Tssunami (Japan); Je IKULU ya TZ itapona kama yakitokea???

pascaldaudi

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
534
96
WanaJF, hebu tutafakari uhusiano wa maamuzi ya serikali ya Nyerere ya kuhamia Dodoma na Tsunami, je endapo kama Tanzania itakubwa na Tsunami je IKULU yetu iliyokaribu sana na bahari itapona??? na je viongozi hilo hawalioni?? nadhani sasa ndiyo muda pekee wa kufikiria kuhamia Dodoma.
 
BOT je?,..utashangaa nchi hii important institutions ziko karibu na bahari,tatizo viongoz wetu wanapenda starehe ndo mana hawataki kuhama Dar
 
kama Tsunami inatokea na Kikwete na Ccm yake bado wako madarakani itakuwa jambo jema kwani itakuwaimesaidia kutupunguzia mizigo ya kulipa pensheni watu ambao hawaku-deliver.
 
WanaJF, hebu tutafakari uhusiano wa maamuzi ya serikali ya Nyerere ya kuhamia Dodoma na Tsunami, je endapo kama Tanzania itakubwa na Tsunami je IKULU yetu iliyokaribu sana na bahari itapona??? na je viongozi hilo hawalioni?? nadhani sasa ndiyo muda pekee wa kufikiria kuhamia Dodoma.


  • Yaani katika majanga yote yakuikumba tanzania wewe umefikiria tsunami.
  • Yaani kitu cha kuwa concerned nacho ni jengo la ikulu na sio president au watu
kwanza kama umesoma geography unatakiwa kujua probability ya tsunami kutokea tanzania ni ndogo. Tsunami na matetemeka ya ardhi ya ukanda wake.

Pili elewa hata tusnami ikitokea cha muhimu kujuliza ni uhai wa watu akiwemo rais na si jengo. Tujiulize ufanisi na mchanisim ya ku evacuate na kuokoa watu yakitokea majanga. Je zipo sera?

Sabau tsunami ikitokea kama kuna sera sahihi jengo au majengo yanaweza kuhahribbika but kupoteza maisha ya watu kutapungua

Kama wewe wasi wasi wako ni Tsunami basi elwea Dodoma iko katika ukanda wa bonde la ufa na hilo bonde ni sehemu ya activity ya tetemeko la ardhi japo matemeko ya ukanda wa bonde la ufa sio makubwa.

Lakini swali la msingi pia kwa nini hawataki kwenda dodoma?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom