TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

Yah wako poa.. ninanunua mm GB 7 kwa sh ef 5 mwez duration yake. Zile social nets ni free hadi insta-unlike other nets ambao wao ni WTF tu- na hata data bundle ikiisha, unaendelea kupata social nets hadi expiring ya muda
Ni lain ya chuo au
 
Kwa line ya chuo au kawaida?
 
Back
Top Bottom