Tuache kununua bidhaa kwenye Maduka ya Wapemba.

Arusha hamna maduka ya wapemba huku hawawezi toboa huoni wahindi wenyewe wanakimbia!

Mara nyingi hua naona mchango wako hua wakitaifa zaidi huu ubaguzi umeanza lini au ndo ulivyo?
Wale wamekosa wahukumiwe kama mwanasheria kaongeze nguvu upande wa walalamikaji kaka. Binadamu ni binadamu.
vinginevyo tuseme mahakamani na polisi hawana kazi.

Msiwe kama umoja wa mataifa wahutu wameua mamilion ya watusi wamewekewa mahakama wanamaliza hela za UN kuwasikiliza ila Osama ye amepigwa risasi mpaka kufa!?
 
Nimeona kwenye tv jana nikajiuliza nifanye nini kuonyesha hasira yangu. Nashukuru umenipa jibu sinto nunua chochote kwa mpembq again
 
Mara nyingi hua naona mchango wako hua wakitaifa zaidi huu ubaguzi umeanza lini au ndo ulivyo?
Wale wamekosa wahukumiwe kama mwanasheria kaongeze nguvu upande wa walalamikaji kaka. Binadamu ni binadamu.
vinginevyo tuseme mahakamani na polisi hawana kazi.

Msiwe kama umoja wa mataifa wahutu wameua mamilion ya watusi wamewekewa mahakama wanamaliza hela za UN kuwasikiliza ila Osama ye amepigwa risasi mpaka kufa!?

Choko choko za wapemba zimekuwa za muda mrefu mno hadi zinakera mkuu....wahindi ndio kabisa wanatuibia mno!
 
hawa jamaa laiti wangejua bara huku watu walivyo na hasira ya maisha, wala wasinge thubutu maana ikija tokea watu wakaamua kuanza na wao watauona mziki...hasira zote zitaishia kwao! matatizo kibao bongo hapa watu kila siku hakieleweki halafu mmeanza kuleta zenu, acheni hizo bana halafu mnachofanya ni upuuzi tu, kwa sababu tumewazidi almost everything halafu leo mnaleta ubaguzi, hiyo nchi yenyewe mkiachiwa mtaweza?? nawaonea huruma sana
 
Ndg yako akikupiga kofi shavu la kulia mgeuzie na la kushoto. AKIKUCHUKULIA KOTI MPE NA SHATI. ndivyo imani yangu inavyonituma. Waacheni wayachome maduka ya wabara wakishamaliza hiyo dhambi haiishi, ni sawa na kula nyama ya mtu. wakishamaliza wataanza kuchoma ya kwao, yakiisha watachoma makanzu yao, yakiisha watakuja kuomba hifadhi Tanganyika. Waombeeni hayo yasiwakute tukiwa hai maana itakuwa kilio na kusaga meno
 
Kuanzia leo kwa wapemba sinunui kitu na ntapass message kwa watanganyika wenzangu. Mizanzibari mibaguzi sana. Mabwana zao waarab wanawapa kibri. Wakati umefika kuidai Tanganyika yetu. Kila mtu afe na lwake.
 
Hizi ufisadi wa Basil Mramba unawafanya wachaga wote wa Rombo kuwa mafisadi? Ufisadi wa Andrew Chenge unawafanya tuwachukie wasukuma wote? acheni wivu wa kike nyie fanyeni kazi, wapemba tukubali tukatae ni wapambanaji wanajituma wamesambaa sehemu nyingi kwa biashara, wapo Malawi, Zambia, Angola, Zimbabwe, Afrika Kusini, kote huko wamefungua maduka, nyie huku mnashinda maskani maneno mengi tu, mbona Arusha wanaongoza kuwapiga risasi na kuwauwa wafanya biashara, kupora benki mpo kimya au kwa sababu wachaga? acheni wivu wa kike kalipeni mikopo yenu ya benki hasira zenu zisiishie kwa wapemba, hawo waliochoma maduka zanzibar ni waalifu kama waalifu wengine wa huku Tanzania bara
 
Acheni wabara kulalama kama mnaweza basi mlango upo wzi VUNJENI MUUNGANO.
 
Na huku Tanzania Bara Watanzania naomba mtusaidie, Wachaga ndio wanaongoza kwa ujambazi wa kutumia silaha 'bunduki' mifano nimeiona Dar-es- salaam maeneo ya kimala jamaa zangu watano wamevamaiwa na wachaga wakapigwa risasi na kuporwa pesa bahati nzuri majambazi matatu yakakamatwa ni wachaga, juzi Mwanza majambazi yamevamia benki NBC mchana polisi wakawapiga risasi walikuwa majambazi watano, wanne ni Wachaga mkimaliza la wapemba mtusaidie na ili watanzania bara
 
Hizi ufisadi wa Basil Mramba unawafanya wachaga wote wa Rombo kuwa mafisadi? Ufisadi wa Andrew Chenge unawafanya tuwachukie wasukuma wote? acheni wivu wa kike nyie fanyeni kazi, wapemba tukubali tukatae ni wapambanaji wanajituma wamesambaa sehemu nyingi kwa biashara, wapo Malawi, Zambia, Angola, Zimbabwe, Afrika Kusini, kote huko wamefungua maduka, nyie huku mnashinda maskani maneno mengi tu, mbona Arusha wanaongoza kuwapiga risasi na kuwauwa wafanya biashara, kupora benki mpo kimya au kwa sababu wachaga? acheni wivu wa kike kalipeni mikopo yenu ya benki hasira zenu zisiishie kwa wapemba, hawo waliochoma maduka zanzibar ni waalifu kama waalifu wengine wa huku Tanzania bara

Avatar yako mkuu mh!
 
Hawa waliofanya hicho kitendo wachukuliwe hatua za kisheria upeo wao mdogo sana.
 
hivi sababu ya hao kuchoma moto ni ipi?cyo tukurupuke 2..beside hawa watu wa asili ya visiwani wamejaa k/koo..Hawa biashara ni jadi yao.Wakiondoka nani tena watakaa madukani.what i knw wabongo wengi tunapenda kazi za maofisini.beside kuvunjika hata kwa muungano mfano,hawa watu wa visiwani watapata taabu kwa muda 2..ila nyenzo wanazo kimtindo,zinahitaji ucmamizi mzuri

Hao wapemba waondoke tu Bara. Kuhusu nani atafanya biashara mbona makabila kibao ya hapa bara yamebobea kwenye biashara. Kumbuka kuwa ni asilimia ndogo sana ya wa Bara wenye ajira hata kama wamesoma. Na kuna makabila mfano wachaga na wakinga ni wafanyabiashara wakubwa. Maduka mengi ya Kariakoo wanayamiliki! Uwezo wa kufanya biashara tunao, na isitoshe hawautaki muungano. Mimi sielewi kwa nini tunawang'ang'ania wakati wao ndiyo wanatuchuna. Wamejaa Kariakoo na Tandika, ukiacha yale maduka ya wapemba ya mitaani. Tusinunue kwenye maduka yao, na warudi kwao wafungue hayo hayo maduka tuone nani atakayenunua maana wote kazi kukaa vijiweni. Mimi wananiudhi sana!
 
Hizi ufisadi wa Basil Mramba unawafanya wachaga wote wa Rombo kuwa mafisadi? Ufisadi wa Andrew Chenge unawafanya tuwachukie wasukuma wote? acheni wivu wa kike nyie fanyeni kazi, wapemba tukubali tukatae ni wapambanaji wanajituma wamesambaa sehemu nyingi kwa biashara, wapo Malawi, Zambia, Angola, Zimbabwe, Afrika Kusini, kote huko wamefungua maduka, nyie huku mnashinda maskani maneno mengi tu, mbona Arusha wanaongoza kuwapiga risasi na kuwauwa wafanya biashara, kupora benki mpo kimya au kwa sababu wachaga? acheni wivu wa kike kalipeni mikopo yenu ya benki hasira zenu zisiishie kwa wapemba, hawo waliochoma maduka zanzibar ni waalifu kama waalifu wengine wa huku Tanzania bara

Wewe kweli mpemba, maana mmekaa kimfumo dume tu, kazi kutwa kubagua wanawake na kuona ni vyombo vya kukandamizwa tu. Huo wivu wa kike ni upi wakati jambo liko wazi! Na wivu wa kiume ni upi? Na kama wivu wa kike nani anao zaidi! Wale waliochomea wenzao maduka kwa sababu wanafaidi katika nchi yao au sisi tunaolalamika vitendo visivyo vya kiutu walivyofanyiwa wabara wanaoishi huko! Muungano wala hatuupendi basi tu viongozi na system zao ndo wameung'ang'ania. Hauna maslahi yoyote kwetu sisi wabara maana msije mkaona tunawang'ang'ania! Tena ingekuwa vizuri katika mchakato huu wa kuuvunja muwaambie kabisa wapemba wa kariakoo, tandika na wenye viduka mitaani waanze kabisa kufungasha.
Eti tukalipe mikopo benki umeona kila mtu mkopaji, kwa sababu nyie mna pesa za waarabu, za Osama, jumuiya za kiislamu nk! Nasikia pesa mnapewa misikitini! Hongereni!
 
jamaniiii...mbona wao "wazanzibar" wanasema wamechoma vibanda vinavyouza "pombe"??? na sio "maduka ya watanganyika kama mnavyolalamika???...hebu tufanze uchunguzi tujue kilichochomwa ni nini hasa na sio kukurupuka tuuu.... ila naona keshokutwa watachoma na makanisa kisa wao wanaswalia misikitini..."pilipili usoila yakuwashia nini ninyi wazanzibari?...

pombe hunywi kulikoni uchome ubanda wa mwenzako anywaye???.... jifunzeni kuvumiliana katika hayo... sasa na sie tukiamua kuwachoma wa@#%fi%^&ra@#@##ji si tutawamaliza?? NI MAONI TUU
 
Wasipotezee wamechoma maduka bana, kuna mmoja namfahamu kachomewa duka lake.....
 
Wewe kweli mpemba, maana mmekaa kimfumo dume tu, kazi kutwa kubagua wanawake na kuona ni vyombo vya kukandamizwa tu. Huo wivu wa kike ni upi wakati jambo liko wazi! Na wivu wa kiume ni upi? Na kama wivu wa kike nani anao zaidi! Wale waliochomea wenzao maduka kwa sababu wanafaidi katika nchi yao au sisi tunaolalamika vitendo visivyo vya kiutu walivyofanyiwa wabara wanaoishi huko! Muungano wala hatuupendi basi tu viongozi na system zao ndo wameung'ang'ania. Hauna maslahi yoyote kwetu sisi wabara maana msije mkaona tunawang'ang'ania! Tena ingekuwa vizuri katika mchakato huu wa kuuvunja muwaambie kabisa wapemba wa kariakoo, tandika na wenye viduka mitaani waanze kabisa kufungasha.
Eti tukalipe mikopo benki umeona kila mtu mkopaji, kwa sababu nyie mna pesa za waarabu, za Osama, jumuiya za kiislamu nk! Nasikia pesa mnapewa misikitini! Hongereni!

Mwiinjilisiti acheni wivu wa kike kalipeni madeni yenu BOA BANK, AKIBA BANK, UMOJA BANK, wachaga wengi ndio mmekopa huko waini kulipa naona kila siku nyumba zenu zinapigwa mnada mmezoe wizi tu serikalini biashara amuwezi, mimi ni Mtanganyika pemba ata sipajui, eti unajidanganya yapo makabila mengi yanaweza biashara njoo kkoo unapopasema kodi ya mlango kwa mwezi milioni na laki mbili na mkopo wako wa mama anna mkapa kama ujakimbia, acha wivu kike fanya kazi
 
Wewe kweli mpemba, maana mmekaa kimfumo dume tu, kazi kutwa kubagua wanawake na kuona ni vyombo vya kukandamizwa tu. Huo wivu wa kike ni upi wakati jambo liko wazi! Na wivu wa kiume ni upi? Na kama wivu wa kike nani anao zaidi! Wale waliochomea wenzao maduka kwa sababu wanafaidi katika nchi yao au sisi tunaolalamika vitendo visivyo vya kiutu walivyofanyiwa wabara wanaoishi huko! Muungano wala hatuupendi basi tu viongozi na system zao ndo wameung'ang'ania. Hauna maslahi yoyote kwetu sisi wabara maana msije mkaona tunawang'ang'ania! Tena ingekuwa vizuri katika mchakato huu wa kuuvunja muwaambie kabisa wapemba wa kariakoo, tandika na wenye viduka mitaani waanze kabisa kufungasha.
Eti tukalipe mikopo benki umeona kila mtu mkopaji, kwa sababu nyie mna pesa za waarabu, za Osama, jumuiya za kiislamu nk! Nasikia pesa mnapewa misikitini! Hongereni!

Nyie mnaojita Wainjilisiti ndio watu wabaya kabisa ndio mliosababisha mauji ya kimbali Rwanda mnataka kuamia na Tanzania, huwo ubwege peleka huko huko walikokutuma, Tanzania yetu ni nchi ya amani unataka kutubagua watanzania kwa faida yenu
 
Tumekusikia Mkuu bidhaa tunaweza kususia lakini mabinti wao tutaendelea kuwaoa maana mh basi tuu usije ukatuambia na wao tuwasusie
Leo tumeshuhudia jinsi Watu wa Zanzibar walivyothubutu kuchoma maduka ya ndugu zetu wa bara huko kisiwani Unguja. Kama ilivyo ada ya watz hasa wa bara hatuna cha kufanya natumebakia kulalama bila kuchukua hatua yoyote.

Kwa kuanzia ili kuonyesha hasira zetu nashauri tuache kabisa kununua bidhaa toka kwenye maduka yoyote yanayomilikiwa na watu wa asili ya Zanzibar. Kama wataendelea na mchezo wao wa kuwaonea ndugu zetu wa bara huko Visiwani tuchome moto maduka hayo na nyumba zao.

Nawakilisha
 
Kumbe kwenye red ni asili yetu wabongo:-
1: Tukiibiwa kwa EPA, KAGODA, Deep Green, Meremeta-tunachekacheka,
2: Tukiwekewa mikataba mibovu ya uwekezaji uchwara-tuanchekacheka,
3: Tukidanganywa maisha bora kwa kila Mbongo tutapata-tunachekacheka,
4: Rais akichagua Waziri, mkuu wa Mkoa/Wilaya demu wake-tunachekacheka tu,
5: Mtoto wa Rais anakuwa na madaraka yasiyoeleweka kitaifa-tunachekacheka tu,
6: Mke wa Mkuu wa kaya anatumia rasilimali za Taifa bila utaratibu-tunakenua meno,
7: Mahakama zinawaachia wauwaji vigogo kwa faini kiduchu-tunachekacheka tu,
8: Magamba yanachakachua matokeo ya uchaguzi-tunachekacheka tu,
9: Hali ngumu ya maisha na shilingi inaporomoka kila siku-tunachekacheka tu,
10: Umeme unafanywa kama siyo haki ya raia-tunachekacheka tu,
11: Kodi kwa wafanyakazi (PAYE) inawekwa kuubwa-tunachekacheka tu.
12: Sukari na petrol zinapandishwa watakavyo-tunachekacheka tu.
13: Wazenji hawatutaki kwao-tunachekacheka tu
15: Rais kwa kutuona hamnazo, naye anatuchekea chekea tu!
16.....Endelea!

Hivi nani katuloga? Hivi lini tutasema HAPANA-HATUDANGANYIKI?
Lini tutafanya maamuzi magumu kukomboa nchi yetu toka kwa mawakala wa mafisadi?
Mkuu nilipo anza kusoma niliona kama unatutukana vile lakini kumbe ndiyo ukweli wenyewe....tuache kucheka cheka tuwe na msimamo
 
Back
Top Bottom