Treni ya mwakyembe Ubungo-stesheni ilikuwa zianze 10/9/12

264161_10151144156784339_2023686365_n.jpg
 
k
IMG_6895.JPG
IMG_6949.JPG
IMG_6954.JPG
IMG_6912.JPG
kupanda itakuwa shughuli wajenge gatz za kupandia vituoni, naipongeza juhudi za mwakyembe kwa hatua nzuri, picha michuzi blog
 
kupunguza wizi mwanachi aruhusiwe kukata ticket ya wiki au mwezi na kuwe na vituo maalumu vya kukatia ticket
watafute na mashine za kusoma ticket kwa njia ya electronic na sio kuweka konda
 
kupunguza wizi mwanachi aruhusiwe kukata ticket ya wiki au mwezi na kuwe na vituo maalumu vya kukatia ticket
watafute na mashine za kusoma ticket kwa njia ya electronic na sio kuweka konda
Duh wewe kweli aiza unaishi ulaya au sijui wapi na sidhani kama ni Mtanzania!
Hivi unaweza kumwambia Mtanzania akate tiketi ya wiki au Mwezi? kwa kipato gani? isitoshe zaidi ya 90% ya wakazi wa inakopita treni ni vibarua wanalipwa akibahatika sana 2000 kwa siku sasa hiyo tiketi ya wiki ataiweza wapi?
 
Ni jambo zuri na inafurahisha. Ila Hapo Serikali wakubali tu kwamba wameamua kutoa huduma kwa wananchi wake wa kipato cha chini lakini kusema sijui wategemee nauli ndio iendeshe hiyo treni hamna kitu itakuwa tu full kudandia mitaa ya buguruni na kupanda juu ya keria mtu akifika anakokwenda anaruka zake huyo anapotea kiaina!
 
Na leo tarehe 11/09/2012 iwepo na kuendelea km watadandia madirisha yawekewe vizuizi nina hakika wakazi hawatashindwa nauli itakayowekwa
 
sio mbaya kibongobongo na kwa kuanzia, ila target iwe kueka kitu cha ukweli. nadhani the best option ni serikali kuuza/kukodisha right of way kwa private companies ambao wataendesha kila kitu, sihitaji tena kodi yangu itafutiwe another bottomless pit kwa kisingizio cha 'treni'
 
Back
Top Bottom