Tuipongeze serikali, na Ngeleja kwa ushindi huu dhini ya mafuta

Mh wapo wengine walikuwa wanataka tatizo liendelee ili waandamane, wao kwao hakuna jema.
 
Are u serious?unaweza kumpongeza mkeo kwa kukupikia chakula wakati ni wajibu wake? CCM inajivunia watu wajinga kama nyie mnaodanganywa kwa peremende.
 
hebu acha unafiki, wangekuwa makini wangezuia tatizo lisitokee. hakuna cha kupongezwa hapa wote ni wapuuzi tu
 
Are u serious?unaweza kumpongeza mkeo kwa kukupikia chakula wakati ni wajibu wake? CCM inajivunia watu wajinga kama nyie mnaodanganywa kwa peremende.

Sisi waislam maswala ya kupika/kupakua/kunyonyesha/kuvua na kadhalika ni hiyari ya mke kufanya au la. kAZI YAKE INABAKIA UTAFUTA WATOTO TU!Ila wengine wake wanakuwa kama watumwa kupika na maswala mengine ni moja ya majukumu yao ikiwa sambamba na kwenda kuchota maji/kukata kuni na kwenda sokoni.
 
Iteitei Lya Kitee hakuna haja ya takwimu, hata asiyesoma statistics ya darasa la kwanza tu anaweza akapata jawabu. Utendaji wa serekali ya JK ni almost zero.

Hivi unajua Malawi (a land locked country) mafuta yanauzwa rahisi kuliko tz?
 
Mi nawapongeza waliogoma kuuza mafuta manake wamefanya hvyo wakijua wazi kuwa serikali yetu ni legelege,siku 8 tumekula msoto bila tamko lolote toka serikalini!!
 
Mimi sioni chochote cha kumpongeza Ngeleja kwa kuwa wizara hiyo imeshamshinda
Katika hili serekali haina la kujivunia. Ingejivunia kama ingechukua hatua za kinidhamu kwa wauza mafuta. Nadhani huu ni mpango wa cheap popularity tu. Serekali ya tz iko mifukoni mwa wafanya biashara. In fact, wafanyabiashara hata kodi wanalipa kidogo sana
 
Actually jinsi wanavyotaka na mtu akibisha ajitokeze
 
Leo ni siku ya pili tokea tamko litolewe na Wizara,ni dakika chache zimepita toka nijaze full tank yangu kwa kituo cha BP,huu ni ushindi kwa EWURA,WIZARA,na SERIKALI kwa ujumla.TUWAPONGEZE,TUWATIE MOYO ILI WAENDELEE KUTUFANYIA MAZURI.
Hureeee Ngeleja,bajeti yako itapita kwa asilimia 100 kama ukiendelea na usanii huu huu wakutupa umeme ili tusahau machungu...kisha baada ya bajeti unaturudisha kule kule gizani mmmmh....
hongera sana kwa janja ya nyani.....
Hamna lolote serikali ilichofanya......ni hadithi ya kalumekenge aliyekataa kwenda shule. Tutakuwa hivi hadi lini??
 
Ahaa namshangaa anayepongeza serikali kwa upuuzi huo, leo mbeya tumetembea kwa mguu, vituo vya mafuta vimegoma kuuza mafuta.
 
Mi nawapongeza waliogoma kuuza mafuta manake wamefanya hvyo wakijua wazi kuwa serikali yetu ni legelege,siku 8 tumekula msoto bila tamko lolote toka serikalini!!
Katika hili naomba sana tusimlaumu JK kwani hata yeye alikuwa hana taarifa juu ya mgomo wa wafanya biashara wa mafuta.. kajua juzi tu ndio maana hakulizungumzia hilo:angry:
 
naipongeza serikali, kutatua tatizo la mafuta, na umeme safi sana. wanaopinga wana kisokolokwinyo. mtakufa mapema kwa roho mbaya

Ukisikia PAAAAAAAAAAA ujue imekukosa, na kamwe hutaisikia hiyo sauti kwa wanoipongeza kazi ya ktoa uchafu DAMPO na kuupeleka kwenye MAKZI YA WATU.
 
Back
Top Bottom