Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
- Thread starter
- #101
kweli digna sisemi uongo wala sio siku nyingi kiivo ni elfu mbili hii hii wallahSmile bhana, aaah! Umeniacha hoi na siredi zako. Nashukuru Mungu sikusoma shule ya ivo. Tulipimwa nadra sana na matron na manesi wa kike. Hiyo skuli kweli jameni, ama ilikuwa enzi gani hizo maana nina hakika uvumi ungesambaa hadi kwa Mkuu wa Wilaya. Bado siamini amini, Dah! Kweli hiyo najis.