Tujadili mila, jadi na desturi za wachagga

Mkuu unaweza kunieleza kwa nini wakibosho,wanarumu,wa-uru,na warombo walinyimwa elimu?
nikiangalia hayo maeneo roman catholic wamejikita sana,
lakini ukija machame na marangu kuna lutheran ambayo imejenga shule nyingi,
Kweli wewe ni bonge la riverse! yani unasema wa-uru hawakusoma jamani? unawakosea heshima, watake radhi!
Hebu angalia hili....
There is no Chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:

Wasiha: They are too backward. Hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai. Wanaume wanatahiriwa nusu!!! Cha achana nao.

Wamachame: Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi " kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu" Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa fedha, ……[edited!].

Wakibosho: Specialized bandits. Akina Mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi" Yaani Dadangu we acha tu yule Alex wangu siku hizi amepefuka kweli, ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia " hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!

Wauru: Very boring people, wakikaa ni kuonge kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake " Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea. Wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

WaOld Moshi: Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe. Wanaume niwabishi! Wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii

WaMarangu: Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo la "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu. Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.

Warombo: Kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya
 
Ni wazuri kwa kila kitu mkuu..ni wanawake wanaofaa hata kuweka ndani. Ukienda Uru utaelewa ninachosema.
Warombo ni wachapakazi sana..nawaheshimu kwa hilo!
Kuna wa Old Moshi na Waanjo ambao hawaeleweki eleweki.

Bila shaka wewe ni MCHAGA...............
 
hapa mmeamua tu kuwasema wachaga coz hata aliyeanzisha mada ametaja tu majina ya vitu kwa kichaga na sio mila za kichaga.... and why wachaga???
 
Bila shaka wewe ni MCHAGA...............

Inaonekana wote hamfahamu mambo mengi! Uchagani kuna sehemu kuu tatu na nusu kijiographia na kiutawala! Rombo kule mashariki hawa wanapakana na Marangu Mwika upande wa Magharibi na Wakamba/Taita kule upande wa Kenya. Katikati kuna Vunjo( kwa Waanjo) ambao ni Marangu, Kilema, Kirua na wanapakana na Old Moshi(wa-mochi), hawa wanaelewena 100% katika lugha ila Kirua na kule juu Kilema wanavuta kidogo, ukiacha Marangu, karibu wote waliobaki ni RC.

Marangu wengi ni Lutheri, Kuna kasehemu kadogo kanachojumuisha Old Moshi, Mbokomu na Uru(hawa hufanana kwa mitazamo na kidogo lugha- Uru ni RC lakini Mbokomu na Old Moshi lutheri, shule za kwanza kabisa zilijengwa Uru - kule Uru kaskazini- nenda UDSM Sheria, Elimu uhesabu walimu wa kichaga utashangaa nii wangapi wametoka maeneo haya, au angalia majaji wa TZ na utashangaa zaidi ya 10 wanatoka Uru, na ukiongezea wale wa Old Moshi utapata picha- hawakunyimwa elimu kama unavyodai...wanataniwa kwa kuwa wakimya!

Ukimya una Mambo mengi, sio uzubaifu! lakini umachinoo wa Marangu umewapeleka wapi! Ukimya wa Rombo ndio umewapelekea kuwa na hata ndege! Kutoka nusu hii sasa ndio unakuta Hai. Hai ni mkanganyiko- wakibosho (warashia) wako peke yao, ni wakali wasioogopa kusema, Machame na Masama na Siha na Kibongoto ni sehemu nyingine, wana uhusiano kilugha na wameru wa kule Arusha.
 
Mbege ni tamu. Pia kuna pombe inaitwa Dadii... Ni noumer. Vipi kuhusu machalarii? Heheheheee. Mimi huwa naushangaa sana huu mmea wa isale/msale. Una maajabu mengi. Mfano, nilipovunjika mkono kipindi nikiwa na miaka 2, walinichanja wakaniwekea dawa yake kutoka katika huu mmea na baada ya siku moja nilipona kabisa kabisa. Pia ni mmea ambao ukiuweka katika kila kona ya eneo/shamba yako, mchawi hakanyagi hata kwa dawa gani. Na hiyo mbuzi ya mila huwa ina maajabu yake, kama wewe sio mtoto wa ukoo inakataa, nyama yake inakuwa mbaya. Kama utakuwa na maisha mazuri hiyo mbuzi inakuwa tamu sana ikichinjwa.
 
lsale:- Jamani huu ni mmea wa ajabu sana, tena wa mila wa kabila la Kichagga.
Mawandala ni mawe yanayochukuliwa kaburini kwa Mchagga aliye zikwa nje ya Moshi, ili kulihamishia kaburi lake Moshi
Mburu wa mrumwa- huyu ni mbuzi wa tambiko. Mbuzi huyu huwa anatumika kutabiri mambo na majanga ya mwaka mzima.
Jamani hebu naomba mnisaidie mengine ambayo sijayataja

Kirefu cha MOSHI-(Mungu Onesha Mahali Hela Ilipo)
 
Kweli wewe ni bonge la riverse! yani unasema wa-uru hawakusoma jamani? unawakosea heshima, watake radhi!
Hebu angalia hili....
There is no Chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:

Wasiha: They are too backward. Hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai. Wanaume wanatahiriwa nusu!!! Cha achana nao.

Wamachame: Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi " kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu" Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa fedha, ……[edited!].

Wakibosho: Specialized bandits. Akina Mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi" Yaani Dadangu we acha tu yule Alex wangu siku hizi amepefuka kweli, ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia " hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!

Wauru: Very boring people, wakikaa ni kuonge kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake " Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea. Wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

WaOld Moshi: Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe. Wanaume niwabishi! Wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii

WaMarangu: Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo la "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu. Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.

Warombo: Kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya

Du.... Hii kali
 
mbege ikilala inaitwa ngera(msitu kwa kiswahili),hiyo inanywewa na watu waliopinda tu kimapato na kiakili.
 
ile ambayo watoto wanapewa kabla ya pombe kuchachuka kwan ndo inaitwaje? i thot ndo ngera!???
ile inaitwa Kifuo......kipfuo......something like that!!!
ile makitu inashibisha balaaa!!........very nutritious stuff!!!
 
ile inaitwa Kifuo......kipfuo......something like that!!!
ile makitu inashibisha balaaa!!........very nutritious stuff!!!

ndio ile inayokuwa tamtam na inasukari sukari hivi? Nimeiba sana hiyo mbege nilipokuwa kijijini rombo.
 
Back
Top Bottom