Tuache Kuforce Mambo, Mziki wa Kisingeli hauna Ladha

Naomba direction ya huo mtaa nikafanye research, nipo kino B hapa
Mkwajuni kwa ndani sasa lkn barabara kama ya kwenda kkoo upande huo ingia ndani ..ndio Mosco ,hananasif ..uswahili mchana watu kibao,maskani kibao,akina Dada vibarazani kibao ,..
 
Ukisikiliza vizuri, ni kama mdumange, kwa wale wanao jua hiyo ngoma ya mdumange.
 
Mimi nadhani wangeacha kuupa promo muziki wa Nigeria. Infact ungepigwa marufuku kabisa
 
najitahd kuupenda lakn nashndwa...
huo mziki naomba usiwe unaingizwa mbeya tafadhal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom