TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

T PESA wamenipiga hela yangu nilinunua bando wakatuma meseji mtandao umesumbua kujaribu tena wananiambia sina salio dah nikachoka kupiga huduma kwa wateja simu dakika 30 hakuna wa kuipokea .wanakatisha tamaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani bando langu la 5000 Ttcl wameamua wabaki nalo.nilikjiunga kila nikiingia net.mtandao hakuna.
Nimevunja line yao.
 
Hao wapuuzi wana hela yangu toka majuzi, ukinunua kifurushi kupitia huduma yao ya tpesa wanadai salio halitoshi ukiwapigia ndio kabisa inaongea mitambo mpaka inakata yenyewe
 
Back
Top Bottom