gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,942
- 2,251
Technologia inazidi kukuwa na mambo mengi yanazidi kugunduliwa na kurahisisha kila kitu. Kuna hii APP inaitwa TRUE CALLER ambayo kwa kiasi kikubwa inasaidia sana kumjua aliyekupigia simu hata kama hujamsave endapo tu mmoja ya watu uliowasave kwa simu yako anaitumia na amemsave muhusika huyo:
Jinsi inavyofanya kazi"
True caller wana server yako kubwa ambayo kama umedownloand application hii, pale mwanzo unapoinstall tu hii APP ili uanze kutumia wana'condition moja' kuwa ukubali contacts zako ziwe saved kwa server yao na kutumika na watu wengine' . Sasa endapo mtu yeyote mwingine atadownload APP hiyo na kuanza kutumia nae contact zake zitakuwa saved kwa Server ya true caller, na endapo wewe utapiga simu kwa namba yoyote ambayo hujaisave na mtu mwingine ameisave, automaticall utaona jina alilosave mwenzio kwako. Hii imesaidia sana kujua namba ngeni!
Angalizo na madhara yake
1, Endapo utamsave mtu kwa jina la utani kwako wewe halitakuwa na madhara lakini kunauwezekano mkubwa mtu mwingine atapopiga namba hiyo atapata jina hilo
2, kwa mfano kama wewe umeoa halafu unamwanamke wa pembeni akakusave 'mchepuko' basi kuna uwezekano mkubwa hata mke wako siku akaona jina "mchepuko" imetokea endapo hatosave namba yako ya simu
3, kwa hiyo kuweka watu kwenye 'safe side' kama una tumia 'TRUE CALLER' vizuri yale majina uliyowasave watu kitutani utani uakayafuta ukaandika jina halisi la mtu ili kuondoa usumbufu kwa watu wengine
GanGo