Tujikumbushe ILBORU

duh, nimekumbuka kina Blanka Shao, Moikan, Kimaro na yule wa konyagi pale kwa Loning'o (Johnson) alikuwa anafundisha kiswahili miaka ya mwisho ya 80, nimemsahau jina (is it Kimasiha??)....

Kuna mzee wa Mh, ndio bwana mzee (RIP, Juma) etc.....

Duh kweli imekuwa zamani...
 
Aisee kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Chacha Horombe, yuko wapi?
 
hongereni sana wana ilboru maana sifa nyingi nimezipitaia na kuziona big up wote mliosoma hapo kwa enzi hizo mlikuwa kweli vipanga big up sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Unakumbuka mikate ya "sunkista" pale kwa Loning'o? hv mama tonii bado anapika pilau kule chini? nasikia Shembilu alivuta je ni kweli? Kishuu na Geree bado wapo?

I see.... mikate ya Sunkist acha mzee.. hii ilikuwa inaleta faraja...
 
Mwanzoni mwa miaka ya tisini... enzi za medukenya na yule mchanga aliyekuja kumpokea vijiti Bino

Naskia yule mchagga watu walimtandika na kumvamia nyumbani kwa kuzidi unoko

Mzee naomba ni PM.... waweza kuwa class mate ati...
 
Mzee naomba ni PM.... waweza kuwa class mate ati...

Nusu mkate kwa lonin'go -- Tsh60,Sahani ya kitei kwa mama nani pale -- Tsh150,tunatoroka ucku kwenda umenyeni kuangalia snema za kikubwa.Mnakumbuka enzi hizo kule nyuma ya lecture hall ??
 
Ng'ande---makande
basi la shule[katara]----na watu vichwa wakawa wanaitwa "katara"
kwa mama benii---wazee wakijisogeza kupata fegi
pichi---sehemu ya kusukumia kabumbu
kula kuku---kulala usingizi
mtego----video ya shule[ukiangalia video maana yake umetegeka]
john----mpishi mkuu
 
Mpishi Mkuu John watu walikuwa wanadai eti ni Chakla
 
hivi meru ina hali gani kwa sasa? bado vyoo vile viko vilevile??

Nakumbuka kuna siku madogo walimwibia mtu suruali pale toilet meru alikua anakata gogo aisee, jumamosi siku ya usafi
 
Nimemis sana KITEI cha Ilboru!
Kayamba langu mpaka leo nimelihifadhi. Itakuwa kumbukumbu nzuri sana kwa wanangu
 
Nilikuwa napenda sana biti za Chief.Kitemango naye yupo wapi siku hizi?
 
Nilikuwa napenda sana biti za Chief.Kitemango naye yupo wapi siku hizi?

Kumbe unaweza ukawa umesoma high school kama Rejao ikawa hasara tupu? Jamani Rejao badilika humu jamvini acha kuandika kama unafikiri kwa masaburi.
 
Kumbe unaweza ukawa umesoma high school kama Rejao ikawa hasara tupu? Jamani Rejao badilika humu jamvini acha kuandika kama unafikiri kwa masaburi.

Da! Sikujua kabisa kama Rejao atakuwa amepita pale kwa kina Chief, Kite, Mswahili aka Shembilu(RIP) Baba chacha a.k.a Mugaya(RIP) then comment zake zimekaa ki- STD V-B!! Badilika bana bro!!
 
Back
Top Bottom