Tuhuma toka WikiLeaks: AL BAWARDY wajibu mapigo

Unajua tatizo la wana CDM mnaona ni sifa kumtukana raisi wa hii nchi lakini akitukanwa mtume wenu basi inakuwa tabu. wewe UWEZO TUNAO umesoma post zingine na umeona maneno yanayo semwa na wenzako juu ya Rais wa Tanzania? Ingekuwa wakati wa MKAPA hii JF ingesha fungwa siku nyingi.
 
Hakuna mtu aliyetegemea taarifa tofauti kutoka kwa hao waarabu, mbona hata mwarabu wa Dowans aliwahi kukanusha kabisa kuwa Dowans siyo yake na haijui....?! sembuse huyu wa mchezo mchafu, kuna mtu anategemea kuwa wahusika watakiri hadharani?
 
print hiyo barua, ipeleke ubalozi wa marekani wakupe ushahidi halafu mfate Mtikila muende mahakamani mkafungue kesi.
 
Unajua tatizo la wana CDM mnaona ni sifa kumtukana raisi wa hii nchi lakini akitukanwa mtume wenu basi inakuwa tabu. wewe UWEZO TUNAO umesoma post zingine na umeona maneno yanayo semwa na wenzako juu ya Rais wa Tanzania? Ingekuwa wakati wa MKAPA hii JF ingesha fungwa siku nyingi.
Rais wako yuko uchi. That's all we are saying.
 
Huyu karani aliyeandika hili kanusho alikuwa hajajipanga vizuri, kakurupuka. Kuna facts nyingi sana amekosea kwenye hii "press release" yake. Mbaya kuliko yote labda ni lile la kwamba hoteli bado haijajengwa. Ilijengwa na inaitwa Kempiski Billia Lodge.
 
Heee Kilimanjaro Hotel haina tena uhusiano na Kempinski? Au nina makengeza ya kidhungu? "....the UAE owner of the Kilimanjaro Hotel which used to be managed by at that time by Kempinski."

Jamaa noma anatanyakua eneo mji mkongwe?
 
ni watu wenye akili za kibangi bangi ndio wanaofanya hii habari kuwa dili, yani hii stori ya suti ndio mnaoitumia kutafuta umaarufu. kweli mlishafilisika ki mawazo.<br />
<br />
Swali: yule muhindi alietoa pesa za kampeni chadema alimpakata nani? Milioni mia haziwezi toka kiulani tu, lazima kuna kitu kapewa.
u r warned, usitumie maneno suti na kupakatwa , unamkashifu mheshimiwa rais.
 
Unajua tatizo la wana CDM mnaona ni sifa kumtukana raisi wa hii nchi lakini akitukanwa mtume wenu basi inakuwa tabu. wewe UWEZO TUNAO umesoma post zingine na umeona maneno yanayo semwa na wenzako juu ya Rais wa Tanzania? Ingekuwa wakati wa MKAPA hii JF ingesha fungwa siku nyingi.
kwa hiyo wakati huu wa zama hizi haiwezekani kuifungia jf?
Hapa tunaongelea kwamba, mwarabu kakanusha kuombwa fedha za kampeni, hajakanusha kutoa fedha.

back to topic.
 
Haya mambo wakati mwengine,wakuu wetu yatawanyima usingizi kwa kuwa hawana maono wala hawashtuki kuomba kuwa na maono.Wakati mwingine mama Nchi uamua kuwaadhibu viongozi wake kwa kutokuwa makini kutimiza matendo mema kwa watu wake.

Ingawa kwa wao hawaamini kuwa matendo ya viongozi wengi wa kitaifa kushiriki kuwanyima wazawa [Watoto wa Mama Tanzania] nafasi ya kutumia rasilimali yake basi Mungu uaibisha viongozi hao,na kwa kuwa hawaoni wala hawaitaji kufunguka na kupima matokeo ya kuwafungia milango wana wa Nchi.

Haya yaliyojili pia yaweza kuwa nafasi ya kiti cha Urais [Sio Kikwete kama Mtu binafsi] inatumika kukumbushwa kuwa matendo yake kutumika kuwakwaza watoto wa Nchi na kuwafurahisha wageni imezaa vituko.Nakumbuka kuwa mfanyabishara mzawa [Mmatumbi] Reginal Mengi alinyimwa nafasi ya kuwa Mmilki wa kibiashara wa Kilimanjaro hotel,kwa uchungu akabaki kupiga makelele na wadau wa Ikulu zama hizo wakatumia picha ya mjengoni kulumbana kujibu kilio chake kwa mabezo.Mungu saidia wakatokea wenye busara kuamua kuwanyamazisha waliokuwa mjengoni kuwa waache kulumbana na mzee huyo,nae kwa kujua kuwa hana wa kumtetea ndio hivyo akaishia kugugumia kimya kimya na kuamua kutimiza ndoto yake kwa kuzindua na kuimalisha ndoto yake ya kuweka jina la Mlima KILIMANJARO kwenye ramani kupitia MAJI YA KUNYWA YA KILIMANJARO na Mungu akamsaidia akafanikisha.

Na hakika mafanikio ya Maji hayo imekuwa ni picha halisi ya kuwa hakika Hotel hiyo angepewa yeye si ajabu ingekuwa ni moja ya Hotel kubwa na muhimu sana kama alama ya kiwango chetu kwenye kuendesha biashara.Kwa kuwa maji ya Kilimanjaro ndio maji yanayoongoza kwa ubora na hakika yanakidhi viwango vya kimataifa na yana soko kwa kila kiwango cha kuanzia Kitaifa na Kimataifa.Na Mtanzania wa kawaida anamudu kuyanunua na anapokunywa hayo maji hakika anaona tofauti halisi ya ubora wa viwango na kumpa nafasi ya kuwa na furaha kuungana na wageni wengi wanayoyatumia kama maji yenye ubora wa Kimataifa.

Nafasi ya kiti cha Urais itizame matokeo haya katika jicho la tatu kama wajibu wa kukumbuka kuwa wakati mwingine matendo yake kama ofisi yana nguvu [spiritual] kwa hivyo ikumbatie Watoto wa Nchi ambayo wao ndio sababu ya kuwepo kwa ofisi hiyo kuu.

Wajaribu kupata mahusiano ya kiroho [spiritual] ya tukio la wakati ule la mheshimiwa Mengi na Ikulu wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa na yanayojili sasa hivi.Na hata sasa wanataka kuvunja jengo la Mahakama,pia wamebadilisha umilki wa kibiashara.Ambayo kwa Tanzania kama angepewa Mzee Mengi hakika hili la kubomoa kuomba kubomoa mahakama ya rufaa na kubadilisha umilki yasingefanyika chini ya umilki wa Mzee huyu kwa kuwa kwake Uzalendo ungekuwa mbele.

Kama ambavyo atujapata kusikia kubadilishwa kwa umilki wa Makampuni ya IPP na Media zake,zaidi tunachoona ni kuongezeka kwa vituo kutoka Radio One,ITV,East Africa Radio na sasa Capital.

Wakuu wa Taasisi ya Urais watafakari sana,hayaji hivi hivi.
 
Upande wa kwanza na wa pili umeshaongea, sasa ngoja tusubiri upande wa tatu , wasipokanusha hii habari naomba AG awafungulie kesi ya kumwaibisha rais.
 
wanajikanyakaga.huyu lisa ni muongo....mazungumzo hayo hayakuwa kati yake na raisi wala hakuna lugha kiswahili ilitumika.........anajiteteja bure pasi kujua lolote.....inaonekana hajasoma ile kebo yote
 
Unajua tatizo la wana CDM mnaona ni sifa kumtukana raisi wa hii nchi lakini akitukanwa mtume wenu basi inakuwa tabu. wewe UWEZO TUNAO umesoma post zingine na umeona maneno yanayo semwa na wenzako juu ya Rais wa Tanzania? Ingekuwa wakati wa MKAPA hii JF ingesha fungwa siku nyingi.

apo sasa unaharibu maana
jaribu kutambua kwamba hizi habari zimeletwa na weakliks sio chadema, mbona mgumu kuelewa mambo.au unatumia masaburi kufikiri.
 
Dear Philip,

Please have a little respect for our intelligence, every business greases its way up in one way another; it may be respectable courses like supporting the big man's favourite charity, his village or naturally the party. And on the assertion that anybody works their way up through sheer inguinity, even you dont believe the theory; hard work? Sure! Only hard work? Bull............! You did not hop in a plane... epiphany... hotels in Tanzania.

And by the way what did you expect the Sales and marketing to say to the say to you? Own up? I havent heard such a joke for a long time.
 
Mwenye kuelewa sana haya mambo ni Mzee Mengi. Waliokaribu warongoshe kilichoyokea, kwani yeye mwenyewe alilalamika wakati ule
 
Wanajichanganya maana mambo yamewageuka. Wakati Lisa anasema hajawahi kukutana na kufanya mazungumzo na Rais na wala hajawahi kuzungumza kiswahili, Wikileaks cable haikusema hivyo. Inaoneka hata wao hawajaisoma cable yenyewe.
 
Ndugu zangu mbona hivo?????

Nani kawadanganya kwamba hii barua anafahamu lolote juu yake yule Mwarabu wa Kempinski. Ukweli wa mambo kwa mujibu wa habari za ndani ni kwamba hii barua watu waliikeshea pale Haidery Plaza ghorofa ya saba.

Ngojeni kidogo mtasiki undani zaidi.

Dear Philip,
Please have a little respect for our intelligence, every business greases its way up in one way another; it may be respectable courses like supporting the big man's favourite charity, his village or naturally the party.

And on the assertion that anybody works their way up through sheer inguinity, even you dont believe the theory; hard work? Sure! Only hard work? Bull............! You did not hop in a plane... epiphany... hotels in Tanzania.

And by the way what did you expect the Sales and marketing to say to the say to you? Own up? I havent heard such a joke for a long time.
 
kwa hiyo uyo aliyekwenda (CHUMBANI) akapewa ZAWADI(UJIRA) kwa tendo gani??????????????????????????
 
ni watu wenye akili za kibangi bangi ndio wanaofanya hii habari kuwa dili, yani hii stori ya suti ndio mnaoitumia kutafuta umaarufu. kweli mlishafilisika ki mawazo.

Swali: yule muhindi alietoa pesa za kampeni chadema alimpakata nani? Milioni mia haziwezi toka kiulani tu, lazima kuna kitu kapewa.

inamaana kutolewa kwa suti (MPOKEAJI) ALIPAKATWA??????????????
 
Back
Top Bottom