muneera75
Senior Member
- Oct 12, 2019
- 190
- 318
Watu wengi wanasema maisha baada ya chuo huwa ni magumu sana kwasababu ule mzunguko wa kupata pesa kama kipindi mtu yupo chuo huwa ni mgumu.
Kwa experience yako unampa ushauri gani mtu ambae amemaliza chuo mwaka huu juzi juzi tu hapo afanye kitu gani ili kupambana na maisha ya kila siku?
vile vile kwa ambao wanaingia mwaka wa tatu wajifunze kitu gani ili kuweza kupambana na maisha ya chuo na baada ya kumaliza chuo?
Mawazo,ushauri, challenge na suggestion.
Karibuni!