'True caller' app nzuri but kuwa makini nayo

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,942
2,251
Technologia inazidi kukuwa na mambo mengi yanazidi kugunduliwa na kurahisisha kila kitu. Kuna hii APP inaitwa TRUE CALLER ambayo kwa kiasi kikubwa inasaidia sana kumjua aliyekupigia simu hata kama hujamsave endapo tu mmoja ya watu uliowasave kwa simu yako anaitumia na amemsave muhusika huyo:

Jinsi inavyofanya kazi"
True caller wana server yako kubwa ambayo kama umedownloand application hii, pale mwanzo unapoinstall tu hii APP ili uanze kutumia wana'condition moja' kuwa ukubali contacts zako ziwe saved kwa server yao na kutumika na watu wengine' . Sasa endapo mtu yeyote mwingine atadownload APP hiyo na kuanza kutumia nae contact zake zitakuwa saved kwa Server ya true caller, na endapo wewe utapiga simu kwa namba yoyote ambayo hujaisave na mtu mwingine ameisave, automaticall utaona jina alilosave mwenzio kwako. Hii imesaidia sana kujua namba ngeni!

Angalizo na madhara yake
1, Endapo utamsave mtu kwa jina la utani kwako wewe halitakuwa na madhara lakini kunauwezekano mkubwa mtu mwingine atapopiga namba hiyo atapata jina hilo

2, kwa mfano kama wewe umeoa halafu unamwanamke wa pembeni akakusave 'mchepuko' basi kuna uwezekano mkubwa hata mke wako siku akaona jina "mchepuko" imetokea endapo hatosave namba yako ya simu

3, kwa hiyo kuweka watu kwenye 'safe side' kama una tumia 'TRUE CALLER' vizuri yale majina uliyowasave watu kitutani utani uakayafuta ukaandika jina halisi la mtu ili kuondoa usumbufu kwa watu wengine

GanGo
 
Nmewahi siti ntacomment baadae
 
Ha ha ha sitasahau dogo alinisave Boss kipnd fulani yuko chuo ha ha ha ilinipa advantage ki ukwel someplaces
 
Mimi ninaelewa details zinazochukuliwa ni zamuhusika mwenyewe jinsi alivyo ji register katika database ya true caller...ila sio kila phone book ya mtu inavyosoma....wewe ulijaza detail gan katika sever ya true caller ila sio mtu alivyokusave katika simu yake....inamana mimi nikusave j alafu kwa mtu mwingi utokee j wakati wewe ni s....labda nieleweshe zaidi nitapingana na mtoa mada hapa
 
Yapo. Kama wewe ni tapeli ama mwizi basi jiandae kuwa blocked kwa sababu iwapo mmoja wa walioku-save "tapeli" akaingiza namba kwenye "common spammers" basi kila unaempigia km ana hio app basi simu hazitaingia kbs. Ila mhusika ataona missed call yako.
Asante kwa taarifa, je kuna madhara mengine umeyabaini kwa mtu kutumia app hiyo ?
 
Mimi ninaelewa details zinazochukuliwa ni zamuhusika mwenyewe jinsi alivyo ji register katika database ya true caller...ila sio kila phone book ya mtu inavyosoma....wewe ulijaza detail gan katika sever ya true caller ila sio mtu alivyokusave katika simu yake....inamana mimi nikusave j alafu kwa mtu mwingi utokee j wakati wewe ni s....labda nieleweshe zaidi nitapingana na mtoa mada hapa

Iko hivyo

Kwa sababu ninaweza kuwa sina app ya true caller, ila kuna mwenye nayo amenisave,
Namba yangu ikiingia kwako obviously litakuja jina nililosaviwa na mwenye truecaller
 
Msichukulie technologia simple hivyo ......chek profile ya true caller inadetails zote mkuu ....yaan wewe unipe nick name watsap alafu ijiupdate bila ridhaa yangu ....hakuna kitu kama icho.....thread tango pori ihiiii...
IMG-20181114-WA0003.jpeg
IMG-20181114-WA0002.jpeg
 
Msichukulie technologia simple hivyo ......chek profile ya true caller inadetails zote mkuu ....yaan wewe unipe nick name watsap alafu ijiupdate bila ridhaa yangu ....hakuna kitu kama icho.....thread tango pori ihiiii...View attachment 933755View attachment 933756
mzee, as long as wewe umeaccept tu use true callers information basi na wao one of their condition is to use your contacts details.

hizo ulizoonyesha hapo, ni settings tu katika simu yako for your own privacy. but not contacts details zako
 
Back
Top Bottom