Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,305
Hivi lini bajeti ya wizara ya nishati itapelekwa tena bungeni?
Ana patikana Mombasa.Pembeni ya nyumba ya Nyota Ndogo,karibu"Wanawake wanyimeni unyumba waume zenu kama watawaunga mkono wapinzani": Sofia Simba
huyu mama anantia hamasa sana; sjui ntampataje?
<br />Iteitei lya kite hilo jina lako lina maana kweli?
Are u serious?unaweza kumpongeza mkeo kwa kukupikia chakula wakati ni wajibu wake? CCM inajivunia watu wajinga kama nyie mnaodanganywa kwa peremende.
Katika hili serekali haina la kujivunia. Ingejivunia kama ingechukua hatua za kinidhamu kwa wauza mafuta. Nadhani huu ni mpango wa cheap popularity tu. Serekali ya tz iko mifukoni mwa wafanya biashara. In fact, wafanyabiashara hata kodi wanalipa kidogo sana
Katika hili serekali haina la kujivunia. Ingejivunia kama ingechukua hatua za kinidhamu kwa wauza mafuta. Nadhani huu ni mpango wa cheap popularity tu. Serekali ya tz iko mifukoni mwa wafanya biashara. In fact, wafanyabiashara hata kodi wanalipa kidogo sana
Hamna lolote serikali ilichofanya......ni hadithi ya kalumekenge aliyekataa kwenda shule. Tutakuwa hivi hadi lini??Leo ni siku ya pili tokea tamko litolewe na Wizara,ni dakika chache zimepita toka nijaze full tank yangu kwa kituo cha BP,huu ni ushindi kwa EWURA,WIZARA,na SERIKALI kwa ujumla.TUWAPONGEZE,TUWATIE MOYO ILI WAENDELEE KUTUFANYIA MAZURI.
Hureeee Ngeleja,bajeti yako itapita kwa asilimia 100 kama ukiendelea na usanii huu huu wakutupa umeme ili tusahau machungu...kisha baada ya bajeti unaturudisha kule kule gizani mmmmh....
hongera sana kwa janja ya nyani.....
Katika hili naomba sana tusimlaumu JK kwani hata yeye alikuwa hana taarifa juu ya mgomo wa wafanya biashara wa mafuta.. kajua juzi tu ndio maana hakulizungumzia hilo:angry:Mi nawapongeza waliogoma kuuza mafuta manake wamefanya hvyo wakijua wazi kuwa serikali yetu ni legelege,siku 8 tumekula msoto bila tamko lolote toka serikalini!!
naipongeza serikali, kutatua tatizo la mafuta, na umeme safi sana. wanaopinga wana kisokolokwinyo. mtakufa mapema kwa roho mbaya