TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

Wakuu hali zenu!!!

Kwakweli nimekuwa nikitumia mitandao ya kampuni tofauti tofauti hasa kwenye maswala ya Internet lakini nimeonja radha ya TTCL 4G kwa DSM na ZNZ Mashallah jamaa wako vizuri saana kwakweli.

Naweza kustream video vyema kabisaa na hata zile short films za social network kama Instagram vids yaani zina flow kwa haraka zaidi.

Kwa hakika hawa jamaa wamejipanga vyema!!

Hongera kwao. Wajitahidi kasi hii iwe endelevu zaidi.

= ladha
 
Tatzo sio 4g na 3g ila tatzo kwao ni bei kubwa kupata hiyo 1gb mm natumia halotel na tg na tgo ninajiunga 1gb kwa 1500 na ni line ya 4gb ,,hata kama unatetea kuhusu 4g ndio utashangaa mwenye line ya ttcl ya 4g unakuta hana simu inayosupport 4g ,,hapo ndio utajuaa. Kwann gwajima na kikwete sio marafiki
mkuu kila mtu na matumizi yake, hao TTCL wame target watu wao na Halotel watapata watu wao, mfano nataka kustream mpira full HD nitatafuta 4g sababu najua speed yake itanifaa, wewe unajali zaidi quantity kuliko quality hilo ni soko jengine. na kama unajali zaidi quantity kwa mawazo yangu hakuna mtandao unaoipita airtel kwa tanzania. Tsh 600 unapata 1.2Gb au 1000 unapata 2gb na usiku sh 600 ni 10gb, kama umewahi ona mtandao kama huu nijulishe.
 
Sisi ni miongoni mwa hiyo Mitandao na hatutumii NET ya Tigo kama vitu hujui nyamaza
usipotumia wewe atatumia mwenzako, hapa nilipo 4g ya tigo average 30mbps watu wananunulia line wanapata 10gb bure wanatumia zikiisha wanatupa wananunua line nyengine. wengine wanauza line zao 10,000 ambazo zina ofa ya 10gb kwa sh 500 tu, we baki huko na mi ntabaki huku kwenye ladha nzuri
 
Wakuu hali zenu!!!

Kwakweli nimekuwa nikitumia mitandao ya kampuni tofauti tofauti hasa kwenye maswala ya Internet lakini nimeonja radha ya TTCL 4G kwa DSM na ZNZ Mashallah jamaa wako vizuri saana kwakweli.

Naweza kustream video vyema kabisaa na hata zile short films za social network kama Instagram vids yaani zina flow kwa haraka zaidi.

Kwa hakika hawa jamaa wamejipanga vyema!!

Hongera kwao. Wajitahidi kasi hii iwe endelevu zaidi.
Jamaa wapo vzr,nipo kibamba huku 4G ipo full
 
mkuu kila mtu na matumizi yake, hao TTCL wame target watu wao na Halotel watapata watu wao, mfano nataka kustream mpira full HD nitatafuta 4g sababu najua speed yake itanifaa, wewe unajali zaidi quantity kuliko quality hilo ni soko jengine. na kama unajali zaidi quantity kwa mawazo yangu hakuna mtandao unaoipita airtel kwa tanzania. Tsh 600 unapata 1.2Gb au 1000 unapata 2gb na usiku sh 600 ni 10gb, kama umewahi ona mtandao kama huu nijulishe.

Hizo 4G zao ni kwa mjini tu. Ukija uku kijijini Halotel ina unafuu mkubwa sana kuliko Tigo na Voda.
 
kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, kama huna 4g itabidi utumie 3g,

ila hata vijijini smart ni choice nzuri na vifurushi vyao vya unlimited, kwa 20,000 kwa mwezi au 1,000 kwa siku.
 
Kwel aitel ni cheap BT ukitaka kuinjoy net yako aaaahhhhgggg halotel bhanaa hyo 4g ya Tgo au voda haina speed ya 3g ya halotel tena upate kile kibandle cha speed bila kikomoooo weeeeee
 
Wakuu hali zenu!!!

Kwakweli nimekuwa nikitumia mitandao ya kampuni tofauti tofauti hasa kwenye maswala ya Internet lakini nimeonja radha ya TTCL 4G kwa DSM na ZNZ Mashallah jamaa wako vizuri saana kwakweli.

Naweza kustream video vyema kabisaa na hata zile short films za social network kama Instagram vids yaani zina flow kwa haraka zaidi.

Kwa hakika hawa jamaa wamejipanga vyema!!

Hongera kwao. Wajitahidi kasi hii iwe endelevu zaidi.
Mimi sikuzote nmekuwa nkitumia TTCL, na nmefanya bench mark nathubutu kusema kwenye internet 3G au H ya TTCL ina strength kubwa sana kuliko H+ ya airtel, tigo, voda na halotel. Sasa sijui wanadanganya wateja wao na hiyo H+ na 4G zao maana ni slow na magumashi sana! TTCL wala hauhitaji 4G, 3G/H pekee inakimbiza balaa, youtube unastream non- stop.
 
Wakuu hali zenu!!!

Kwakweli nimekuwa nikitumia mitandao ya kampuni tofauti tofauti hasa kwenye maswala ya Internet lakini nimeonja radha ya TTCL 4G kwa DSM na ZNZ Mashallah jamaa wako vizuri saana kwakweli.

Naweza kustream video vyema kabisaa na hata zile short films za social network kama Instagram vids yaani zina flow kwa haraka zaidi.

Kwa hakika hawa jamaa wamejipanga vyema!!

Hongera kwao. Wajitahidi kasi hii iwe endelevu zaidi.
Jaribu na Halotel, Tsh. 500/= GB 600 kwa wiki. Elfu 9 , GB 10 kwa Mwezi, ukitumia Cheep ya University. Internet kasi ya Ajabu pia.
 
Back
Top Bottom