MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,496
- 8,734
Uamuzi wa kujenga Makao makuu Dodoma ni moja ya uamuzi wa kipuuzi sana ingekuwa ni nchi zinazo jitambua hili lingetosha kuadhibu Serikali, Bahati sisi raiahatujitambui kabisa.
Yaani hakuna Raia anaye sikitikia gharama kubwa za kujenga Offisi Dodoma bali tunashangilia wote. Sisi wajinga sana.
Gharama zilizo tumika kijenga makao makuu Dodoma ni pesa nyingi sana ambazo zingeingizwa kwenye Kilimo, au Mikopo kwa vijana au kuboresha mazingira ya kufundishia kw shule zetu impact yake ingekuwa kubwa sana.
Fikiria gharama kubwa za kujenga Offisi Dodona na kuna baadhi ya Taasisi awamu ya 4 ndio zilikuwa zimetoka kumaliza kujenga majengo yao Dar es salaam, fikiria jengo la BOT linapaswa pia kujengwa Dodoma.Fikiria Taasisi ambazo hata awamu ya Tano ndio zilitoka kukamilisha kejenga offisi zao Dar sasa zitapaswa tena kujenga Dodoma na still tunashangilia?
Kama hii haitoshi viongozi wako Dara muda mwingi sana kuliko Dodoma, V8 zinachomeshwa mafuta Dodoma to Dar na Dar to Dodoma no one Care?
Na mbaya zaidi raia tunashangilia ujinga huu wa kutisha? yaani Raisi anatamka kujenga majengo mengine zaidi Ikulu Dodoma sisi wajinga tunashangilia? Wakati huohuo Shule tu za mzingi hata Mijini Madarasa ni kama mabanda ya Mbuzi?
Hata kama sisi tunasomesha watoto sujui Englisha medium lakini, mazingira ya shule za Serikali hayafai kabisa na cha kushangaza raia tuna kunua tu meno.
Raia tuna uzezeta some time siwalaumu sana watawala ila nawalaumu raia tusio jitambua na sisi ndio tunawapa power sana hawa watawal kufanya maamuzi ya kipuuzi.
Jana Mama alipaswa kusema kwa sababu kujenga Ikulu ni gharama sana hebu tupumzike kwanza tufanye mambo mengine ya msingi na hayo majengo mengine yatajengwa mbele ya safari huko. Ila anatamka tu wakati km 50 au 70 kutoka hapo Ikulu kuna raia wana umasikini wa kutisha. Na anatamka raia tunashangilia hadi gego la mwisho.
Kuhamia Dodoma lilikuwa wazo la Nyerere hakujua kwamba kungekuja kuwa na maendeleo ya kutisha ya Techinolojia.
Huduma zinapaswa kuwa online ukitoa huduma chache sana ambazo ubapaswa kuwepo, Mikutano inafanywa online.
Nchi kama Kenya imepanga hadi mwisho wa mwaka huu Huduma zote ziwe online na wameisha anza kwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa na vifo na Ndoa vinapatikana online, niliona hata unaweza clear mizigo yako Bandari ya Mombasa wewe ukiwa Nairobi una clear online.
Tanzania bado tunaabudu kufuatana ofisini, na raia tunapenda sana hii ya kufuata huduma offisini wakati wenzetu wanahama kutoka huko.