TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Chief-Mkwawa
Boss hii ni nguzo gani?
IMG_20220625_091853_322.jpg
 
Waya ndogo nyembamba sana
Zimekaa mbili kwa pamoja?
20220625_122628.jpg

Sijui kama utaona hio picha

Huo wa juu ambao ni waya mbili kwa pamoja ndio Adsl sawa na zile waya za simu za zamani.

Wa chini ni wa Zuku, zinakuwa kama Nyanya tatu kwa pamoja, hio Fiber.

Sema Fiber wanatumia Nyaya hizo kama step ya mwisho zikiingia kwenye Nyumba, zile za masafa marefu zinazotumika nje zinakuwa nene.
 
Naambiwa hapa baada ya hizo 37GB, speed inashuka mpaka up to 256kbps, yaani hiyo 256kbps ndo maximum. So most of the time inachezea below 256kbps... Ambayo labda nitaangalia video YouTube ya 144p quality, ili niangalie 240p buffering lazima

Kwa speed ya 256kbps(maximum speed), inamanisha napata 32KBps ambayo ni approximately 1.9MB in a min. Kwa masaa 24 ni approximately 2.5GB in 24hrs. Huu utopolo sasa. Yaani in 30 days ni 75GB za mwendo wa Kobe na hapo ni uwe available in every second throughout the month ambayo ni almost imposible. So kwangu Mimi sio kifurushi rafiki

Naomba unipe requirement za TTCL adsl nicheze na mkuki package ya 25000?
Thanks a lot mkuu!
 
Zimekaa mbili kwa pamoja? View attachment 2271478
Sijui kama utaona hio picha

Huo wa juu ambao ni waya mbili kwa pamoja ndio Adsl sawa na zile waya za simu za zamani.

Wa chini ni wa Zuku, zinakuwa kama Nyanya tatu kwa pamoja, hio Fiber.

Sema Fiber wanatumia Nyaya hizo kama step ya mwisho zikiingia kwenye Nyumba, zile za masafa marefu zinazotumika nje zinakuwa nene.
Waya mbili kwa pamoja, so adsl.
 
Back
Top Bottom