True story: Mkuu wa shule alininajisi!

Smile bhana, aaah! Umeniacha hoi na siredi zako. Nashukuru Mungu sikusoma shule ya ivo. Tulipimwa nadra sana na matron na manesi wa kike. Hiyo skuli kweli jameni, ama ilikuwa enzi gani hizo maana nina hakika uvumi ungesambaa hadi kwa Mkuu wa Wilaya. Bado siamini amini, Dah! Kweli hiyo najis.
kweli digna sisemi uongo wala sio siku nyingi kiivo ni elfu mbili hii hii wallah
 
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? Walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje
mwenyewe ulikuwa unaona raha unatamani kila wiki iwe zama yako kupimwa??
 
Smile mbona kama ni juzi hapo watoto wote wa 2000 ni wa kizazi cha www.com? We ilikuwaje mnakubaliana na najis kubwa hivo hamsemi hata kwa matron au wazazi au popote? Mie ni wa enzi za typewriter na fax yaani hata analog ilikuwa haijaja sembuse digital lakini wallah nakwambia taarifa zingemfikia hadi Mkuu wa Wilaya. Sasa www.com pia mmefanyiwa hivo kimya waja sema huku? Au pengine walikuwa wanakunajis wewe tu, yaani bado nashangaa.
sasa tungesemaje ? kwani mimi mimba nilikuwa najua inapimwa vp? nilidhani ndivo inavopimwa
 
Si Smile, hao walijua wewe mtoto mtulivu sana na umekaa kama sista fulani hivi husemi kitu. Kwani ulikuwa na miaka mingapi? We ulikuwaga husimuliani na wenzako skuli mambo yanavokuwaga na mimba zinavopimwa? Wasichana husimuliana kile wanachofahamu, kama wanaogopa kuuliza kwa wakubwa. Enzi zetu hatukuwa na maongezi na wakubwa kama ilivyo leo. Lakini kizazi cha www.com au enzi hizi za 2000 hata cartoon zinaonyesha inakuwaje. Hakukuwa hata na ka TV home? Bado mwenzio sielewi kwa kweli. Ila kwa vile ni jana tu, hao watu bado hawajastaafu wapo. Nadhani inabidi kuwachukulia hatua, hata kama ni wewe binafsi kuwa face uwaambie hukuwa ukipendezwa na matendo yao. Nadhani walikuonea sana wewe kwa vile ulionyesha dalili zote na :tape:
sio mimi tu mamii kwani siku hz wanapimwaje
 
Ila kwa kweli, siredi hii nikiunganisha na ile nyengine, nimecheka sana leo. Imenifungia wiki kwa kicheko cha mwaka. We mtundu sana. Bado sia mini www.com wangekuchezea hivo. Weekend njema Smile!
huyu alikuwa anataka apimwage yeye tu kila wiki yaan hujamshtukia???
 
Smile mbona kama ni juzi hapo watoto wote wa 2000 ni wa kizazi cha www.com? We ilikuwaje mnakubaliana na najis kubwa hivo hamsemi hata kwa matron au wazazi au popote? Mie ni wa enzi za typewriter na fax yaani hata analog ilikuwa haijaja sembuse digital lakini wallah nakwambia taarifa zingemfikia hadi Mkuu wa Wilaya. Sasa www.com pia mmefanyiwa hivo kimya waja sema huku? Au pengine walikuwa wanakunajis wewe tu, yaani bado nashangaa.
Digna 'Hakunaga' watoto wajinga kihivyo, lazima angejitokeza hata mmoja akaseme nyumbani kwao manake ni kitu kisichofurahisha!.. Shule nzima mkae kimya jamani, jamani khaaa! Hakunaga mpendwa!
 
hii sijawahi isikia kusema kweli,poleni sana.sie tulishikwaga matiti mara moja tu wakikagua sijui dalili za kansa,na zoezi zima lilifanywa na daktari mdada pamoja na manesi kadhaa wakike.tofauti na hapo mimba tulipimwa kwa mkojo,anaingia mmoja mmoja chooni na matroni kasimama kwenye mlango wa choo anakusanya tubes za mkojo zenye majina.
 
Tuambie jina la shule tukawatoe watoto na wadogo zetu.

Ukute hilo limwalimu bazazi bado lipo linasubiri matiti mapya kila mwaka.
 
thax kwa kunitetea mkuu.watu humu wanajua kuchonga tu bila sababu
Karibu sana. Hapa zaidi ninatetea hii dhana ya (ku)najisi ambayo ni dhahania tu "subjective". Sio lazima
kinachokuwa najisi kwa mmoja kiwe najisi kwa wote. Mfano, mbwa na kwa wengine ni "pet" na rafiki wa binadamu,
Na wanyma hao hao mbwa (kwa Wakorea) na nguruwe kwa watu wengine (bila kujali dini) ni mahanjumati yasiyokosekana.

Ni sawasawa na huko kutomaswa, kufinywa na kupapaswa, kwa wengine ni najisi, tendo chafu, lakini kwa wengine...mmmhhh! ...watamaliza wenyewe.
 
Back
Top Bottom