TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

Status
Not open for further replies.
Wanajishtukia tu hao...pamoja na kupayuka kwao miaka yote hiyo hawajauwawa waje kuuwawa leo??
 
Ili mbegu imee inahitajika Ife, ifukiwe ardhini ioze na ndipo mmea uchipue vivyohivyo kwa ukombozi lazima damu za wachache wanaongoza ukombozi zimwagike iwe ni kwa vifo,mateso au kitu chochote kile. Kwa hiyo Hao wanaowindwa wasianze kutapatapa they are the chosen one kwa ukombozi wa Taifa hili, na jamii yetu itawakumbuka milele "Usimwogope mwanadamu anaeweza kuua mwili Bali mwogopeni Mungu anaewza kuangamiza mwili na roho" ALUTA CONTINUA, tunazaliwa siku moja na kufa siku moja fear not. Especially kwa Lema chaliii angu usiwire bumps wala usianye boya yeyote Simba wa kuchora hang'ati
 
Chamwene alikula mzigo wa my wife wa askari. hiyo ipo wazi wala usitake kuirudisha tena hapa. Mtafute owner wa Aqua Motel (ambaye pia ni owner wa Stanley Motel Singida) ndugu Malya aka Hali ngumu akupe full mkanda!
subiri mtoa uzi huu alete habari kamili kama alivyoahidi. Usianze kumnanga kabla

Uongo mtupu, hayo mapanga aliyopigwa yako wapi? kutaja majina ndio ukweli? ukweli unaweka ushahidi uliosema unao na huyu makene alisema picha zinakuja, mpaka leo hazijafika.

Namba ya Malya wa Aqua hii hapa, mpigie akueleze ukweli: 0752040947
 
TISS imechafuka kweli kweli...haya mambo yanatoa taswira hasi zidi ya institution hiyo nyeti na muhimu ustawi wa Taifa. Sijui tunakwenda wapi!
 
"You are rats" haya yalikuwa maneno ya kifedhuli ya Gadaffi, juilize yuko wapi leo hii. Naona JK anajisafishia njia ya kwenda kwa Ocampo , The Heague.

JK wala hatofika the Hague, uwezo wake wa kufikiri na TISS yake havitaweza kumchelewesha hadi afikishwe huko. Labda awe ametafuta hifadhi nchi ya nje kabla Abeid Msangi na wenzake hawajawaua viongozi wetu wapendwa wa CDM.
Kikweti will not survive, he will have detonated himself if that happens and as a simple advice, his security apparatus is devided unless he freezes the traitors, which is impossible according to their volume.
 
JK wala hatofika the Hague, uwezo wake wa kufikiri na TISS yake havitaweza kumchelewesha hadi afikishwe huko. Labda awe ametafuta hifadhi nchi ya nje kabla Abeid Msangi na wenzake hawajawaua viongozi wetu wapendwa wa CDM.
Kikweti will not survive, he will have detonated himself if that happens and as a simple advice, his security apparatus is devided unless he freezes the traitors, which is impossible according to their volume.

ni kweli kabisa ukiona ishu nzito kama hii inaliki mapema basi hakuna usalama wa taifa na usalama wa raisi pia. maana itafika wakati watachoka wataamua kumuundoa mwenyewe.
 
Hata siku ya Simachawene alisema picha zinafata, mpaka leo hazijafika. Na hiyo anayosema habari kamili ujuwe hakuna zaidi ya ***** tu. Tumezowea.
 
. Red, Mkuu hio PhD yako ni ya Online au??, Najaribu kufananisha ulichoandika ktk post yako na PhD!. Ukizingatia hio taarifa kamili ya kilichozungumzwa ktk hio press conference hujakipata...

Sawa taarifa kamili bado lakini kwani haturuhusiwi kuchangia kwenye Muhtasari wa Taarifa kamaili. Mbona na wewe unanikosoa kwenye mchango wangu ambao si kwa ajili ya Taarifa kamili? Alafu usitegemee kila mtu akichangia humu atasifiwa na kila mtu. No! Criticisim lazima ziwepo. Kwa hiyo swala kwamba PhD yangu ni ya Online na kwamba nilichoandika ni pumba kwako, sishangai!

TUMBIRI (PhD (2011), University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Inashangaza humu JF, badala ya watu kujadili namna ya kujikinga mnajandaa kwa kupokea vifo vya viongozi wenu! Hii ni ajabu. Fikirieni namna gani ya kujikinga. Mashambulizi pia ni njia mojawapo ya kujikinga. Lakini pia kwa shuja huenda kilio lakini kwa mwoga huenda kicheko. Hata hivyo kila mmoja kati ya mwoga na shujaa ana afadhali yake. Mwoga aweza akapigana tena kesho kwa mbinu nyingine si lazima ana kwa ana. Jambo hili kama kuna ushahidi twaweza kulipeleka UN au la washukiwa kuwemo kwenye orodha ya targets wakimbilie nje ya nchi
Tusingoje yawapate halafu tuanze kulalamika, litakuwa dua la kuku kifaranga kimeshaliwa.
Mkuu kwanza ushahidi ukionyeshwa utaona fasta serikali na jeshi la polisi watalipinga kabla,Ila ni ukweli usiopingika hii kitu kipo
 
Wewe si ndiye uliyeleta habari za Simbachawene kukatwa mapanga? kwi kwi kwi teh teh teh!

Mnajitafutia umaarufu kwa njia chafu? kawauweni wenyewe mseme Serikali, mnataka kujiosha kisa cha Ulimboka?

Unataka kusema habari hii itapingwa na viongozi wa CDM kuwa hawajaongea na vyombo vya habari kama Simbachawene akivyokanusha?
 
Hata siku ya Simachawene alisema picha zinafata, mpaka leo hazijafika. Na hiyo anayosema habari kamili ujuwe hakuna zaidi ya ***** tu. Tumezowea.

Mbona unahamanika? Mtu kavua shati unaanza kulia, akivua na suruali si utashusha samadi! Tulia
 
Hata wakifa siwata zaliwa wengine na mapambano yataendelea
 
Hivi ni vijimambo vya chama cha upinzani, kutafuta umaarufu!


Habari za kuaminika kutoka Makao Makuu ya CHADEMA zinadai chama hicho kimefanya Mkutano na Waandishi wa habari kuelezea tishio la kuuliwa kwa viongozi wake wakuu!! Nadhani mambo ya Liwalo na Liwe yanaendelea
 
hii inamaanisha CCM wameshindwa kujenga hoja zake na kuwaendeleza watanzania hivyo kwa kuwaua viongozi wa chadema.HUU I UDHAIFU MKUBWA WA SERIKALI NA WATANZANIA WAAMKE NA KUUPINGA UONGOZI WA MABAVU
 
Hii habari ni nzito sana na inatakiwa kuisoma taratibu na kwa utulivu!
Kikwete anatakiwa kujua kuwa katika wanausalama wake 5, wawili ni wanamapinduzi wa cdm na hakuna kinachoweza kubadili hilo.
Kwa hatua hii, na kama jambo hili limetangazwa mbele ya waandishi wa habari basi itafutwe namna ya baadhi wa watu wenye Busara wakamkataze JK asiipeleke nchi huko anakodhamiria kwa uroho wa madaraka.
Hatutarajii kuona mauaji au mateso kwa mwanaharakati yeyote mwingine tena!
This ia a barbaric means of ruling.
 
niombeeni nifike salama nitawajulisha juu ya hii taarifa kwa undani na nitaeleza hapa hapa jf ...kuna umwagaji damu mkubwa unakuja...ni kundi la vijana 6 wamerejea kutoka bulgaria walikokuwa wamepelekwa kwenye mafunzo ..wenye kufatilia post zangu niliwahi kulisema hili mda flan japo kwa kifupi sana...ila haki itatawala

Kiongozi, mnaweza zuia hii balaa? kwa maslahi ya watanzania wote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom