GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,709
- 109,142
Wadanganyeni Wapuuzi na Wanafiki wenzenu au Wengine ila siyo Mimi GENTAMYCINE.
Nimemfuatilia Rais Mstaafu Kikwete tokea akiwa Rais hadi anastaafu sikuwahi hata Siku moja kumsikia akisema Serikali yake na Awamu yake itajenga Ikulu ya Dodoma.
Mtu pekee na Mwanamume wa Kweli na Jembe hasa aliyethubutu kuhakikisha Ikulu ya Dodoma inajengwa na Serikali yote kuhamia huko alikuwa ni Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli pekee ukiachana na Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliyeanzisha hilo Wazo kipindi cha Utawala / Uongozi wake.
Haya haraka sana niwaombe wale walioandaa Hotuba ya Kinafiki wakati wa Uzinduzi wa Ikulu Mpya ya Dodoma wabadili ile sehemu waliyomtaja Rais Mstaafu Kikwete kuwa na Yeye alichochea Ujenzi huo wa Ikulu hiyo ya Dodoma.
Kwa Wengine mkisema kuwa katika Uongozi wao Jambo Kubwa walilofanya na Kufanikiwa nalo ipasavyo lilikuwa ni Rushwa, Uwizi, Uhalifu mkubwa, Uuzwaji wa Dawa za Kulevya, Kuongezeka kwa Idadi ya Wapumbavu na Wanafiki wengi nchini GENTAMYCINE nitakubaliana nanyi kwa 100%.
R.I.P Hayati John Pombe Magufuli.