Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 794
- 1,030
TUJIFUNZE KWA Vicky jamani kuhusu ndoa. Unakutana na mtu anakwambia nimefunga ndoa na Fulani ndoa ya serikali. Sasa huba nilemeee, wewe unafunga NAE Tena ndoa ya dini may be kanisani.
Ndugu zangu, wewe unayefunga Nae ndoa ya pili wakati ndoa ya kwanza haijavunjwa MAHAKAMANI huna haki kisheria na ndoa yako NI batili. Tuache kujizima data,nasema hakikisha umeonyeshwa hati ya talaka. Serikali ndio inatoa vyeti vya ndoa iwe ya kiserikali/kidini na zote huwa NI halali kisheria.
Na ndoa huvunjwa mahakamani.Hata uwe na CHETI Cha ndoa ya kanisani sijui akatokea mwenzio aliyefunga ndoa ya kiserikali kabla yako,ndoa yako no batili.
Hata Kama hawana mawasiliano, CHETI kipo na hawajavunja ndoa. Kisheria ndoa yao NI halali na NI HAI
KUMBUKA HAKUNA NDOA JUU YA NDOA.
TUNAVYOISHI LEO, TUKUMBUKE NA KESHO YETU.