Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,536
- 175,598
Kwahio speed ni hio hio mwezi hadi mwezi hamna usanii wa kutegewa speed ya kobe sababu unatumia sana.Terms and condition zipo wazi tunaamu tu kuzikimbia.
Home internet ni unlimited bundle hupimiwi, nimetumia TTCL, Zuku, na wengineo.
Speed sio unlimited unalipa kutokana na speed unayotaka na sio dedicated ni up to.
Ila kutokana na capacity ya fiber kuwa kubwa kibongo bongo bado sana kuijaza, waya mmoja unapeleka hadi 10gbps,
Ndio maana unaona ukilipa cha 10mbps wa wanakupa 20, ukilipa 40 wanakupa 100 etc.