu majibu yote umeyaweka hapa kwa hiyo tunafahamu kwa nini CCM wanaamini HAIWEZEKANI...wadhungu wanasema chama cha - NO WE CAN'T!
 
Nyerere aliweza hayo kwa sababu ya siasa ya ujamaa na misaada mingi kutoka Scandinavian countries! WENGINE WANAIGA MIFANO YA "GET THE GOVT OFF OUR BACKS", AMA SIVYO!

Pengine, kuna matumaini kwa Dr. Slaa, kama akifuata sera za ki-Katoliki, kama huko Amerika Kusini: LIberation Theology (paulo freire liberation theology).

Wewe umenikasirisha, hoja yako haina mishiko! Hata jina lako umekosea spelling! Kama ulikuwepo utajua kabisa Scandinavia hawakusaidia elimu wala afya. Angalia shule zetu nchi nzima uniambie ni ipi ilijengwa na hawa. Labda utataja Chuo Cha Ushirika kwa sababu DANIDA walisaidia pale, lakini ujue Nyerere alikuwa na uwezo wa namna yake. Kwa taarifa yako Mwingereza na Mwamerika bila kupenda walitoa hela nyingi za kusaidia elimu na afya, lakini mataifa mengine kwa hiari yao kama CUBA walijenga shule zile kubwa za Kilimo ile ya Kibaha (unaifahamu, hawa walifuga hata nyati), Kibiti na kule Ifakara. Warusi nao walijitahidi shule nyingi walisaidia, Wamarekani walileta Peace Corps kufundisha, wahindi, na hata waromania walijazana kwenye mashule wanafundisha sio SIASA, Nyerere hakuruhusu mgeni kufanya kazi ambazo wananchi wanazimudu sio kama JK anaruhusu hata kazi za umachinga, waulize watu wa zamani, hesabu, fizikia, chemia nk ndio maeneo walitafutwa kuja kufundisha.

Sasa hilo la Ukatoliki- nadhani wewe unakaanga ujuha tu(kwa maana ya ignorance please), maana sioni hoja kabisa hapa! Na sidhani hata nina la kukusaidia. HUNA UCHUNGU NA NCHI YAKO, UMENITOA CHOZI! HUNA UCHUNGU NA NCHI YAKO, NI KUSHABIKIA SIASA TENA NA UDINI! SITAKUTUKANA HATA KIDOGO, Nitakuombea nawe upate ufunuo!
 
Wewe umenikasirisha, hoja yako haina mishiko! Hata jina lako umekosea spelling! Kama ulikuwepo utajua kabisa Scandinavia hawakusaidia elimu wala afya...!

Nitakoseaje jina langu la uandishi tu!!!!!!!!!! Jina langu ni ESTMEED sio ESTEEMED!

Nilikuwepo sana tena sana wakati Azimio Arusha linazinduliwa! Nilifuzu happo Mlimani mwaka 1969!

Nilitaja nchi za Scandinavia...ndio na za Nordic! Je, elimu ya watu wazima ilihimiliwa na akina nani?

Kampeini, kama Mtu ni Afya, ilihimiliwa na akina nani?

Je, baadhi ya misaada ya bajeti za wizara za elimu na afya ilitoka wapi, mbali ya Uingereza, Amerika na Ujerumani Magharibi (ukiondoa wakati wa kuvunja uhusiano na Ujerumani hiyo)?

Nimetaja liberation theology ambayo mapadre katoliki wengi wa Amerika Kusini walikuwa wakiitekeleza kiasi cha kuleta utata mbele ya Pope John Paul II kwamba ilinukia Marxism. Tafuta utekelezaji wake huko Amerika Kusini!
 
Elimu, Matibabu, nk "Enzi za Mwalimu!"

"Enzi za Mwalimu" huduma za kijamii kama vile Elimu, Matibabu, nk zilikuwa ni bure chini ya TANU na baadaye CCM na maisha yalikuwa rahisi tu kabla hatujajitumbukiza katika vita ya Uganda! Sasa simwelewi JK pamoja na wapambe wake wanapodai kwamba huduma hizo haziwezi kuwa bure kama sera za CHADEMA na Ilani yake zinavyodai! Hawajui tulikotoka au basi tu wameamua kuponda chochote kinachosemwa na vyama mbadala kama CHADEMA?

1. Huduma hizi hazikuwa "bure" bali "zililipiwa" na wengine yaani wazungu. Sasa ni miaka 40 tangu tupate uhuru unataka tuendelee kutegemea sadaka mpaka Yesu arudi?

2. Nani kasema watanzania WOTE wanahitaji huduma za bure? Kama wapo wenye uwezo wa kuzilipia kwanini wasilipie? Kuzungumzia "huduma za bure" ni kukosa mambo ya msingi ya kueleza wapiga kura mfano mikakati ya usimamiaji wa rasilimali na kutafuta masoko "fair trade" katika nchi zilizo endelea. Mchumi yeyote anajua hizi siyo "enzi za mwalimu" lazima watu waingie mifukoni!

3. Wapo watanzania wengi wasio weza kumudu huduma muhimu za afya, elimu nk. Tuwabaini na kuwajengea uwezo ili baada ya miaka 10 au 15 waweze kulipia (wakipata soko la mazao, wakiuziwa hisa za migodi etc) Tusijenge taifa la watu tegemezi.
 
Tanzania - Still A Haven For Mining Investors?

Date 05/09/2007
The Right Side | By Erin-And-Isabel Now, if you are talking about mineral wealth Africa is up there in the realms of royalty. But as we keep telling you, investing in Africa is a risky business. The key is being able to climb into the mind of the government in question, to understand where it is coming from and, more importantly, where it's going.

Easier said than done! Governments are made up of people and people don't always agree with one another. Take Tanzania's President, Jakaya Kikwete, and its Commissioner for Minerals, Dr Peter Kafumu, as an example.
One minute the President is telling a Cape Town based mining conference that a hike in mining royalties is on the cards. The next the Commissioner is reassuring industry that the chances of this happening are remote. Who is an investor to believe?
Mining policy under review... but still looks pretty reasonable

Over the last few months the Tanzanian government has indeed been reviewing all mining licences. This process is being run in tandem with the review of 1997's national mining policy which spawned the Mining Act of 1998. As a consequence they've been looking at royalties.
Currently miners in Tanzania pay about 3% in royalties for most minerals but around 5% for diamonds and gemstones. Some argue this is much too low considering that in South Africa mining companies must fork out 12%. Dr Kafumu doesn't buy this argument and has been willing to publicly state that the reason for SA's high royalties is because it is a safer investment bet than Tanzania. Mining companies in Tanzania have much higher operational costs totalling some 60% of profits.

Still, analysts widely agree that Tanzania is still a "competitive destination" mainly due to its "good government policies". High praise indeed for Africa!
Undoubtedly, favourable legal and fiscal measures, flowing from the Mining Act have acted as a catalyst for direct foreign investment in the mining sector. Some significant measures include:

  • Tax incentives such as repatriation of profits accrued from mining investments;
  • Special VAT relief;
  • Zero import duties for equipment and machinery used during exploration;
  • A depreciation allowance of 100%; and
  • A 15% withholding tax for foreign contractors on technical services and management fees.
These investment friendly policies have worked! By 2005 there were 21 mining ventures registered in Tanzania - six in gold mining, four in gemstone mining and the balance, though not of concern to us at Miner Diaries, industrial. Better still the mineral sectors' contribution to GDP has risen from 1.5% in 1995 to 3.2% in 2004. Predictions are that this could reach 10% by 2025.
Some incentives scrapped... but a new IT system limits the damage

Recently as the commodities boom has gathered momentum the Tanzanian public has started to ask more questions. Gold exports may have risen by 20% in 2003 from $414–$505 million but the Tanzanian people have not managed to get their hands on more than 5% of their very own precious yellow metal. Increasingly under pressure, the Tanzanian government had to do something. Some incentives like the 15% additional capital allowance provision have now been scrapped.
So then, are these rumblings the end then of the country's mining boom? We doubt it. Short of a Zimbabwe like fiasco, companies already operating in Tanzania are not going to back out if there are proven and probable minerals in the ground.
And from our precious point of view Tanzania's mineral resources are certainly not to be sneezed at! This is now the continent's third largest gold producer after South Africa and Ghana with proven gold reserves in excess of 36 million ounces. The most significant gold deposits have been found around Lake Victoria and are at various stages of development. But gold targets have also been identified in the south west.n up to recieve
When you've got gold, gemstones come in rather handy too - yet another tick for Tanzania's precious box! Diamonds have been commercially produced at the Williamson Diamond Mine at Mwadui since 1925 but there are others too. Sapphires, rubies, emeralds, amethysts... the list is endless. So, no! This mining boom is set to continue. Thanks to Dr Kafumu - who seems like a pretty reasonable sort of guy - the royalty hike discussion seems to have been pushed under the carpet for the moment. Royalties, says Dr Kafumu, are "a very sensitive element that could make or break local and foreign investment."
What the government is doing, however, is fine tuning its IT infrastructure which should identify companies whose compliance record for paying royalties leaves a lot to be desired. This could rake in billions of dollars currently lost to royalty evaders. This year alone, fees and royalties are expected to increase to $50 million from less than $25 million in 2004 thus avoiding the need for any drastic fiscal/tax hikes.
Getting into the mind of government gets results

Meanwhile what the mining companies should be doing more of is getting as close to the Tanzanian government as possible, attempting to prove that they too have the country's interests at heart.
In spite of the mining contracts review, the Tanzanian government gave the green light to Barrick Gold Corporation's (TSX, NYSE: ABX) Environmental Impact Assessment report for its wholly-owned Buzwagi gold project. Buswagi is said to have 2.64 million ounces of gold reserves and an estimated life span of ten years. More on this project later in the month!
So for now we want to say this - all things considered Tanzania is a good bet for Africa as its mining policy still looks pretty fair. Put another way at least the government has been willing to engage with investors on the subject. It has been in talks with Barrick, the biggest gold mining company in the world, as well as Resolute Tanzania Limited and AngloGold Ashanti among others to work out the best way forward for keeping the public happy.
So, now that we've set the scene we'll soon be taking a closer look at the companies tapping Tanzania's mineral wealth.
In the mean time, keep digging!
Erin and Isabel

SOURCE: Tanzania - Still A Haven For Mining Investors?*.

HIVYO DR SLAA NA CHADEMA WANAPOSEMA TANZANIA INAO UWEZO WA KUWAPATIA WATOTO WOTE ELIMU YA BURE HADI KIDATO CHA SITA NI UKWELI MTUPU. KAMA SOUTH AFRICA WANACHUKUA (METALS ROYALT) MRAHABA WA 12% KWA MADINI YAO.

NI KWANINI TANZANIA INACHUKUA ONLY BETWEEN 3%-4%, KAMA SIO UFUSADI WA VIONGOZI WA CCM KUPOCKET ZA DIFFERENCE.

HALAFU RAIS JAKAYA KIKWETE ANATAMKA KATIKA MKUTANO KUWA MRAHABA UTAPANDA KAMISHNA WA MADINI ANAMKANUSHAHAPO HAPO MPAKA WENZETU WANAJIULIZA TANZANIA INAUTWALA WA AINA GANI? HAYA YOTE NI KUTOKANA NA UONGOZI KUPEANA KWA USWAHIBA.

MWAKA 2007 TANZANIA ILUZA DHAHABU YA THAMANI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 505, NA NCHI HAIKUPATA ZAIDI YA 5% YA KIASI HICHO KAMA MRAHABA 3% NA MAPATO MENGINE 2% SAWA NA DOLA MILIONI 25 TU. ILHALI KAMA TUNGEKUWA TUNAPATA 12% KAMA AFRIKA KUSINI MAPATO HAYO YENGEWEZA KUPANDA KUFIKIA KATI YA DOLA MILIONO 75 HADI 90. PUNGUFU IKIWA NI KAMA DOLA MILIONI 50 KWA MWAKA 2007 SAWA NA SHILINGI ZA KITANZANIA BILIONI 75 KWA EXCHANGE RATE YA SASA KWANI HATA SASA BADO ZINAPOTEA.

LICHA YA KIASI HICHO KIDOGO SERIKALI YA CCM PIA IMEKUWA IKISHINDWA KUKUSANYA ZAIDI YA NUSU YA MRAHABA HUO KUTOKANA NA WAWEKEZAJI KUKWEPA AMBAPO INAKADIRIWA ZAIDI YA DOLA MILIONI 25 HUPOTEA KILA MWAKA KIFISADI.
DAT HIZI I KWADHAHABU TUU IKWA MWAKIMU AKLIWEZA KUWASOMESHA AKINA SITTA, KIKWETE, KINANA N.K BUREE TENA BUILA YA KUGUSA MADIANI HAYA, IWEJE LEO TANZANIA ISHINDWE KUTOA ELIMU BURE WAKATI IKICHIMBA MADINI YOTE HAYA?

WANAJF HEBU TAZAMANENI HII ARTICLE MUONE WENZETU WANAVYOTUDHAKI KWA KUSHINDWA KUKUSANYA MAPATO KUTOKA KATIKA MADINI YETU KIASI CHA WAZUNGU KUITANA KUJA TANZANIA ILI KUZOA MADINI YA BURE HUKU WATANZANIA TUKIBAKI MASKINI, TUKILAZIMISHWAKUCHANGIA ELIMU, AFYA, MAJI SAFI N.K.

HAYA NDIO WATANZANIA WANAPASWA KUELEZWA KWENYE KAMPENI MARA KWA MARA ILI WAWELEWE JAMANI!!!!
 
"Enzi za Mwalimu" huduma za kijamii kama vile Elimu, Matibabu, nk zilikuwa ni bure chini ya TANU na baadaye CCM na maisha yalikuwa rahisi tu kabla hatujajitumbukiza katika vita ya Uganda! Sasa simwelewi JK pamoja na wapambe wake wanapodai kwamba huduma hizo haziwezi kuwa bure kama sera za CHADEMA na Ilani yake zinavyodai! Hawajui tulikotoka au basi tu wameamua kuponda chochote kinachosemwa na vyama mbadala kama CHADEMA?

Tanzania - Still A Haven For Mining Investors?

Date 05/09/2007
The Right Side | By Erin-And-Isabel Now, if you are talking about mineral wealth Africa is up there in the realms of royalty. But as we keep telling you, investing in Africa is a risky business. The key is being able to climb into the mind of the government in question, to understand where it is coming from and, more importantly, where it’s going.

Easier said than done! Governments are made up of people and people don’t always agree with one another. Take Tanzania’s President, Jakaya Kikwete, and its Commissioner for Minerals, Dr Peter Kafumu, as an example.
One minute the President is telling a Cape Town based mining conference that a hike in mining royalties is on the cards. The next the Commissioner is reassuring industry that the chances of this happening are remote. Who is an investor to believe?
Mining policy under review... but still looks pretty reasonable

Over the last few months the Tanzanian government has indeed been reviewing all mining licences. This process is being run in tandem with the review of 1997’s national mining policy which spawned the Mining Act of 1998. As a consequence they’ve been looking at royalties.
Currently miners in Tanzania pay about 3% in royalties for most minerals but around 5% for diamonds and gemstones. Some argue this is much too low considering that in South Africa mining companies must fork out 12%. Dr Kafumu doesn’t buy this argument and has been willing to publicly state that the reason for SA’s high royalties is because it is a safer investment bet than Tanzania. Mining companies in Tanzania have much higher operational costs totalling some 60% of profits.

Still, analysts widely agree that Tanzania is still a “competitive destination” mainly due to its “good government policies”. High praise indeed for Africa!
Undoubtedly, favourable legal and fiscal measures, flowing from the Mining Act have acted as a catalyst for direct foreign investment in the mining sector. Some significant measures include:

  • Tax incentives such as repatriation of profits accrued from mining investments;
  • Special VAT relief;
  • Zero import duties for equipment and machinery used during exploration;
  • A depreciation allowance of 100%; and
  • A 15% withholding tax for foreign contractors on technical services and management fees.
These investment friendly policies have worked! By 2005 there were 21 mining ventures registered in Tanzania — six in gold mining, four in gemstone mining and the balance, though not of concern to us at Miner Diaries, industrial. Better still the mineral sectors’ contribution to GDP has risen from 1.5% in 1995 to 3.2% in 2004. Predictions are that this could reach 10% by 2025.
Some incentives scrapped... but a new IT system limits the damage

Recently as the commodities boom has gathered momentum the Tanzanian public has started to ask more questions. Gold exports may have risen by 20% in 2003 from $414–$505 million but the Tanzanian people have not managed to get their hands on more than 5% of their very own precious yellow metal. Increasingly under pressure, the Tanzanian government had to do something. Some incentives like the 15% additional capital allowance provision have now been scrapped.
So then, are these rumblings the end then of the country’s mining boom? We doubt it. Short of a Zimbabwe like fiasco, companies already operating in Tanzania are not going to back out if there are proven and probable minerals in the ground.
And from our precious point of view Tanzania’s mineral resources are certainly not to be sneezed at! This is now the continent’s third largest gold producer after South Africa and Ghana with proven gold reserves in excess of 36 million ounces. The most significant gold deposits have been found around Lake Victoria and are at various stages of development. But gold targets have also been identified in the south west.n up to recieve
When you’ve got gold, gemstones come in rather handy too — yet another tick for Tanzania’s precious box! Diamonds have been commercially produced at the Williamson Diamond Mine at Mwadui since 1925 but there are others too. Sapphires, rubies, emeralds, amethysts... the list is endless. So, no! This mining boom is set to continue. Thanks to Dr Kafumu — who seems like a pretty reasonable sort of guy — the royalty hike discussion seems to have been pushed under the carpet for the moment. Royalties, says Dr Kafumu, are “a very sensitive element that could make or break local and foreign investment.”
What the government is doing, however, is fine tuning its IT infrastructure which should identify companies whose compliance record for paying royalties leaves a lot to be desired. This could rake in billions of dollars currently lost to royalty evaders. This year alone, fees and royalties are expected to increase to $50 million from less than $25 million in 2004 thus avoiding the need for any drastic fiscal/tax hikes.
Getting into the mind of government gets results

Meanwhile what the mining companies should be doing more of is getting as close to the Tanzanian government as possible, attempting to prove that they too have the country’s interests at heart.
In spite of the mining contracts review, the Tanzanian government gave the green light to Barrick Gold Corporation’s (TSX, NYSE: ABX) Environmental Impact Assessment report for its wholly-owned Buzwagi gold project. Buswagi is said to have 2.64 million ounces of gold reserves and an estimated life span of ten years. More on this project later in the month!
So for now we want to say this — all things considered Tanzania is a good bet for Africa as its mining policy still looks pretty fair. Put another way at least the government has been willing to engage with investors on the subject. It has been in talks with Barrick, the biggest gold mining company in the world, as well as Resolute Tanzania Limited and AngloGold Ashanti among others to work out the best way forward for keeping the public happy.
So, now that we’ve set the scene we’ll soon be taking a closer look at the companies tapping Tanzania’s mineral wealth.
In the mean time, keep digging!
Erin and Isabel

SOURCE: Tanzania - Still A Haven For Mining Investors?*.

HIVYO DR SLAA NA CHADEMA WANAPOSEMA TANZANIA INAO UWEZO WA KUWAPATIA WATOTO WOTE ELIMU YA BURE HADI KIDATO CHA SITA NI UKWELI MTUPU. KAMA SOUTH AFRICA WANACHUKUA (METALS ROYALT) MRAHABA WA 12% KWA MADINI YAO.

NI KWANINI TANZANIA INACHUKUA ONLY BETWEEN 3%-4%, KAMA SIO UFUSADI WA VIONGOZI WA CCM KUPOCKET ZA DIFFERENCE.

HALAFU RAIS JAKAYA KIKWETE ANATAMKA KATIKA MKUTANO KUWA MRAHABA UTAPANDA KAMISHNA WA MADINI ANAMKANUSHAHAPO HAPO MPAKA WENZETU WANAJIULIZA TANZANIA INAUTWALA WA AINA GANI? HAYA YOTE NI KUTOKANA NA UONGOZI KUPEANA KWA USWAHIBA.

MWAKA 2007 TANZANIA ILUZA DHAHABU YA THAMANI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 505, NA NCHI HAIKUPATA ZAIDI YA 5% YA KIASI HICHO KAMA MRAHABA 3% NA MAPATO MENGINE 2% SAWA NA DOLA MILIONI 25 TU. ILHALI KAMA TUNGEKUWA TUNAPATA 12% KAMA AFRIKA KUSINI MAPATO HAYO YENGEWEZA KUPANDA KUFIKIA KATI YA DOLA MILIONO 75 HADI 90. PUNGUFU IKIWA NI KAMA DOLA MILIONI 50 KWA MWAKA 2007 SAWA NA SHILINGI ZA KITANZANIA BILIONI 75 KWA EXCHANGE RATE YA SASA KWANI HATA SASA BADO ZINAPOTEA.

LICHA YA KIASI HICHO KIDOGO SERIKALI YA CCM PIA IMEKUWA IKISHINDWA KUKUSANYA ZAIDI YA NUSU YA MRAHABA HUO KUTOKANA NA WAWEKEZAJI KUKWEPA AMBAPO INAKADIRIWA ZAIDI YA DOLA MILIONI 25 HUPOTEA KILA MWAKA KIFISADI.
DAT HIZI I KWADHAHABU TUU IKWA MWAKIMU AKLIWEZA KUWASOMESHA AKINA SITTA, KIKWETE, KINANA N.K BUREE TENA BUILA YA KUGUSA MADIANI HAYA, IWEJE LEO TANZANIA ISHINDWE KUTOA ELIMU BURE WAKATI IKICHIMBA MADINI YOTE HAYA?

WANAJF HEBU TAZAMANENI HII ARTICLE MUONE WENZETU WANAVYOTUDHAKI KWA KUSHINDWA KUKUSANYA MAPATO KUTOKA KATIKA MADINI YETU KIASI CHA WAZUNGU KUITANA KUJA TANZANIA ILI KUZOA MADINI YA BURE HUKU WATANZANIA TUKIBAKI MASKINI, TUKILAZIMISHWAKUCHANGIA ELIMU, AFYA, MAJI SAFI N.K.

HAYA NDIO WATANZANIA WANAPASWA KUELEZWA KWENYE KAMPENI MARA KWA MARA ILI WAWELEWE JAMANI!!!!
 
Nyerere aliweza hayo kwa sababu ya siasa ya ujamaa na misaada mingi kutoka Scandinavian countries! WENGINE WANAIGA MIFANO YA "GET THE GOVT OFF OUR BACKS", AMA SIVYO!

Pengine, kuna matumaini kwa Dr. Slaa, kama akifuata sera za ki-Katoliki, kama huko Amerika Kusini: LIberation Theology (paulo freire liberation theology).

WOTE WANAODAI KUWA NYERERE ALIWEZA KUTOA ELIMU BURE KWA SABABU YA MISAADA MIKUBWA KUTOKA NJE HAWAJUI WANCHOSEMA NA HAWANA FACTS. FOR THE LAST TEN YEARS TANZANIA HAS BEEN ONE OF THE MAJOR RECIPIENT OF AID FROM DIFFERENT DONORS, EVEN THOSE WHICH DID NOT COOPERATE WITH NYERER'S REGIME. hIVYO NI WAZI KUWA HIVI SASA TANZANIA INAPIOKEA MISAADA INAYOLINGANA AU KUZIDI ILE ALIYOKUWA AKIPOKEA NYERERE.

LICHA YA KUTOA AFYA NA ELIMU BURE NA MISAADA KIDOGO ALIYOKUWA AKIPOKEA NYERER, TANZANIA ILIWEZA KUACT KAMA DONOR COUNNTRY KWA KUFADHILI UKOMBOZI KATIKA NCHI ZILIZOKO KUSINI MWA AFRIKA IKIWEMO MSUMBIJI, ANGOLA, NAMIBIA, AFRIKA KUSINI NA NCHI KADHAA ZISIZO ZA KUISIN MWA AFRIKA. NA YOTE HAYA YALIWEZA KUFANYIKA KUTOKA KATIKA UCHUMI WETU MDOGO WA KILIMO, VIWANDA, BIASHARA NA MISAADA KIDOGO; BILA YA KUGUSA MADINI YETU KWA KIWANGO YALIVYOGUSWA HIVI SASA.

KAMA NYERER ALIWEZA KWA KUTUMIA KILIMO NA VIWANDA TU? IWEJE CCM YA SASA ISHINDWE ILIHALI INADAI NCHI INAPATA MAFANIKIO MAKUBWA YA KIUCHUMI KUTOKANA NA SERA ZA UWEKEZAJI? KATIKA SEKTA MBALI MBALI? JIBU NI RAHISI KUWA CHINI YA SERA HIZI ZINAZOWAKARIBISHA WAGENI KUTOKA MATAIFA MBALI MBALI KUJA KUFYONZA UTAJIRI WA TANZANIA HAIWEZEKANI KWA WATANZANIA KUPATA HUDUMA KAMA WALIVYOKUWA WAKIPATA NYAKATI ZA NYERERE.

UWEKEZAJI NI WIZI MTUPU!!!!!
 
WOTE WANAODAI KUWA NYERERE ALIWEZA KUTOA ELIMU BURE KWA SABABU YA MISAADA MIKUBWA KUTOKA NJE HAWAJUI WANCHOSEMA NA HAWANA FACTS. FOR THE LAST TEN YEARS TANZANIA HAS BEEN ONE OF THE MAJOR RECIPIENT OF AID FROM DIFFERENT DONORS, EVEN THOSE WHICH DID NOT COOPERATE WITH NYERER'S REGIME. hIVYO NI WAZI KUWA HIVI SASA TANZANIA INAPIOKEA MISAADA INAYOLINGANA AU KUZIDI ILE ALIYOKUWA AKIPOKEA NYERERE.

KAMA NYERER ALIWEZA KWA KUTUMIA KILIMO NA VIWANDA TU? IWEJE CCM YA SASA ISHINDWE ILIHALI INADAI NCHI INAPATA MAFANIKIO MAKUBWA YA KIUCHUMI KUTOKANA NA SERA ZA UWEKEZAJI? KATIKA SEKTA MBALI MBALI? JIBU NI RAHISI KUWA CHINI YA SERA HIZI ZINAZOWAKARIBISHA WAGENI KUTOKA MATAIFA MBALI MBALI KUJA KUFYONZA UTAJIRI WA TANZANIA HAIWEZEKANI KWA WATANZANIA KUPATA HUDUMA KAMA WALIVYOKUWA WAKIPATA NYAKATI ZA NYERERE.

UWEKEZAJI NI WIZI MTUPU!!!!!

Hoja yangu ilikuwa kumkemea Esteemed kuipa hoja hii mitazamo ya kidini na kuponda kazi nzuri aliyofanya Nyerere. Nyerere alikataa misaada yenye masharti, na ilibidi kuvunja uhusiano na UK in 1965 kuhusiana na swala la Rhodesia, na Ujerumani Magharibi nk. Hakutembea na bakuli. Na alifanya kila alichoamini na kuwaaminisha hata maadui zake duniani ambao waliona soni na kuja kumsaidia.

Mfano mkubwa tu ni ujenzi wa reli ya TAZARA. Yeye aliamini kabisa ujenzi ule utaleta faida kwa nchi mbili hizi na zaidi. Lakini Western Powers waliukataa kabisa mradi ule pengine kwa kuhofia njia rahisi ya wapiganaji wa vyama vya ukombozi kusini. Yeye na Kaunda walitafuta kila mbinu na baadaye wachina walisaidia wakaijenga, tena kwa dharau kubwa kwa mataifa ya magharibi. Nadhani Kinana, Kikwete na Sitta leo wangesema isingewezekana, lakini Nyerere alikuwa na malengo na malengo yake yalifikiwa. Hii notwithstanding eventual under-perfomance of the economy.
 
Elimu, Matibabu, nk "Enzi za Mwalimu!"

"Enzi za Mwalimu" huduma za kijamii kama vile Elimu, Matibabu, nk zilikuwa ni bure chini ya TANU na baadaye CCM na maisha yalikuwa rahisi tu kabla hatujajitumbukiza katika vita ya Uganda! Sasa simwelewi JK pamoja na wapambe wake wanapodai kwamba huduma hizo haziwezi kuwa bure kama sera za CHADEMA na Ilani yake zinavyodai! Hawajui tulikotoka au basi tu wameamua kuponda chochote kinachosemwa na vyama mbadala kama CHADEMA?

1. Huduma hizi hazikuwa "bure" bali "zililipiwa" na wengine yaani wazungu. Sasa ni miaka 40 tangu tupate uhuru unataka tuendelee kutegemea sadaka mpaka Yesu arudi?

2. Nani kasema watanzania WOTE wanahitaji huduma za bure? Kama wapo wenye uwezo wa kuzilipia kwanini wasilipie? Kuzungumzia "huduma za bure" ni kukosa mambo ya msingi ya kueleza wapiga kura mfano mikakati ya usimamiaji wa rasilimali na kutafuta masoko "fair trade" katika nchi zilizo endelea. Mchumi yeyote anajua hizi siyo "enzi za mwalimu" lazima watu waingie mifukoni!

3. Wapo watanzania wengi wasio weza kumudu huduma muhimu za afya, elimu nk. Tuwabaini na kuwajengea uwezo ili baada ya miaka 10 au 15 waweze kulipia (wakipata soko la mazao, wakiuziwa hisa za migodi etc) Tusijenge taifa la watu tegemezi.

Kwani sasa hivi wazungu hawapo? Tena wamejaa bwelele. Tangu enzi za Mkapa na sera zake za kuwakumbatia Makaburu, wazungu wamerudi kwa ari na kasi zaidi kuliko kipindi chochote kile. Kama hoja yako ni kulipiwa na wazungu basi wakati huu ni wakati mwafaka kabisa wa watu kusoma bure na tiba bure maana wazungu wamerejea tena kwa nguvu mpya za kifisadi!
 
Back
Top Bottom