pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
WanaJF, hebu tutafakari uhusiano wa maamuzi ya serikali ya Nyerere ya kuhamia Dodoma na Tsunami, je endapo kama Tanzania itakubwa na Tsunami je IKULU yetu iliyokaribu sana na bahari itapona??? na je viongozi hilo hawalioni?? nadhani sasa ndiyo muda pekee wa kufikiria kuhamia Dodoma.