TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

Status
Not open for further replies.

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
2,642
6,071
Wakuu habari za Jumapili

We have just finished a Press Conference here at HQ, ambapo kutokana na uzito na umuhimu wa suala lilizongumzwa leo mbele ya wanahabari, viongozi wakuu wa chama, Mwenyekiti Taifa Kamanda Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Dkt. Willibrod Slaa, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Musa Hamad Yussuf, baadhi ya wakurugenzi na maofisa wa makao makuu walikuwepo.

Kwa kifupi. Walau kwa kuanzia sasa; CHADEMA kimeshusha tuhuma nzito kwa serikali, hasa Usalama wa Taifa kuwa wanapanga njama za kutaka kuwamaliza kwa mbinu mbalimbali, zikiwemo za kutumia sumu, kijambazi (kutesa) na zingine, viongozi wa CHADEMA, ambapo kwa kuanzia tayari mkakati unaandaliwa kuanza na John Mnyika, kisha afuate Dkt. Slaa na baadae Godbless Lema.

Baadhi ya watu wa TISS wametajwa kwa majina wakituhumiwa kuhusika katika njama hizo ambazo tayari watu wameshawekwa kuanza kazi rasmi.

Naibu Mkurugenzi wa UWT, Zoka ametajwa kuwa katika njama hizo, ambapo tayari kikosi kinachoongozwa na mtu anayeitwa Rama kimetumwa Mjini Dodoma kuanza harakati za namna ya kummaliza John Mnyika, kisha wengine wafuatie.

The whole story is coming...

Hasa njia wanazopanga kutumia kutekeleza mpango huu wa hujuma ya kikatili dhidi ya fikra huru zinazopigania mabadiliko ya kimfumo na kiutawala.

Another serious show down to justify how the failing, falling and collapsing government behaves towards its people.

As Chairman Freeman Mbowe has put it "Rule of Terror".

Haya tena...

1. Sumu
2. Ajali (kutengeneza)
3. Njia za kijambazi, kuteka na kutesa, kisha...
4.
5.

Tunashukuru kwa taarifa Tumaini Makene! Jirani kwangu kuna nyumba anaishi jamaa wa Usalama wa Taifa ngoja nifanye mpango tuichome moto nyumba yake! Wafanye wanavyotaka lakini wajue kwamba tupo tayari kuigueza nchi isitawalike na kuitumbukiza kwenye mauaji ya halaiki kama watataka!

Hatuogopi risasi za moto kutua vifuani mwetu lakini wajue kwamba kifo cha kiongozi mmoja wa CDM kitazalisha vifo vya mamia ya vizazi na ndugu wa watawala!

TUMBIRI (PhD - University of HULL)
 
Wakuu habari za Jumapili

We have just finished a Press Conference here at HQ, ambapo kutokana na uzito na umuhimu wa suala lilizongumzwa leo mbele ya wanahabari, viongozi wakuu wa chama, Mwenyekiti Taifa Kamanda Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Dkt. Willibrod Slaa, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Musa Hamad Yussuf, baadhi ya wakurugenzi na maofisa wa makao makuu walikuwepo.

Kwa kifupi. Walau kwa kuanzia sasa; CHADEMA kimeshusha tuhuma nzito kwa serikali, hasa Usalama wa Taifa kuwa wanapanga njama za kutaka kuwamaliza kwa mbinu mbalimbali, zikiwemo za kutumia sumu, kijambazi (kutesa) na zingine, viongozi wa CHADEMA, ambapo kwa kuanzia tayari mkakati unaandaliwa kuanza na John Mnyika, kisha afuate Dkt. Slaa na baadae Godbless Lema.

Baadhi ya watu wa TISS wametajwa kwa majina wakituhumiwa kuhusika katika njama hizo ambazo tayari watu wameshawekwa kuanza kazi rasmi.

Naibu Mkurugenzi wa UWT, Zoka ametajwa kuwa katika njama hizo, ambapo tayari kikosi kinachoongozwa na mtu anayeitwa Rama kimetumwa Mjini Dodoma kuanza harakati za namna ya kummaliza John Mnyika, kisha wengine wafuatie.

The whole story is coming...
Yametimia....
anayetumia kalamu kuingia madarakani ...atatumia "mtutu wa .....

Haya mambo yanashtua sana,CCM wanataka umwagaji damu ufanyike

nashukuru CDM wameamua kuweka wazi pamoja na kutaja majina lolote likitoke basi tunajua nani anahusika. Hivi wewe JK unadhani baada ya kumaliza huu uraisi utakwenda kuishi sayari ya mars? Hivi mnakumbuka yule mflame wa uingereza aliyefanya mambo kama haya akisema yeye hakuna wa kumfungulia mashitaka na kwanza hivi nguvu anapata wapi, leo yuko wapi tena aliuawa kwa kuchinjwa kama kuku.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom